WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.300 Je! Uanajua kuwa wewe ni kazi ya sa 00:00:08.000 --> 00:00:12.000 Mwanadamu ndiye zao kuu la Mungu. 00:00:12.000 --> 00:00:14.035 Ninamaanisha,mtu aliyeumbwa kufikiria, kuzungumza na kutenda pamoja na Mungu. 00:00:14.035 --> 00:00:20.000 Je, unaishi sambamba na Mungu? 00:00:20.000 --> 00:00:22.000 Je, hali yako ikoje mbele za Mungu leo/ 00:00:22.000 --> 00:00:25.000 Bila neema ya Roho Mtakatifu inayokaa ndani yake, mwanadamu ni kama kivuli cha yule aliyemuumba kwanza. 00:00:25.000 --> 00:00:28.210 Mwanadamu Mungu aliyemuumba hakuwa mtu wa kutawaliwa na hisia za kimwili tu, 00:00:28.210 --> 00:00:33.000 bali ni mjumbe kati ya ulimwengu unaoonekana na usioonekana. 00:00:33.000 --> 00:00:34.860 Mungu na mwanadamu walizoea kuongea pamoja kama marafiki. 00:00:34.860 --> 00:00:37.346 Lakini siku moja mwanadamu alivunja uhusiano huo kwa kutotii na kwenda mbali na Mungu. 00:00:37.346 --> 00:00:39.940 Yeye basi akaenda mbali na hatimaye akaondoka nyumbani. 00:00:39.940 --> 00:00:45.000 Aliiacha nchi yake ya asili, Edeni, mahali alipoishi na Mungu. 00:00:45.000 --> 00:00:50.000 Alihama kutoka kwenye uwepo wa Mungu. 00:00:50.000 --> 00:00:55.660 Tangu hapo, Mungu amekuwa na shauku ya kutaka kuongea na rafiki yake wa zamani, 00:00:55.660 --> 00:00:59.960 lakini mwanadamu katika kuondoka mbele ya muumba wake alipoteza lugha mama. 00:00:59.960 --> 00:01:03.280 nina maana, aliipoteza lugha ya asili aliyoitumia kuongea na Mungu. 00:01:03.280 --> 00:01:06.740 na akawa hawezi kuwasiliana na muumba wake katika roho na ukweli. 00:01:06.740 --> 00:01:12.000 Mwanadamu wa kawaida hawezi kusikia au kuongea na Mungu; hii ni changamoto inayotukabili leo. 00:01:12.000 --> 00:01:15.770 Ingawa Mungu anaongea tena na tena, walio wengi hawatilii maanani Anayoyasema [Ayubu 33:14]. 00:01:15.770 --> 00:01:18.810 Ukimya huu ni mgumu kwa Mungu. 00:01:18.810 --> 00:01:20.100 Kama ilivyokuwa hamu ya baba wa mwana mpotevu kumuona mwanae akirudi nyumbani, 00:01:20.100 --> 00:01:22.620 Mungu anayo hamu ya kuwa na ukaibu tena na mwanadamu, rafiki yake wa zamani. 00:01:22.620 --> 00:01:25.000 Ndiyo maana Amelazimika kuchagua kuchagua lugha ambayo mwanadamu ataielewa. 00:01:25.000 --> 00:01:29.000 Hivyo,Alimtuma mwanae wa pekee, Yesu Kristohapa duniani kumrudisha kwake mwanadamu, rafiki wake wa zamani. 00:01:29.000 --> 00:01:34.000 Mungu aliiheshimu lugha ya mwanadamu na kumuita Yesu NENO. 00:01:34.000 --> 00:01:38.230 NENO akawa mwili na na kuingia ulimwenguni. 00:01:38.230 --> 00:01:42.780 00:01:42.780 --> 00:01:45.990 Ingawa Mungu huzungumza tena na tena, 00:01:45.990 --> 00:01:49.000 wengi sana hawapo makini kusikia kile Anachosema (Ayubu 33:14). 00:01:49.000 --> 00:01:52.000 Ukimya ni mgumu kwa Mungu. 00:01:52.000 --> 00:01:55.700 Kama vile baba wa mwana mpotevu 00:01:55.700 --> 00:01:58.480 alivyokuwa na shauku ya kumwona mwanawe akirudi nyumbani, 00:01:58.480 --> 00:02:02.400 Mungu ana shauku ya kuwa na uhusiano wa karibu tena na mwanadamu, 00:02:02.400 --> 00:02:04.420 Rafiki yake wa zamani. 00:02:04.420 --> 00:02:06.820 Ndiyo maana ilimbidi achague lugha 00:02:06.820 --> 00:02:08.520 ambayo mwanadamu angeelewa. 00:02:08.520 --> 00:02:13.230 Kwa hivyo alimtuma Mwanawe, Yesu Kristo duniani kumrudisha mwanadamu, 00:02:13.230 --> 00:02:18.000 Rafiki Yake wa zamani, arudi Kwake tena. 00:02:18.000 --> 00:02:22.270 Mungu aliheshimu lugha ya mwanadamu kwa kumwita Yesu Neno. 00:02:22.270 --> 00:02:25.850 Neno alifanyika mwili na akaingia ulimwenguni. 00:02:25.850 --> 00:02:29.270 Yesu ni Mungu akijieleza Mwenyewe 00:02:29.270 --> 00:02:33.070 kwa lugha ambayo mwanadamu anaweza kuelewa, 00:02:33.070 --> 00:02:36.000 lugha ya roho na uzima (Yohana 6:63). 00:02:36.000 --> 00:02:38.540 Je, ni kwa muda gani tutaendelea kuwaza, 00:02:38.540 --> 00:02:41.380 kuzungumza na kuishi katika hali ya kimwili 00:02:41.380 --> 00:02:45.465 ilihali Yesu anakungoja katika mahala pa Roho Wake? 00:02:45.465 --> 00:02:48.335 Ni wasaa wa kurudi tena katika chuo cha Mungu 00:02:48.335 --> 00:02:51.545 Na kuanza kumtafuta Roho. 00:02:51.545 --> 00:02:55.650 Kutoka kwenye miaka mingi ya kujifunza chini ya, na kutembea 00:02:55.650 --> 00:02:58.540 pamoja na Jenerali wa Mungu, Nabii TB Joshua, 00:02:58.540 --> 00:03:01.090 hadi alipoitwa Nyumbani Mbinguni, 00:03:01.090 --> 00:03:06.887 shauku imewaka mioyoni mwetu kutoa hazina tuliyopewa na Mungu; 00:03:06.887 --> 00:03:10.360 Neno lililo hai katika nguvu za Roho Mtakatifu! 00:03:10.360 --> 00:03:12.310 Maandishi ya Neno hayawezi kusonga, 00:03:12.310 --> 00:03:14.880 hayawezi kufanya kazi bila uhai wa Mungu (Yohana 6:63). 00:03:14.880 --> 00:03:18.210 Kila Neno la Mungu ni Roho na uzima. 00:03:18.210 --> 00:03:20.130 Na ni uzima halisi wa Mungu 00:03:20.130 --> 00:03:24.000 katika Neno hilo unaotia nguvu, nishati katika Neno. 00:03:24.000 --> 00:03:27.110 Hili ndilo Neno linaloponya, kuokoa, kukomboa 00:03:27.110 --> 00:03:30.000 na kumwezesha mwamini kuishi maisha ya ushindi katika Kristo. 00:03:30.000 --> 00:03:34.600 Kama vile Simoni Petro katika Yohana 6:68, 00:03:34.600 --> 00:03:38.260 tumegundua kwamba hakuna mbadala wa Yesu 00:03:38.260 --> 00:03:42.000 kwa sababu Yeye peke yake ndiye mwenye Maneno ya uzima wa milele. 00:03:42.000 --> 00:03:46.900 Baada ya mshauri wetu kuitwa Nyumbani tarehe 5 Juni 2021, 00:03:46.900 --> 00:03:51.000 kama wanafunzi wa zamani, Yesu alipopaa Mbinguni, 00:03:51.000 --> 00:03:54.802 tumekuwa tukingoja katika imani. 00:03:54.802 --> 00:03:59.920 Na katika tarehe 8 ya Desemba 2021, nilipokea ufunuo toka kwa Mungu. 00:03:59.920 --> 00:04:05.050 Na nikapewa jina la 'Chuo Kikuu Cha Mungu'. 00:04:05.105 --> 00:04:15.550 [muziki] 00:04:15.550 --> 00:04:19.560 Nilijikuata katika chumba cha glasi ndani ya pango 00:04:19.560 --> 00:04:23.000 lisilokuwa na sehemu ya kutokea 00:04:23.000 --> 00:04:28.000 Ghafla mwamba wenye nguvu ukaja kutoka Mbinguni 00:04:28.000 --> 00:04:31.000 na kugonga mlima wa mawe. 00:04:31.000 --> 00:04:33.000 ulitoboa lile pango. 00:04:33.000 --> 00:04:38.000 Mlima ulitikisika, lakini nilibaki thabiti ndani ya chumba cha kioo. 00:04:38.000 --> 00:04:48.000 Jiwe lilitoboa kwenye mlima wa mawe. 00:04:48.000 --> 00:04:52.000 Niliangalia. 00:04:52.000 --> 00:04:54.000 Kisha nikatoka na kutembea. 00:04:54.000 --> 00:04:58.000 Nilisimama na kushtuka pale nilipoona 00:04:58.000 --> 00:05:06.000 mwamba ulikuwa umechimba handaki zuri kabisa iliyotengenezwa kwa dhahabu! 00:05:06.000 --> 00:05:12.000 Nilijiambia, lazima kuwe na maji mwishoni mwa handaki hili. 00:05:12.000 --> 00:05:14.000 Nilianza kutembea. 00:05:14.000 --> 00:05:18.000 Ghafla sauti ikasikika kutoka juu: 00:05:18.000 --> 00:05:25.000 “Baki hapo ulipo. Usiingie! Maji yanakujia.” 00:05:25.000 --> 00:05:29.000 Nilisimama na kubaki pale nilipokuwa. 00:05:29.000 --> 00:05:33.290 Niliposimama tuli, ghafla niliona maji 00:05:33.290 --> 00:05:36.000 yakitiririka kutoka mwishoni mwa handaki kuelekea kwangu. 00:05:36.000 --> 00:05:40.000 Maji yalikuwa safi, yakimeta kwa uhai. 00:05:40.000 --> 00:05:43.000 Yalitiririka karibu zaidi 00:05:43.000 --> 00:05:45.000 mpaka yakafika kwenye vidole vyangu 00:05:45.000 --> 00:05:53.000 na kunawisha miguu yangu kama wimbi kwenye ufuo wa bahari. 00:05:53.000 --> 00:05:55.600 Nilipokuwa nikitafakari juu ya ono hilo, 00:05:55.600 --> 00:06:02.583 moyo wangu ulinisukuma kwenye Kitabu cha Danieli 2:44. Nitasoma; 00:06:02.583 --> 00:06:07.943 Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme 00:06:07.943 --> 00:06:13.299 ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; 00:06:13.299 --> 00:06:18.363 bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuzikomesha, 00:06:18.363 --> 00:06:22.357 nao utasimama milele na milele. 00:06:22.357 --> 00:06:28.557 Hii ndiyo maana ya maono ya mwamba uliochongwa kutoka mlimani, 00:06:28.557 --> 00:06:32.212 lakini si kwa mikono ya binadamu — mwamba uliovunja 00:06:32.212 --> 00:06:40.818 chuma, shaba, udongo, fedha na dhahabu vipande vipande. 00:06:41.090 --> 00:06:44.280 Kusudi la mwamba ni nini? 00:06:44.410 --> 00:06:49.230 Kama inavyosema katika kitabu cha Yeremia 1:10, nitasoma; 00:06:49.465 --> 00:06:56.615 angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, 00:06:56.787 --> 00:07:01.927 na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda. 00:07:03.000 --> 00:07:10.350 Kusudi la mwamba ni kuondoa kizuizi kati ya mioyo yetu na Mungu. 00:07:10.350 --> 00:07:16.000 Muda ambapo mtu anapokabidhi moyo wake kwa Roho Mtakatifu, pazia huondolewa. 00:07:16.000 --> 00:07:19.750 Neno la Mungu ni mbegu ya maisha ya kiungu 00:07:19.750 --> 00:07:25.000 ambayo huja ndani ya mioyo yetu na kusababisha imani kukua. 00:07:25.000 --> 00:07:31.000 Maono hayo ni kwa wakati ulioamriwa (Habakuki 2:3). 00:07:31.000 --> 00:07:33.810 Sasa, muda umewadia 00:07:33.810 --> 00:07:37.900 Maono ni kwa ajiri kumuunganisha mwanadamu kwa Mungu tena. 00:07:37.900 --> 00:07:44.000 kupitia Neno Lake, kwa Roho Wake, ili kuujenga Mwili wa Kristo. 00:07:44.000 --> 00:07:49.000 na kushirikiana na mtandao wa makanisa kote ulimwenguni. 00:07:49.000 --> 00:07:54.000 Maono haya yanaendana na wito na zawadi ya Mungu katika maisha yetu. 00:07:54.000 --> 00:07:59.000 Mwamba ulioanguka kutoka Mbinguni ni Neno la Ufalme 00:07:59.000 --> 00:08:04.050 kama Yesu alivyosema katika Mathayo 13:19. 00:08:04.050 --> 00:08:07.240 Maono yetu ni kusaidia kuingiza Neno katika mioyo ya watu - 00:08:07.240 --> 00:08:10.590 kwa sababu ni pale tu ndipo linafanya kazi kwa ufanisi. 00:08:10.590 --> 00:08:16.290 Kama Biblia inavyosema Katika kitabu cha 2 Wakorintho 3:3 - Wacha nikusomee; 00:08:17.480 --> 00:08:20.540 Ni dhahiri kwamba ninyi ni barua iliyoandikwa na Kristo, 00:08:20.540 --> 00:08:22.490 matokeo ya kazi yetu. 00:08:22.490 --> 00:08:26.390 Barua hii haikuandikwa kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai, 00:08:26.390 --> 00:08:31.795 si juu ya vibao vya mawe, bali juu ya vibao vya mioyo ya wanadamu. 00:08:32.000 --> 00:08:36.000 Katika miongo miwili iliyopita chini ya ushauri wa Nabii TB Joshua, 00:08:36.000 --> 00:08:40.000 mwingiliano wetu na maelfu ya waumini na viongozi wa makanisa ulimwenguni kote 00:08:40.000 --> 00:08:44.410 na maswali ya mara kwa mara yaliyoulizwa na wengi wakati wa mihadhara 00:08:44.410 --> 00:08:48.000 yamevuta mtazamo wetu kwenye upande wa vitendo wa Ukristo, 00:08:48.000 --> 00:08:52.670 Namaanisha, matembezi yetu ya kila siku na Roho Mtakatifu: 00:08:52.670 --> 00:08:57.080 jinsi ya kukuza ufahamu wa kiroho, jinsi ya kusikia kutoka kwa Mungu, 00:08:57.080 --> 00:09:01.000 jinsi ya kujenga imani ya mtu katika hali ya kutokuwa na uhakika wa maisha. 00:09:01.000 --> 00:09:04.220 Masuala haya ya msingi na mengine yatashughulikiwa 00:09:04.220 --> 00:09:06.000 chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu 00:09:06.000 --> 00:09:11.310 kupitia vipindi vya ufundishaji wa kina na muda wa maswali shirikishi na majibu. 00:09:11.310 --> 00:09:16.000 Maono yetu pia yanakumbatia makanisa ya mtaani. 00:09:16.000 --> 00:09:21.020 Tunataka kushirikiana na mtandao wa huduma mbalimbali 00:09:21.020 --> 00:09:28.000 ili kutoa ujuzi wetu, uzoefu, na karama za kiroho kama Roho anavyoongoza. 00:09:28.000 --> 00:09:35.000 Hadi kanisa la leo linatambua kwamba roho ya mwanadamu ni chemchemi ya imani, 00:09:35.000 --> 00:09:39.000 hapo ndipo Roho Mtakatifu atakapohusika katika mambo yetu. 00:09:39.000 --> 00:09:41.870 Jiunge nasi katika Chuo Kikuu cha Mungu 00:09:41.870 --> 00:09:45.530 Maarifa ya kimwili hukoma, mara ufunuo unapowadia. 00:09:45.530 --> 00:09:48.000 Kama mshauri wetu, Nabii TB Joshua alitufundisha, 00:09:48.000 --> 00:09:54.830 “Katika Chuo Kikuu cha Mungu, hata uwe na kipaji gani, hutapandishwa maradufu, 00:09:55.140 --> 00:10:00.000 lazima usome kila kozi kwani kila kozi ina kusudi lake.” 00:10:00.000 --> 00:10:02.000 Kwa hiyo, unahitaji nini? 00:10:02.000 --> 00:10:04.000 Moyo wazi. 00:10:04.000 --> 00:10:08.700 Ni nyenzo gani zinazohitajika kuchukua kila kozi - kutokukata tamaa, 00:10:08.700 --> 00:10:11.190 kutafuta njia mbadala au kukata tamaa 00:10:11.190 --> 00:10:13.600 kwa vipigo vya kikatili vya maisha vya mara kwa mara? 00:10:13.600 --> 00:10:23.000 Unyenyekevu, imani, uvumilivu, saburi, msamaha na upendo bila kutarajia. 00:10:23.000 --> 00:10:25.000 Nani anasahihisha kazi zetu? 00:10:25.000 --> 00:10:27.480 Roho Mtakatifu. 00:10:27.480 --> 00:10:34.070 Mungu anakungojea mahala pa Roho wake.