0:00:00.000,0:00:08.200 Usipigane kutoka kwa kosa na usipigane ili kuudhi. 0:00:08.200,0:00:14.366 Pambana kwa sababu ya yaliyo sawa. 0:00:14.366,0:00:19.866 Ikiwa kilicho sawa kinasababisha uchukizo, ni kati ya mtu huyo na Mungu. 0:00:19.866,0:00:27.366 Ikiwa kusema kweli kunaleta shida, nawaambieni, watu wa Mungu, 0:00:27.366,0:00:31.000 Mungu atakutia nguvu katika shida hiyo. 0:00:31.000,0:00:36.300 Ikiwa kusahihisha makosa kunavunja uhusiano, 0:00:36.300,0:00:41.200 ichukue kama njia ya Mungu ya kukata uhusiano huo.