1 00:00:00,000 --> 00:00:00,540 2 00:00:00,540 --> 00:00:03,730 Tumeambiwa tutafute kipeuo cha pili cha 100. 3 00:00:03,730 --> 00:00:05,130 Ngoja niichore hii alama kubwa hapa chini ionekane vizuri. 4 00:00:05,130 --> 00:00:09,060 Kwa hiyo kipeuo cha pili ni hii alama kubwa inayoonekana hapa 5 00:00:09,060 --> 00:00:11,880 Kipeuo cha pili cha 100. 6 00:00:11,880 --> 00:00:13,650 Ukiiona kama hii, ina maana 7 00:00:13,650 --> 00:00:15,120 kipeuo cha pili cha namba chanya. 8 00:00:15,120 --> 00:00:16,850 Kama ni mzoefu wa namba hasi, unafahamu 9 00:00:16,850 --> 00:00:19,490 pia kuna kipeuo cha pili cha namba hasi, lakini 10 00:00:19,490 --> 00:00:22,700 ukiona hii alama, ina maana ni kipeuo cha pili cha namba chanya. 11 00:00:22,700 --> 00:00:24,570 Hebu sasa tufanye hili swali. 12 00:00:24,570 --> 00:00:28,090 Tumeambiwa tutafute namba chanya, 13 00:00:28,090 --> 00:00:34,350 ambayo tukiizidisha kwa yenyewe tunapata 100. 14 00:00:34,350 --> 00:00:37,700 Je ni namba gani ambayo nikiizidisha kwa yenyewe ninapata 100? 15 00:00:37,700 --> 00:00:40,220 Hebu tuone, kama nikiizidisha 9 kwa yenyewe 16 00:00:40,220 --> 00:00:41,580 nitapata 81. 17 00:00:41,580 --> 00:00:44,280 kama nikiizidisha 10 kwa yenyewe, napata 100. 18 00:00:44,280 --> 00:00:46,800 Kwa hiyo, hii ni sawa na --ngoja niandike hapa 19 00:00:46,800 --> 00:00:48,740 Kawaida unaweza kuiruka hii hatua. 20 00:00:48,740 --> 00:00:51,470 Lakini unaweza kuiandika kama kipeuo cha pili cha --na 21 00:00:51,470 --> 00:00:56,610 badala ya 100, 100 ni sawa na 10 mara 10. 22 00:00:56,610 --> 00:00:58,960 Sasa umefahamu, kiepuo cha pili cha namba 23 00:00:58,960 --> 00:01:00,890 ukiizidisha kwa yenyewe itakuwa namba fulani 24 00:01:00,890 --> 00:01:03,240 Hii ni sawa na 10. 25 00:01:03,240 --> 00:01:06,720 Kwa hiyo kipeuo cha pili cha 100 ni 10. 26 00:01:06,720 --> 00:01:09,330 Au ungeweza kuiandika, 27 00:01:09,330 --> 00:01:16,520 10 ikizidishwa kwa yenyewe, ambayo ni sawa na 10 mara 10, 28 00:01:16,520 --> 00:01:20,000 ni sawa na 100. 29 00:01:20,000 --> 00:01:20,734