[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:09.04,Default,,0000,0000,0000,,Mahali pa kwanza unapaswa kufanikiwa ni maisha yako ya kiroho, Dialogue: 0,0:00:09.04,0:00:16.68,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu maisha yako ya kiroho ndio injini inayobeba mafanikio yako. Dialogue: 0,0:00:16.68,0:00:22.32,Default,,0000,0000,0000,,Ukifanikiwa kifedha bila kufanikiwa kiroho, Dialogue: 0,0:00:22.32,0:00:27.68,Default,,0000,0000,0000,,ni kama kumiliki gari zuri lisilo na injini. Dialogue: 0,0:00:27.68,0:00:33.52,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kuonekana nzuri, lakini haina thamani kwa sababu haiwezi kwenda popote. Dialogue: 0,0:00:33.52,0:00:36.40,Default,,0000,0000,0000,,Thamani yake halisi imepotea. Dialogue: 0,0:00:36.40,0:00:38.96,Default,,0000,0000,0000,,Kusudi lake la kweli halipo. Dialogue: 0,0:00:38.96,0:00:42.60,Default,,0000,0000,0000,,Imekuwa gwaride la mtindo tu. Dialogue: 0,0:00:42.60,0:00:48.60,Default,,0000,0000,0000,,Hivi ndivyo alivyo mtu ambaye anafanikiwa kifedha bila kufanikiwa kiroho. Dialogue: 0,0:00:48.60,0:00:50.64,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuwaona wakiwa na pesa. Dialogue: 0,0:00:50.64,0:00:54.12,Default,,0000,0000,0000,,Wana pesa lakini bado wana maswali ambayo hayajajibiwa maishani mwao. Dialogue: 0,0:00:54.12,0:00:58.12,Default,,0000,0000,0000,,Wana mali, lakini bado wanalalamikia wasichonacho. Dialogue: 0,0:00:58.12,0:01:02.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa faragha, wakati taa zimezimwa na hakuna mtu anayeangalia, Dialogue: 0,0:01:02.60,0:01:07.68,Default,,0000,0000,0000,,wanalilia wasichonacho. Dialogue: 0,0:01:07.68,0:01:11.76,Default,,0000,0000,0000,,Na kutembeza gari lao bila injini. Dialogue: 0,0:01:11.76,0:01:14.28,Default,,0000,0000,0000,,Ninasemaje, ndugu? Dialogue: 0,0:01:14.28,0:01:31.04,Default,,0000,0000,0000,,“Itamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote na kupoteza nafsi yake? Dialogue: 0,0:01:31.04,0:01:39.56,Default,,0000,0000,0000,,Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?” Dialogue: 0,0:01:39.56,0:01:50.28,Default,,0000,0000,0000,,Usichafue mikono yako kwa ajili ya kitu ambacho hakiwezi kukuhakikishia umilele. Dialogue: 0,0:01:50.28,0:02:00.84,Default,,0000,0000,0000,,Usichafue moyo wako kwa ajili ya mtu ambaye hashikilii hatima yako. Dialogue: 0,0:02:00.84,0:02:05.88,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa mikono yako imejaa pesa, kichwa chako kimejaa taarifa Dialogue: 0,0:02:05.88,0:02:11.48,Default,,0000,0000,0000,,lakini moyo wako ni mtupu, basi maisha yako ni tupu.