0:00:00.000,0:00:05.520 Ninaweza kuutumia mkono wangu wa kulia kwa uhuru, 0:00:05.520,0:00:10.160 na ninaweza kulala vizuri kama mtoto[br]wakati wowote ninapotaka. 0:00:10.160,0:00:14.880 Sio lazima ninywe[br]tena dawa hizo za usingizi na za kutuliza maumivu. 0:00:14.880,0:00:20.680 Ninaweza kufanya kazi zangu zote bila[br]shida kwenye bega langu. 0:00:20.680,0:00:26.520 USHUHUDA WA[br]TV YA MOYO WA MUNGU 0:00:27.800,0:00:36.280 Maumivu hayo yasiyoelezeka katika kichwa chako,[br]moyo, mgongo, magoti, mapafu, 0:00:36.280,0:00:40.640 popote pale ambapo maumivu hayo yasiyoelezeka[br]yapo katika mwili wako, 0:00:40.640,0:00:46.640 Ninatangaza uponyaji sasa hivi![br]Upone kwa jina kuu la Yesu! 0:00:46.640,0:00:51.400 Uponywe kwa[br]Damu ya thamani ya Yesu Kristo. 0:00:52.920,0:00:59.480 Jina langu ni Janet. Ninatoka Ufilipino na ninafanya kazi Hong Kong. 0:00:59.480,0:01:09.400 Tatizo lililonileta kwenye TV ya Moyo wa Mungu ni maumivu ya bega la kulia. 0:01:09.400,0:01:14.080 Sababu ya maumivu ya bega niliyokuwa nayo 0:01:14.080,0:01:21.480 ilikuwa ajali ya pikipiki[br]iliyotokea miaka minne iliyopita. 0:01:21.480,0:01:29.040 Kwa hiyo nilienda kwa daktari na kuchukua dawa za aina mbalimbali. 0:01:29.040,0:01:38.320 Nilipata matibabu ya mwili,[br]hata tiba vitobo na kuchua. 0:01:38.320,0:01:45.880 Na pia niliweka dawa za kutuliza maumivu, haswa usiku, 0:01:45.880,0:01:50.440 ili kunipunguzia maumivu ili nilale. 0:01:50.440,0:01:56.000 Lakini basi, maumivu yangekuja tu na kwenda. 0:01:56.000,0:02:01.960 Na iliniletea shida nyingi[br]kwa sababu sikuweza kulala vizuri. 0:02:01.960,0:02:08.240 Kwa hivyo, ilibidi nitumie[br]dawa za kutuliza maumivu kila wakati, 0:02:08.240,0:02:14.360 na pia kunywa dawa za usingizi[br]ili tu kulala na kupumzika. 0:02:14.360,0:02:21.400 Lakini basi, ilichukua muda mrefu -[br]lakini maumivu yalirudi kila wakati. 0:02:21.400,0:02:26.640 Ikiwa ningeenda kwenye matibabu, maumivu[br]yangerudi tu. 0:02:26.640,0:02:34.040 Ilinipa shida katika eneo langu la kazi kwa sababu mkono wa kulia ulikuwa unauma sana. 0:02:34.040,0:02:40.040 Ningehisi kufa ganzi wakati wote,[br]kwa hiyo nilitumia mkono wangu wa kushoto kufanya kazi. 0:02:40.040,0:02:48.000 Kwa sababu hiyo, nilikuwa nikimwachia mwajiri wangu vitu na ilileta shida kwa sababu 0:02:48.000,0:02:53.760 ikiwa vitu nilivyoangusha vilikuwa vya bei ghali,[br]ilibidi nivifidie kwa pesa zangu. 0:02:53.760,0:03:04.440 Kwa hivyo nilikutana na God's Heart TV kwenye YouTube tarehe 5 Agosti 2024, 0:03:04.440,0:03:11.280 na kisha nikatuma ombi langu la maombi na kujiunga na Huduma ya Maombi ya Pamoja. 0:03:11.280,0:03:18.480 Na baada ya hapo, niliona kwamba[br]sikuwa na maumivu tena. 0:03:18.480,0:03:23.200 Na haikunilazimu nitumie dawa za usingizi. 0:03:23.200,0:03:32.680 Ninalala kila ninapopenda na sihitaji[br]tena kutumia dawa za kutuliza maumivu. 0:03:32.680,0:03:38.560 Bega langu limeponywa kwa nguvu ya uponyaji ya Yesu Kristo. 0:03:38.560,0:03:44.080 Ninaweza kutumia mkono wangu wa kulia kwa uhuru, 0:03:44.080,0:03:48.720 na ninaweza kulala vizuri kama mtoto[br]wakati wowote ninapotaka. 0:03:48.720,0:03:53.440 Sio lazima ninywe[br]tena dawa hizo za usingizi na za kutuliza maumivu. 0:03:53.440,0:03:59.240 Ninaweza kufanya kazi zangu zote bila[br]shida kwenye bega langu. 0:03:59.240,0:04:06.840 Na pia shida niliyokuwa nikipata hapo awali katika sehemu yangu ya kazi ilikuwa 0:04:06.840,0:04:10.520 uhusiano na wafanyakazi wenzangu. 0:04:10.520,0:04:17.960 Ombi moja la maombi nililotuma ni Mungu anisaidie kutafuta kazi nyingine. 0:04:17.960,0:04:21.800 Lakini basi baada ya[br]Ibada ya Pamoja ya Maombi, 0:04:21.800,0:04:27.640 Niliona tofauti kubwa katika jinsi[br]mfanyakazi mwenzangu anavyonitendea. 0:04:27.640,0:04:35.880 Ananiheshimu, na anazungumza nami kwa adabu, tofauti na hapo awali. 0:04:35.880,0:04:42.440 Na tunashiriki chakula; tunashiriki[br]kila kitu ndani ya nyumba. 0:04:42.440,0:04:49.640 Sehemu ya kazi niliyo nayo[br]sasa ni ya amani sana. 0:04:49.640,0:04:54.200 Sihitaji kutafuta mwajiri mwingine[br]kwa sababu moyoni mwangu, 0:04:54.200,0:05:01.400 Sikutaka kwenda ikiwa kulikuwa na[br]amani mahali pa kazi. 0:05:01.400,0:05:05.960 Na Mungu akajibu haja ya moyo wangu. 0:05:05.960,0:05:09.360 Kwa hiyo nampa Mungu utukufu wote. 0:05:09.360,0:05:14.000 Mwanzoni ulisema kwamba pia ulikuwa unasumbuliwa na ganzi kwenye mkono wako 0:05:14.000,0:05:19.160 kutokana na maumivu ya bega - bado unapata ganzi hiyo? 0:05:19.160,0:05:27.160 Hakuna tena! Pako huru. niko huru katika jina la Yesu. 0:05:27.160,0:05:35.480 Neno langu la kutia moyo kwa kila mtu ni - ikiwa unahisi maumivu au unajua 0:05:35.480,0:05:41.600 una tatizo lolote kama vile[br]masuala ya afya au kitu chochote - kimbilia tu kwa Mungu. 0:05:41.600,0:05:49.640 Tafuta tu nguvu za Mungu maana Yesu Kristo ndilo jina lipitalo majina yote. 0:05:49.640,0:05:53.960 Kwa kupigwa kwake, tumeponywa[br]katika jina la Yesu.