0:00:00.000,0:00:04.500 Fanya bidii kuielekea ndoto yako. Ndoto yako haitafanya kazi badala yako. 0:00:04.500,0:00:10.033 Fanya kazi kwa bidii kuuelekea mpango wako. Mpango wako hautapanda mbegu badala yako. 0:00:10.033,0:00:15.500 Changanya kazi kubwa na imani tulivu kwa Mungu kwa siku zijazo.