WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.540 00:00:00.540 --> 00:00:03.730 Tumeambiwa tutafute kipeuo cha pili cha 100. 00:00:03.730 --> 00:00:05.130 Ngoja niichore hii alama kubwa hapa chini ionekane vizuri. 00:00:05.130 --> 00:00:09.060 Kwa hiyo kipeuo cha pili ni hii alama kubwa inayoonekana hapa 00:00:09.060 --> 00:00:11.880 Kipeuo cha pili cha 100. 00:00:11.880 --> 00:00:13.650 Ukiiona kama hii, ina maana 00:00:13.650 --> 00:00:15.120 kipeuo cha pili cha namba chanya. 00:00:15.120 --> 00:00:16.850 Kama ni mzoefu wa namba hasi, unafahamu 00:00:16.850 --> 00:00:19.490 pia kuna kipeuo cha pili cha namba hasi, lakini 00:00:19.490 --> 00:00:22.700 ukiona hii alama, ina maana ni kipeuo cha pili cha namba chanya. 00:00:22.700 --> 00:00:24.570 Hebu sasa tufanye hili swali. 00:00:24.570 --> 00:00:28.090 Tumeambiwa tutafute namba chanya, 00:00:28.090 --> 00:00:34.350 ambayo tukiizidisha kwa yenyewe tunapata 100. 00:00:34.350 --> 00:00:37.700 Je ni namba gani ambayo nikiizidisha kwa yenyewe ninapata 100? 00:00:37.700 --> 00:00:40.220 Hebu tuone, kama nikiizidisha 9 kwa yenyewe 00:00:40.220 --> 00:00:41.580 nitapata 81. 00:00:41.580 --> 00:00:44.280 kama nikiizidisha 10 kwa yenyewe, napata 100. 00:00:44.280 --> 00:00:46.800 Kwa hiyo, hii ni sawa na --ngoja niandike hapa 00:00:46.800 --> 00:00:48.740 Kawaida unaweza kuiruka hii hatua. 00:00:48.740 --> 00:00:51.470 Lakini unaweza kuiandika kama kipeuo cha pili cha --na 00:00:51.470 --> 00:00:56.610 badala ya 100, 100 ni sawa na 10 mara 10. 00:00:56.610 --> 00:00:58.960 Sasa umefahamu, kiepuo cha pili cha namba 00:00:58.960 --> 00:01:00.890 ukiizidisha kwa yenyewe itakuwa namba fulani 00:01:00.890 --> 00:01:03.240 Hii ni sawa na 10. 00:01:03.240 --> 00:01:06.720 Kwa hiyo kipeuo cha pili cha 100 ni 10. 00:01:06.720 --> 00:01:09.330 Au ungeweza kuiandika, 00:01:09.330 --> 00:01:16.520 10 ikizidishwa kwa yenyewe, ambayo ni sawa na 10 mara 10, 00:01:16.520 --> 00:01:20.000 ni sawa na 100. 00:01:20.000 --> 00:01:20.734