WEBVTT 00:00:00.757 --> 00:00:04.708 Mifumo ya kuishi imekuwa kwa mabilioni chache ya miaka. 00:00:04.708 --> 00:00:06.914 na itakuwa kwa miaka nyinginezo. 00:00:07.413 --> 00:00:10.045 Katika ulimwengu wa kuishi, hakuna mfumo wa kuzoa taka. 00:00:10.225 --> 00:00:12.638 Badala yake, vifaa vinayeyuka. 00:00:12.838 --> 00:00:15.541 Taka ya aina moja ni chakula ya aina nyingine; 00:00:15.541 --> 00:00:17.732 jua hupeana kawi; 00:00:17.732 --> 00:00:19.712 vitu vinamea, halafu hufa; 00:00:19.712 --> 00:00:22.997 na virutubisho hurudi salama mchangani. 00:00:23.787 --> 00:00:25.606 Na inatendeka. 00:00:26.081 --> 00:00:27.336 Ila kama binadamu, 00:00:27.336 --> 00:00:29.596 tumekubali mtazamo finyu; 00:00:29.596 --> 00:00:32.666 tunachukua, tunaunda, na hatimaye tunatupa. 00:00:33.167 --> 00:00:35.092 Simu mpya inatokea. 00:00:35.092 --> 00:00:36.946 Kwa hivyo tunatupilia mbali ile zee. 00:00:37.196 --> 00:00:39.184 Mashine yetu ya kufulia nguo inaharibika. 00:00:39.184 --> 00:00:40.701 Kwa hivyo tunanunua mpya. 00:00:41.271 --> 00:00:45.847 Kila wakati tunapofanya hivi tunapora raslimali isiyo na mwisho 00:00:45.847 --> 00:00:48.588 na mara si haba tunazalisha taka zenye sumu. 00:00:48.751 --> 00:00:51.555 Haiwezi kutendeka kwa muda mrefu. 00:00:52.652 --> 00:00:54.265 Kwa hivyo ni nini inaweza? 00:00:54.901 --> 00:00:59.222 Tukikubali mfumo mzunguko wa ulimwengu wa kuishi unafanya kazi, 00:00:59.222 --> 00:01:01.930 je tunaweza badili jinsi tunavyofikiri 00:01:01.930 --> 00:01:05.667 ndio tuweze kufanya kazi kwa uchumi mzunguko? 00:01:06.296 --> 00:01:08.698 Hebu tuanze na mzunguko wa kibayolojia. 00:01:09.339 --> 00:01:13.734 Taka zetu zinawezaje kujenga mtaji badala ya kuipunguza? 00:01:14.062 --> 00:01:17.805 Kwa kufikiria upya na kubuni upya bidhaa na vijenzi 00:01:17.805 --> 00:01:19.776 na vifurushi vyao, 00:01:19.776 --> 00:01:23.408 tunawezaunda vifaa salama na vinayoweza kuwa mbolea 00:01:23.408 --> 00:01:25.540 na kuwezesha kumea kwa mimea. 00:01:26.272 --> 00:01:27.925 Na jinsi wanavyoseama filamuni, 00:01:27.925 --> 00:01:31.399 "Hakuna raslimali iliyopotea katika kuunda kifaa hiki." 00:01:32.352 --> 00:01:36.125 Vipi kuhusu mashine za kufulia nguo, simu za rununu na majokofu? 00:01:36.431 --> 00:01:38.619 Tunajua ya kuwa hayayeyuki kuwa mbolea. 00:01:39.036 --> 00:01:42.344 Hapa tunazungumza kuhusu dhana nyingine: 00:01:42.344 --> 00:01:45.047 jinsi ya kuzungusha vyuma vyenye thamani, 00:01:45.047 --> 00:01:46.714 Mapolima na maaloi, 00:01:46.714 --> 00:01:48.538 ndio yawezeke kudumisha ubora 00:01:48.538 --> 00:01:50.065 na kuendelea kutumika 00:01:50.065 --> 00:01:53.554 baada ya muda wa ununuzi wa bidhaa binafsi. 00:01:54.490 --> 00:01:58.681 Yamkini bidhaa za leo ziwe raslimali za kesho? 00:01:58.898 --> 00:02:00.843 Ina mantiki ya kibiashara. 00:02:01.419 --> 00:02:05.331 Badala ya itikadi ya tupa na badilisha ambayo tumekuja kuzoea, 00:02:05.331 --> 00:02:08.107 tunaweza twaa ile ya rudisha na ufanye upya. 00:02:08.107 --> 00:02:13.177 pale ambapo bidhaa na vijenzi vimeundwa kutenganishwa na kufanywa upwa. 00:02:13.857 --> 00:02:18.642 Suluhisho moja inaweza kuwa kufikiria upya taswira yetu ya umiliki. 00:02:19.354 --> 00:02:22.264 Ingekuwaje kama hatungekuwa wamiki halisi wa teknolojia zetu? 00:02:22.264 --> 00:02:25.597 Tunazipa leseni kutoka kwa waundaji. 00:02:26.197 --> 00:02:29.490 Sasa, hebu tuunganishe mizunguko hii mbili pamoja. 00:02:29.809 --> 00:02:33.691 Tafakari kama tungeweza kubuni bidhaa kurudia watengenezaji wao, 00:02:33.691 --> 00:02:36.369 vifaa vyao vya kiteknolojia vikitumika tena, 00:02:36.369 --> 00:02:40.609 na vijenzi vyao vya kibiyolojia vikiongeza ubora wa kilimo 00:02:41.046 --> 00:02:44.567 Na tafakari kuwa hivi bidhaa vinatengenezwa na kusafirishwa 00:02:44.567 --> 00:02:46.674 kutumia nishati mbadala. 00:02:46.834 --> 00:02:50.864 Hapa tuna modeli inayojenga ustawi kwa muda mrefu. 00:02:50.864 --> 00:02:52.351 Na habari njema ni kuwa 00:02:52.351 --> 00:02:54.577 tiyari kuna makampuni 00:02:54.577 --> 00:02:57.394 ambazo zinaanza kukubali jinsi hii ya utendakazi 00:02:57.904 --> 00:03:03.116 Lakini uchumi mzunguko siyo ya muundaji mmoja kubadlisha bidhaa moja. 00:03:03.511 --> 00:03:08.151 Ni ya kuunganisha makampuni ambazo zipo katika muundomsingi 00:03:08.151 --> 00:03:09.203 na uchumi 00:03:09.203 --> 00:03:10.643 kuungana. 00:03:10.958 --> 00:03:12.545 Ni kuhusu kawi. 00:03:12.817 --> 00:03:16.987 Ni kuhusu kufikiria upya mfumo mwenyewe wa kufanya kazi. 00:03:18.481 --> 00:03:24.048 Tupo na nafasi mwafaka kufungua taswira na upeo upya. 00:03:24.367 --> 00:03:27.947 Badala ya kubakia kunaswa na kufadhaishwa kwa sasa, 00:03:27.947 --> 00:03:30.700 na ubunifu na uvumbuzi, 00:03:30.700 --> 00:03:35.721 tunaweza kihakika kufikiria upya na kubuni upya kesho yetu.