[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:03.03,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wengi wetu - tunajua Dialogue: 0,0:00:03.03,0:00:07.57,Default,,0000,0000,0000,,sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua. Dialogue: 0,0:00:07.57,0:00:12.30,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya uduni, Dialogue: 0,0:00:12.30,0:00:18.37,Default,,0000,0000,0000,,tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa wa usalama wa kufahamiana. Dialogue: 0,0:00:18.37,0:00:23.27,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, pokea ujasiri huo! Dialogue: 0,0:00:23.27,0:00:31.40,Default,,0000,0000,0000,,Pokea ujasiri huo wa kutoka katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako, Dialogue: 0,0:00:31.40,0:00:35.67,Default,,0000,0000,0000,,kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako! Dialogue: 0,0:00:35.67,0:00:40.90,Default,,0000,0000,0000,,Unapotoka katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe, Dialogue: 0,0:00:40.90,0:00:44.97,Default,,0000,0000,0000,,utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako! Dialogue: 0,0:00:44.97,0:00:50.80,Default,,0000,0000,0000,,Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!