0:00:08.000,0:00:12.000 Je! unajua kuwa wewe ni kazi ya sanaa? 0:00:12.000,0:00:14.035 Mwanadamu ndiye zao kuu la Mungu. 0:00:14.035,0:00:16.470 Ninamaanisha, mtu aliyeundwa kufikiria, 0:00:16.470,0:00:20.000 kuzungumza na kutenda pamoja na Mungu. 0:00:20.000,0:00:22.000 Je, unaishi sambamba na Mungu? 0:00:22.000,0:00:25.000 Je, hali yako ikoje mbele za Mungu leo? 0:00:25.000,0:00:28.030 Bila neema ya Roho Mtakatifu inayokaa ndani yake, 0:00:28.030,0:00:33.000 mwanadamu ni kivuli tu cha yule aliyeumbwa na Mungu! 0:00:33.000,0:00:34.860 Mwanadamu ambaye Mungu alimuumba 0:00:34.860,0:00:37.346 hakuwa mtu wa kimwili tu 0:00:37.346,0:00:39.940 anayetawaliwa na hisi zake 0:00:39.940,0:00:42.070 bali ni mjumbe kati ya ulimwengu 0:00:42.070,0:00:45.000 unaoonekana na usioonekana. 0:00:45.000,0:00:47.940 Mungu na mwanadamu walikuwa wakizungumza 0:00:47.940,0:00:50.000 pamoja kama marafiki. 0:00:50.000,0:00:52.190 Lakini siku moja, mwanadamu 0:00:52.190,0:00:55.660 alivunja uhusiano kwa kutokutii 0:00:55.660,0:00:57.880 na akaenda mbali na Mungu. 0:00:57.880,0:01:01.320 Kisha akaenda mbali zaidi hadi, 0:01:01.320,0:01:03.280 mwishowe akaondoka nyumbani. 0:01:03.280,0:01:05.000 Aliiacha nchi yake ya asili, Edeni, 0:01:05.000,0:01:06.740 ambako aliishi na Mungu. 0:01:06.740,0:01:12.000 Alihama kutoka kwenye uwepo wa Mungu. 0:01:12.000,0:01:14.100 Tangu wakati huo, Mungu amekuwa 0:01:14.100,0:01:15.770 na shauku ya kuweza [br]kuzungumza tena 0:01:15.770,0:01:18.810 na rafiki yake wa zamani 0:01:18.810,0:01:20.100 lakini mwanadamu, 0:01:20.100,0:01:22.620 kwa kuondoka katika uwepo wa Muumba wake, 0:01:22.620,0:01:25.000 alipoteza lugha yake mama. 0:01:25.000,0:01:29.000 Namaanisha, alipoteza lugha yake [br]ya asili na Mungu. 0:01:29.000,0:01:34.000 Na akawa hawezi kuwasiliana na [br]Muumba wake katika roho na kweli. 0:01:34.000,0:01:38.230 Mwanadamu wa kawaida hawezi kusikia[br]au kuzungumza na Mungu; 0:01:38.230,0:01:42.780 hii ndiyo changamoto tunayokabiliana[br]nayo leo. 0:01:42.780,0:01:45.990 Ingawa Mungu huzungumza tena na tena, 0:01:45.990,0:01:49.000 wengi sana hawapo makini kusikia [br]kile Anachosema (Ayubu 33:14). 0:01:49.000,0:01:52.000 Ukimya ni mgumu kwa Mungu. 0:01:52.000,0:01:55.700 Kama vile baba wa mwana mpotevu 0:01:55.700,0:01:58.480 alivyokuwa na shauku ya kumwona[br]mwanawe akirudi nyumbani, 0:01:58.480,0:02:02.400 Mungu ana shauku ya kuwa na uhusiano[br]wa karibu tena na mwanadamu, 0:02:02.400,0:02:04.420 Rafiki yake wa zamani. 0:02:04.420,0:02:06.820 Ndiyo maana ilimbidi achague lugha 0:02:06.820,0:02:08.520 ambayo mwanadamu angeelewa. 0:02:08.520,0:02:13.230 Kwa hivyo alimtuma Mwanawe,[br]Yesu Kristo duniani kumrudisha mwanadamu, 0:02:13.230,0:02:18.000 Rafiki Yake wa zamani, arudi Kwake tena. 0:02:18.000,0:02:22.270 Mungu aliheshimu lugha ya mwanadamu[br]kwa kumwita Yesu Neno. 0:02:22.270,0:02:25.850 Neno alifanyika mwili na akaingia [br]ulimwenguni. 0:02:25.850,0:02:29.270 Yesu ni Mungu akijieleza Mwenyewe 0:02:29.270,0:02:33.070 kwa lugha ambayo mwanadamu[br]anaweza kuelewa, 0:02:33.070,0:02:36.000 lugha ya roho na uzima (Yohana 6:63). 0:02:36.000,0:02:38.540 Je, ni kwa muda gani tutaendelea kuwaza, 0:02:38.540,0:02:41.380 kuzungumza na kuishi katika hali [br]ya kimwili 0:02:41.380,0:02:45.465 ilihali Yesu anakungoja katika mahala[br]pa Roho Wake? 0:02:45.465,0:02:48.335 Ni wasaa wa kurudi tena katika chuo [br]cha Mungu 0:02:48.335,0:02:51.545 Na kuanza kumtafuta Roho. 0:02:51.545,0:02:55.650 Kutoka kwenye miaka mingi ya kujifunza[br]chini ya, na kutembea 0:02:55.650,0:02:58.540 pamoja na Jenerali wa Mungu, Nabii[br]TB Joshua, 0:02:58.540,0:03:01.090 hadi alipoitwa Nyumbani Mbinguni, 0:03:01.090,0:03:06.887 shauku imewasha mioyoni mwetu[br]kutoa hazina tuliyopewa na Mungu; 0:03:06.887,0:03:10.360 Neno lililo hai katika nguvu za [br]Roho Mtakatifu! 0:03:10.360,0:03:12.310 Maandishi ya Neno hayawezi kusonga, 0:03:12.310,0:03:14.880 haiwezi kufanya kazi bila [br]uhai wa Mungu (Yohana 6:63). 0:03:14.880,0:03:18.210 Kila Neno la Mungu ni Roho na uzima. 0:03:18.210,0:03:20.130 Na ni uzima halisi wa Mungu 0:03:20.130,0:03:24.000 katika Neno hilo unaotia nguvu,[br]nishati katika Neno. 0:03:24.000,0:03:27.110 Hili ndilo Neno linaloponya, kuokoa,[br]kukomboa 0:03:27.110,0:03:30.000 na kumwezesha mwamini kuishi maisha[br]ya ushindi katika Kristo. 0:03:30.000,0:03:34.600 Kama vile Simoni Petro katika Yohana 6:68, 0:03:34.600,0:03:38.260 tumegundua kwamba hakuna mbadala wa Yesu 0:03:38.260,0:03:42.000 kwa sababu Yeye peke yake ndiye mwenye [br]Maneno ya uzima wa milele. 0:03:42.000,0:03:46.900 Baada ya mshauri wetu kuitwa Nyumbani[br]tarehe 5 Juni 2021, 0:03:46.900,0:03:51.000 kama wanafunzi wa zamani,[br]Yesu alipopaa Mbinguni, 0:03:51.000,0:03:54.802 tumekuwa tukingoja katika imani. 0:03:54.802,0:03:59.920 Na katika tarehe 8 ya Desemba 2021,[br]nilipokea ufunuo toka kwa Mungu. 0:03:59.920,0:04:05.050 Na nikapewa jina la [br]'Chuo Kikuu Cha Mungu'. 0:04:05.105,0:04:15.550 [muziki] 0:04:15.550,0:04:19.560 Nilijikuata katika chumba cha glasi[br]ndani ya pango 0:04:19.560,0:04:23.000 lisilokuwa na sehemu ya kutokea 0:04:23.000,0:04:28.000 Ghafla mwamba wenye nguvu ukaja [br]kutoka Mbinguni 0:04:28.000,0:04:31.000 na kugonga mlima wa mawe. 0:04:31.000,0:04:33.000 ulitoboa lile pango. 0:04:33.000,0:04:38.000 Mlima ulitikisika, lakini nilibaki[br]thabiti ndani ya chumba cha kioo. 0:04:38.000,0:04:48.000 Jiwe lilitoboa kwenye mlima wa mawe. 0:04:48.000,0:04:52.000 Niliangalia. 0:04:52.000,0:04:54.000 Kisha nikatoka na kutembea. 0:04:54.000,0:04:58.000 Nilisimama na kushtuka pale nilipoona 0:04:58.000,0:05:06.000 mwamba ulikuwa umechimba handaki zuri kabisa[br]iliyotengenezwa kwa dhahabu! 0:05:06.000,0:05:12.000 Nilijiambia, lazima kuwe na maji[br]mwishoni mwa handaki hili. 0:05:12.000,0:05:14.000 Nilianza kutembea. 0:05:14.000,0:05:18.000 Ghafla sauti ikasikika kutoka juu: 0:05:18.000,0:05:25.000 “Baki hapo ulipo. Usiingie![br]Maji yanakujia.” 0:05:25.000,0:05:29.000 Nilisimama na kubaki pale nilipokuwa. 0:05:29.000,0:05:33.290 Niliposimama tuli, ghafla niliona maji 0:05:33.290,0:05:36.000 yakitiririka kutoka mwishoni mwa handaki [br]kuelekea kwangu. 0:05:36.000,0:05:40.000 Maji yalikuwa safi, yakimeta kwa uhai. 0:05:40.000,0:05:43.000 Yalitiririka karibu zaidi 0:05:43.000,0:05:45.000 mpaka yakafika kwenye vidole vyangu 0:05:45.000,0:05:53.000 na kunawisha miguu yangu kama wimbi[br]kwenye ufuo wa bahari. 0:05:53.000,0:05:55.600 Nilipokuwa nikitafakari juu ya ono hilo, 0:05:55.600,0:06:02.583 moyo wangu ulinisukuma kwenye [br]Kitabu cha Danieli 2:44. Nitasoma; 0:06:02.583,0:06:07.943 Na katika siku za wafalme hao Mungu[br]wa mbinguni atausimamisha ufalme 0:06:07.943,0:06:13.299 ambao hautaangamizwa milele, wala watu [br]wengine hawataachiwa enzi yake; 0:06:13.299,0:06:18.363 bali utavunja falme hizi zote [br]vipande vipande na kuzikomesha, 0:06:18.363,0:06:22.357 nao utasimama milele na milele. 0:06:22.357,0:06:28.557 Hii ndiyo maana ya maono ya mwamba [br]uliochongwa kutoka mlimani, 0:06:28.557,0:06:32.212 lakini si kwa mikono ya binadamu[br]— mwamba uliovunja 0:06:32.212,0:06:40.818 chuma, shaba, udongo, fedha na dhahabu [br]vipande vipande. 0:06:41.090,0:06:44.280 Kusudi la mwamba ni nini? 0:06:44.410,0:06:49.230 Kama inavyosema katika kitabu cha [br]Yeremia 1:10, nitasoma; 0:06:49.465,0:06:56.615 angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa [br]na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, 0:06:56.787,0:07:01.927 na kuharibu, na kuangamiza; [br]ili kujenga na kupanda. 0:07:03.000,0:07:10.350 Kusudi la mwamba ni kuondoa kizuizi [br]kati ya mioyo yetu na Mungu. 0:07:10.350,0:07:16.000 Muda ambapo mtu anapokabidhi moyo wake[br]kwa Roho Mtakatifu, pazia huondolewa. 0:07:16.000,0:07:19.750 Neno la Mungu ni mbegu ya maisha ya [br]kiungu 0:07:19.750,0:07:25.000 ambayo huja ndani ya mioyo yetu[br]na kusababisha imani kukua. 0:07:25.000,0:07:31.000 Maono hayo ni ya wakati uliowekwa (Habakuki 2:3). 0:07:33.000,0:07:43.000 Maono ni kuunganisha mwanadamu na Mungu 0:07:43.000,0:07:44.000 kupitia Neno Lake, kwa Roho Wake, [br]ili kuujenga Mwili wa Kristo. 0:07:44.000,0:07:49.000 na kushirikiana na mtandao wa makanisa[br]kote ulimwenguni. 0:07:49.000,0:07:54.000 Maono hayo yanaendana na wito na[br]zawadi ya Mungu katika maisha yetu. 0:07:54.000,0:08:02.000 Mwamba ulioanguka kutoka Mbinguni [br]ni Neno la Ufalme 0:08:02.000,0:08:03.000 kama Yesu alivyosema katika Mathayo 13:19. 0:08:03.000,0:08:10.000 Maono yetu ni kusaidia kuingiza Neno[br]katika mioyo ya watu - 0:08:20.500,0:08:21.500 kwa sababu ni pale tu ndipo linafanya kazi[br]kwa ufanisi. 0:08:32.000,0:08:36.000 Katika miongo miwili iliyopita chini ya ushauri [br]wa Nabii TB Joshua, 0:08:36.000,0:08:40.000 mwingiliano wetu na maelfu ya waumini na [br]viongozi wa kanisa ulimwenguni kote 0:08:40.000,0:08:47.000 na maswali ya mara kwa mara yaliyoulizwa[br]na wengi wakati wa mihadhara 0:08:47.000,0:08:48.000 yamevuta mtazamo wetu kwa upande[br]wa vitendo wa Ukristo, 0:08:48.000,0:08:52.000 Namaanisha, matembezi yetu[br]ya kila siku na Roho Mtakatifu: 0:08:52.000,0:09:00.000 jinsi ya kukuza ufahamu wa kiroho, [br]jinsi ya kusikia kutoka kwa Mungu, 0:09:00.000,0:09:01.000 jinsi ya kujenga imani ya mtu katika[br]uso wa kutokuwa na uhakika wa maisha. 0:09:01.000,0:09:05.000 Masuala haya ya msingi na mengine[br]yatashughulikiwa 0:09:05.000,0:09:06.000 chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu 0:09:06.000,0:09:11.000 kupitia vipindi vya ufundishaji wa kina [br]na muda wa maswali shirikishi na majibu. 0:09:11.000,0:09:16.000 Maono yetu pia yanakumbatia [br]makanisa ya mtaa. 0:09:16.000,0:09:27.000 Tunataka kushirikiana na mtandao wa [br]huduma ili kutoa ujuzi wetu, uzoefu, 0:09:27.000,0:09:28.000 na karama za kiroho kama Roho anavyoongoza. 0:09:28.000,0:09:35.000 Hadi kanisa la leo linatambua kwamba [br]roho ya mwanadamu ni chemchemi ya imani, 0:09:35.000,0:09:39.000 hapo ndipo Roho Mtakatifu atakapohusika[br]katika mambo yetu. 0:09:45.000,0:09:48.000 Kama mshauri wetu, Nabii TB Joshua[br]alitufundisha, 0:09:48.000,0:09:55.000 “Katika Chuo Kikuu cha Mungu, hata uwe [br]na kipaji gani, hutapewa vyeo maradufu, 0:09:55.000,0:10:00.000 lazima usome kila kozi kwa[br]kila kozi ina kusudi lake.” 0:10:00.000,0:10:02.000 Kwa hiyo, unahitaji nini? 0:10:02.000,0:10:04.000 Moyo wazi. 0:10:04.000,0:10:12.000 Ni nyenzo gani zinazohitajika kuchukua [br]kila kozi - kutokukata tamaa, 0:10:12.000,0:10:13.000 kutafuta njia mbadala au kukata tamaa kwa[br]vipigo vya kikatili vya maisha mara nyingi? 0:10:13.000,0:10:23.000 Unyenyekevu, imani, saburi, saburi,[br]msamaha na upendo bila kutarajia. 0:10:23.000,0:10:25.000 Nani anaashiria kazi yetu? 0:10:25.000,0:10:27.000 Roho Mtakatifu.