kilicho muhimu ukijiandalia 2024 inaanza na kuuchunguza siku kutoka leo hii kwa sababu haijalishi ukuu wa mielekeo yetu ama mipango jua hii maisha yako haitabadilika mwaka wa 2924 ila tu ubadilishe mambo ufanyayo kila siku kuwa na bidii mwka wa 2024 kaa imara leo ukajitayarishe kwa yale mambo hujaweza kujitayarisha nayo mwaka wa 2024 jali hii siku ya leo kwa kuwa leo ni yako