1 00:00:08,000 --> 00:00:12,000 Je! unajua kuwa wewe ni kazi ya sanaa? 2 00:00:12,000 --> 00:00:14,000 Mwanadamu ndiye bidhaa kuu ya Mungu. 3 00:00:14,000 --> 00:00:20,000 Ninamaanisha, mtu aliyeundwa kufikiria, kuzungumza na kutenda na Mungu. 4 00:00:20,000 --> 00:00:22,000 Je, unaishi pamoja na Mungu? 5 00:00:22,000 --> 00:00:25,000 Je, hali yako ikoje mbele za Mungu leo? 6 00:00:25,000 --> 00:00:33,000 Bila neema ya Roho Mtakatifu inayokaa ndani yake, mwanadamu ni kivuli tu cha yule aliyeumbwa na Mungu! 7 00:00:33,000 --> 00:00:39,000 Mwanadamu ambaye Mungu alimuumba hakuwa mtu wa kimwili tu anayetawaliwa na hisi zake 8 00:00:39,000 --> 00:00:45,000 bali ni mjumbe kati ya ulimwengu unaoonekana na usioonekana. 9 00:00:45,000 --> 00:00:50,000 Mungu na mwanadamu walikuwa wakizungumza pamoja kama marafiki. 10 00:00:50,000 --> 00:00:57,000 Lakini siku moja mwanadamu alivunja uhusiano kwa kutotii na akaenda mbali na Mungu. 11 00:00:57,000 --> 00:01:03,000 Kisha akaenda mbali zaidi hadi mwishowe akaondoka nyumbani. 12 00:01:03,000 --> 00:01:06,000 Aliiacha nchi yake ya asili, Edeni, ambako aliishi na Mungu. 13 00:01:06,000 --> 00:01:12,000 Alihama kutoka kwa uwepo wa Mungu. 14 00:01:12,000 --> 00:01:18,000 Tangu wakati huo, Mungu amekuwa na shauku ya kuwa kuzungumza tena na rafiki yake wa zamani 15 00:01:18,000 --> 00:01:25,000 lakini mwanadamu, kwa kuacha uwepo wa Muumba wake, alikuwa amepoteza lugha yake mama. 16 00:01:25,000 --> 00:01:29,000 Namaanisha, alipoteza lugha yake ya asili na Mungu 17 00:01:29,000 --> 00:01:34,000 na hakuweza kuwasiliana na Muumba wake katika roho na kweli. 18 00:01:34,000 --> 00:01:42,000 Mwanadamu wa kawaida hawezi kusikia au kuzungumza na Mungu; hii ndiyo changamoto tunayokabiliana nayo leo. 19 00:01:42,780 --> 00:01:45,990 Ingawa Mungu huzungumza tena na tena, 20 00:01:45,990 --> 00:01:49,000 wengi sana hawapo makini kusikia kile Anachosema (Ayubu 33:14). 21 00:01:49,000 --> 00:01:52,000 Ukimya ni mgumu kwa Mungu. 22 00:01:52,000 --> 00:01:55,700 Kama vile baba wa mwana mpotevu 23 00:01:55,700 --> 00:01:58,480 alivyokuwa na shauku ya kumwona mwanawe akirudi nyumbani, 24 00:01:58,480 --> 00:02:02,400 Mungu ana shauku ya kuwa na uhusiano wa karibu tena na mwanadamu, 25 00:02:02,400 --> 00:02:04,420 Rafiki yake wa zamani. 26 00:02:04,420 --> 00:02:06,820 Ndiyo maana ilimbidi achague lugha 27 00:02:06,820 --> 00:02:08,520 ambayo mwanadamu angeelewa. 28 00:02:08,520 --> 00:02:13,230 Kwa hivyo alimtuma Mwanawe, Yesu Kristo duniani kumrudisha mwanadamu, 29 00:02:13,230 --> 00:02:18,000 Rafiki Yake wa zamani, arudi Kwake tena. 30 00:02:18,000 --> 00:02:22,270 Mungu aliheshimu lugha ya mwanadamu kwa kumwita Yesu Neno. 31 00:02:22,270 --> 00:02:25,850 Neno alifanyika mwili na akaingia ulimwenguni. 32 00:02:25,850 --> 00:02:29,270 Yesu ni Mungu akijieleza Mwenyewe 33 00:02:29,270 --> 00:02:33,070 kwa lugha ambayo mwanadamu anaweza kuelewa, 34 00:02:33,070 --> 00:02:36,000 lugha ya roho na uzima (Yohana 6:63). 35 00:02:36,000 --> 00:02:38,540 Je, ni kwa muda gani tutaendelea kuwaza, 36 00:02:38,540 --> 00:02:41,380 kuzungumza na kuishi katika hali ya kimwili 37 00:02:41,380 --> 00:02:45,465 ilihali Yesu anakungoja katika mahala pa Roho Wake? 38 00:02:45,465 --> 00:02:48,335 Ni wasaa wa kurudi tena katika chuo cha Mungu 39 00:02:48,335 --> 00:02:51,545 Na kuanza kumtafuta Roho. 40 00:02:51,545 --> 00:02:55,650 Kutoka kwenye miaka mingi ya kujifunza chini ya, na kutembea 41 00:02:55,650 --> 00:02:58,540 pamoja na Jenerali wa Mungu, Nabii TB Joshua, 42 00:02:58,540 --> 00:03:01,090 hadi alipoitwa Nyumbani Mbinguni, 43 00:03:01,090 --> 00:03:06,887 shauku imewaka mioyoni mwetu kutoa hazina tuliyopewa na Mungu; 44 00:03:06,887 --> 00:03:10,360 Neno lililo hai katika nguvu za Roho Mtakatifu! 45 00:03:10,360 --> 00:03:12,310 Maandishi ya Neno hayawezi kusonga, 46 00:03:12,310 --> 00:03:14,880 hayawezi kufanya kazi bila uhai wa Mungu (Yohana 6:63). 47 00:03:14,880 --> 00:03:18,210 Kila Neno la Mungu ni Roho na uzima. 48 00:03:18,210 --> 00:03:20,130 Na ni uzima halisi wa Mungu 49 00:03:20,130 --> 00:03:24,000 katika Neno hilo unaotia nguvu, nishati katika Neno. 50 00:03:24,000 --> 00:03:27,110 Hili ndilo Neno linaloponya, kuokoa, kukomboa 51 00:03:27,110 --> 00:03:30,000 na kumwezesha mwamini kuishi maisha ya ushindi katika Kristo. 52 00:03:30,000 --> 00:03:34,600 Kama vile Simoni Petro katika Yohana 6:68, 53 00:03:34,600 --> 00:03:38,260 tumegundua kwamba hakuna mbadala wa Yesu 54 00:03:38,260 --> 00:03:42,000 kwa sababu Yeye peke yake ndiye mwenye Maneno ya uzima wa milele. 55 00:03:42,000 --> 00:03:46,900 Baada ya mshauri wetu kuitwa Nyumbani tarehe 5 Juni 2021, 56 00:03:46,900 --> 00:03:51,000 kama wanafunzi wa zamani, Yesu alipopaa Mbinguni, 57 00:03:51,000 --> 00:03:54,802 tumekuwa tukingoja katika imani. 58 00:03:54,802 --> 00:03:59,920 Na katika tarehe 8 ya Desemba 2021, nilipokea ufunuo toka kwa Mungu. 59 00:03:59,920 --> 00:04:05,050 Na nikapewa jina la 'Chuo Kikuu Cha Mungu'. 60 00:04:05,105 --> 00:04:15,550 [muziki] 61 00:04:15,550 --> 00:04:19,560 Nilijikuata katika chumba cha glasi ndani ya pango 62 00:04:19,560 --> 00:04:23,000 lisilokuwa na sehemu ya kutokea 63 00:04:23,000 --> 00:04:28,000 Ghafla mwamba wenye nguvu ukaja kutoka Mbinguni 64 00:04:28,000 --> 00:04:31,000 na kugonga mlima wa mawe. 65 00:04:31,000 --> 00:04:33,000 ulitoboa lile pango. 66 00:04:33,000 --> 00:04:38,000 Mlima ulitikisika, lakini nilibaki thabiti ndani ya chumba cha kioo. 67 00:04:38,000 --> 00:04:48,000 Jiwe lilitoboa kwenye mlima wa mawe. 68 00:04:48,000 --> 00:04:52,000 Niliangalia. 69 00:04:52,000 --> 00:04:54,000 Kisha nikatoka na kutembea. 70 00:04:54,000 --> 00:04:58,000 Nilisimama na kushtuka pale nilipoona 71 00:04:58,000 --> 00:05:06,000 mwamba ulikuwa umechimba handaki zuri kabisa iliyotengenezwa kwa dhahabu! 72 00:05:06,000 --> 00:05:12,000 Nilijiambia, lazima kuwe na maji mwishoni mwa handaki hili. 73 00:05:12,000 --> 00:05:14,000 Nilianza kutembea. 74 00:05:14,000 --> 00:05:18,000 Ghafla sauti ikasikika kutoka juu: 75 00:05:18,000 --> 00:05:25,000 “Baki hapo ulipo. Usiingie! Maji yanakujia.” 76 00:05:25,000 --> 00:05:29,000 Nilisimama na kubaki pale nilipokuwa. 77 00:05:29,000 --> 00:05:33,290 Niliposimama tuli, ghafla niliona maji 78 00:05:33,290 --> 00:05:36,000 yakitiririka kutoka mwishoni mwa handaki kuelekea kwangu. 79 00:05:36,000 --> 00:05:40,000 Maji yalikuwa safi, yakimeta kwa uhai. 80 00:05:40,000 --> 00:05:43,000 Yalitiririka karibu zaidi 81 00:05:43,000 --> 00:05:45,000 mpaka yakafika kwenye vidole vyangu 82 00:05:45,000 --> 00:05:53,000 na kunawisha miguu yangu kama wimbi kwenye ufuo wa bahari. 83 00:05:53,000 --> 00:05:55,600 Nilipokuwa nikitafakari juu ya ono hilo, 84 00:05:55,600 --> 00:06:02,583 moyo wangu ulinisukuma kwenye Kitabu cha Danieli 2:44. Nitasoma; 85 00:06:02,583 --> 00:06:07,943 Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme 86 00:06:07,943 --> 00:06:13,299 ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; 87 00:06:13,299 --> 00:06:18,363 bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuzikomesha, 88 00:06:18,363 --> 00:06:22,357 nao utasimama milele na milele. 89 00:06:22,357 --> 00:06:28,557 Hii ndiyo maana ya maono ya mwamba uliochongwa kutoka mlimani, 90 00:06:28,557 --> 00:06:32,212 lakini si kwa mikono ya binadamu — mwamba uliovunja 91 00:06:32,212 --> 00:06:40,818 chuma, shaba, udongo, fedha na dhahabu vipande vipande. 92 00:06:41,090 --> 00:06:44,280 Kusudi la mwamba ni nini? 93 00:06:44,410 --> 00:06:49,230 Kama inavyosema katika kitabu cha Yeremia 1:10, nitasoma; 94 00:06:49,465 --> 00:06:56,615 angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, 95 00:06:56,787 --> 00:07:01,927 na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda. 96 00:07:03,000 --> 00:07:10,350 Kusudi la mwamba ni kuondoa kizuizi kati ya mioyo yetu na Mungu. 97 00:07:10,350 --> 00:07:16,000 Muda ambapo mtu anapokabidhi moyo wake kwa Roho Mtakatifu, pazia huondolewa. 98 00:07:16,000 --> 00:07:19,750 Neno la Mungu ni mbegu ya maisha ya kiungu 99 00:07:19,750 --> 00:07:25,000 ambayo huja ndani ya mioyo yetu na kusababisha imani kukua. 100 00:07:25,000 --> 00:07:31,000 Maono hayo ni kwa wakati ulioamriwa (Habakuki 2:3). 101 00:07:31,000 --> 00:07:33,810 Sasa, muda umewadia 102 00:07:33,810 --> 00:07:37,900 Maono ni kwa ajiri kumuunganisha mwanadamu kwa Mungu tena. 103 00:07:37,900 --> 00:07:44,000 kupitia Neno Lake, kwa Roho Wake, ili kuujenga Mwili wa Kristo. 104 00:07:44,000 --> 00:07:49,000 na kushirikiana na mtandao wa makanisa kote ulimwenguni. 105 00:07:49,000 --> 00:07:54,000 Maono haya yanaendana na wito na zawadi ya Mungu katika maisha yetu. 106 00:07:54,000 --> 00:07:59,000 Mwamba ulioanguka kutoka Mbinguni ni Neno la Ufalme 107 00:07:59,000 --> 00:08:04,050 kama Yesu alivyosema katika Mathayo 13:19. 108 00:08:04,050 --> 00:08:07,240 Maono yetu ni kusaidia kuingiza Neno katika mioyo ya watu - 109 00:08:07,240 --> 00:08:10,590 kwa sababu ni pale tu ndipo linafanya kazi kwa ufanisi. 110 00:08:10,590 --> 00:08:16,290 Kama Biblia inavyosema Katika kitabu cha 2 Wakorintho 3:3 - Wacha nikusomee; 111 00:08:17,480 --> 00:08:20,540 Ni dhahiri kwamba ninyi ni barua iliyoandikwa na Kristo, 112 00:08:20,540 --> 00:08:22,490 matokeo ya kazi yetu. 113 00:08:22,490 --> 00:08:26,390 Barua hii haikuandikwa kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai, 114 00:08:26,390 --> 00:08:31,795 si juu ya vibao vya mawe, bali juu ya vibao vya mioyo ya wanadamu. 115 00:08:32,000 --> 00:08:36,000 Katika miongo miwili iliyopita chini ya ushauri wa Nabii TB Joshua, 116 00:08:36,000 --> 00:08:40,000 mwingiliano wetu na maelfu ya waumini na viongozi wa makanisa ulimwenguni kote 117 00:08:40,000 --> 00:08:44,410 na maswali ya mara kwa mara yaliyoulizwa na wengi wakati wa mihadhara 118 00:08:44,410 --> 00:08:48,000 yamevuta mtazamo wetu kwenye upande wa vitendo wa Ukristo, 119 00:08:48,000 --> 00:08:52,670 Namaanisha, matembezi yetu ya kila siku na Roho Mtakatifu: 120 00:08:52,670 --> 00:08:57,080 jinsi ya kukuza ufahamu wa kiroho, jinsi ya kusikia kutoka kwa Mungu, 121 00:08:57,080 --> 00:09:01,000 jinsi ya kujenga imani ya mtu katika hali ya kutokuwa na uhakika wa maisha. 122 00:09:01,000 --> 00:09:04,220 Masuala haya ya msingi na mengine yatashughulikiwa 123 00:09:04,220 --> 00:09:06,000 chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu 124 00:09:06,000 --> 00:09:11,310 kupitia vipindi vya ufundishaji wa kina na muda wa maswali shirikishi na majibu. 125 00:09:11,310 --> 00:09:16,000 Maono yetu pia yanakumbatia makanisa ya mtaani. 126 00:09:16,000 --> 00:09:21,020 Tunataka kushirikiana na mtandao wa huduma mbalimbali 127 00:09:21,020 --> 00:09:28,000 ili kutoa ujuzi wetu, uzoefu, na karama za kiroho kama Roho anavyoongoza. 128 00:09:28,000 --> 00:09:35,000 Hadi kanisa la leo linatambua kwamba roho ya mwanadamu ni chemchemi ya imani, 129 00:09:35,000 --> 00:09:39,000 hapo ndipo Roho Mtakatifu atakapohusika katika mambo yetu. 130 00:09:39,000 --> 00:09:41,870 Jiunge nasi katika Chuo Kikuu cha Mungu 131 00:09:41,870 --> 00:09:45,530 Maarifa ya kimwili hukoma, mara ufunuo unapowadia. 132 00:09:45,530 --> 00:09:48,000 Kama mshauri wetu, Nabii TB Joshua alitufundisha, 133 00:09:48,000 --> 00:09:54,830 “Katika Chuo Kikuu cha Mungu, hata uwe na kipaji gani, hutapandishwa maradufu, 134 00:09:55,140 --> 00:10:00,000 lazima usome kila kozi kwani kila kozi ina kusudi lake.” 135 00:10:00,000 --> 00:10:02,000 Kwa hiyo, unahitaji nini? 136 00:10:02,000 --> 00:10:04,000 Moyo wazi. 137 00:10:04,000 --> 00:10:08,700 Ni nyenzo gani zinazohitajika kuchukua kila kozi - kutokukata tamaa, 138 00:10:08,700 --> 00:10:11,190 kutafuta njia mbadala au kukata tamaa 139 00:10:11,190 --> 00:10:13,600 kwa vipigo vya kikatili vya maisha vya mara kwa mara? 140 00:10:13,600 --> 00:10:23,000 Unyenyekevu, imani, uvumilivu, saburi, msamaha na upendo bila kutarajia. 141 00:10:23,000 --> 00:10:25,000 Nani anasahihisha kazi zetu? 142 00:10:25,000 --> 00:10:27,480 Roho Mtakatifu. 143 00:10:27,480 --> 00:10:34,070 Mungu anakungojea mahala pa Roho wake.