WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:03.033 Kuna wengi wetu - tunajua 00:00:03.033 --> 00:00:07.566 sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua. 00:00:07.566 --> 00:00:12.300 Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya uduni, 00:00:12.300 --> 00:00:18.366 tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa wa usalama wa kufahamiana. 00:00:18.366 --> 00:00:23.266 Sasa hivi, pokea ujasiri huo! 00:00:23.266 --> 00:00:31.400 Pokea ujasiri huo wa kutoka katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako, 00:00:31.400 --> 00:00:35.666 kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako! 00:00:35.666 --> 00:00:40.900 Unapotoka katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe, 00:00:40.900 --> 00:00:44.966 utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako! 00:00:44.966 --> 00:00:50.800 Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!