[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.54,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.54,0:00:03.73,Default,,0000,0000,0000,,Tumeambiwa tutafute kipeuo cha pili cha 100. Dialogue: 0,0:00:03.73,0:00:05.13,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja niichore hii alama kubwa hapa chini ionekane vizuri. Dialogue: 0,0:00:05.13,0:00:09.06,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kipeuo cha pili ni hii alama kubwa inayoonekana hapa Dialogue: 0,0:00:09.06,0:00:11.88,Default,,0000,0000,0000,,Kipeuo cha pili cha 100. Dialogue: 0,0:00:11.88,0:00:13.65,Default,,0000,0000,0000,,Ukiiona kama hii, ina maana Dialogue: 0,0:00:13.65,0:00:15.12,Default,,0000,0000,0000,,kipeuo cha pili cha namba chanya. Dialogue: 0,0:00:15.12,0:00:16.85,Default,,0000,0000,0000,,Kama ni mzoefu wa namba hasi, unafahamu Dialogue: 0,0:00:16.85,0:00:19.49,Default,,0000,0000,0000,,pia kuna kipeuo cha pili cha namba hasi, lakini Dialogue: 0,0:00:19.49,0:00:22.70,Default,,0000,0000,0000,,ukiona hii alama, ina maana ni kipeuo cha pili cha namba chanya. Dialogue: 0,0:00:22.70,0:00:24.57,Default,,0000,0000,0000,,Hebu sasa tufanye hili swali. Dialogue: 0,0:00:24.57,0:00:28.09,Default,,0000,0000,0000,,Tumeambiwa tutafute namba chanya, Dialogue: 0,0:00:28.09,0:00:34.35,Default,,0000,0000,0000,,ambayo tukiizidisha kwa yenyewe tunapata 100. Dialogue: 0,0:00:34.35,0:00:37.70,Default,,0000,0000,0000,,Je ni namba gani ambayo nikiizidisha kwa yenyewe ninapata 100? Dialogue: 0,0:00:37.70,0:00:40.22,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuone, kama nikiizidisha 9 kwa yenyewe Dialogue: 0,0:00:40.22,0:00:41.58,Default,,0000,0000,0000,,nitapata 81. Dialogue: 0,0:00:41.58,0:00:44.28,Default,,0000,0000,0000,,kama nikiizidisha 10 kwa yenyewe, napata 100. Dialogue: 0,0:00:44.28,0:00:46.80,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, hii ni sawa na --ngoja niandike hapa Dialogue: 0,0:00:46.80,0:00:48.74,Default,,0000,0000,0000,,Kawaida unaweza kuiruka hii hatua. Dialogue: 0,0:00:48.74,0:00:51.47,Default,,0000,0000,0000,,Lakini unaweza kuiandika kama kipeuo cha pili cha --na Dialogue: 0,0:00:51.47,0:00:56.61,Default,,0000,0000,0000,,badala ya 100, 100 ni sawa na 10 mara 10. Dialogue: 0,0:00:56.61,0:00:58.96,Default,,0000,0000,0000,,Sasa umefahamu, kiepuo cha pili cha namba Dialogue: 0,0:00:58.96,0:01:00.89,Default,,0000,0000,0000,,ukiizidisha kwa yenyewe itakuwa namba fulani Dialogue: 0,0:01:00.89,0:01:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na 10. Dialogue: 0,0:01:03.24,0:01:06.72,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kipeuo cha pili cha 100 ni 10. Dialogue: 0,0:01:06.72,0:01:09.33,Default,,0000,0000,0000,,Au ungeweza kuiandika, Dialogue: 0,0:01:09.33,0:01:16.52,Default,,0000,0000,0000,,10 ikizidishwa kwa yenyewe, ambayo ni sawa na 10 mara 10, Dialogue: 0,0:01:16.52,0:01:20.00,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na 100. Dialogue: 0,0:01:20.00,0:01:20.73,Default,,0000,0000,0000,,