0:00:01.218,0:00:05.738 Sitasahau kamwe jinsi nilihisi nilipoona bahari 0:00:05.738,0:00:07.923 na kuingia mashuani kwa mara ya kwanza. 0:00:07.923,0:00:09.829 Kwa mtoto wa umri wa miaka minne, 0:00:09.829,0:00:12.781 ilikuwa hisia kuu ya uhuru ambayo ningeweza dhania. 0:00:13.774,0:00:15.698 Nilihisi, wajua, kutokea umri huo, 0:00:15.698,0:00:19.257 Ningependa sana kwa njia moja au nyingine, kuenda kwa matanga kote duniani. 0:00:27.524,0:00:29.196 Unapong'oa nanga kuanzisha safari hizi, 0:00:29.196,0:00:32.615 wajua, unabeba kila kitu unachohitaji kusalimika. 0:00:32.925,0:00:34.680 Ulichonacho ndicho chote unacho. 0:00:34.680,0:00:36.666 lazima utumie vizuri ulicho nacho 0:00:36.666,0:00:39.339 hadi tone la mwisho la mafuta ya diseli, kifurushi cha mwisho cha chakula. 0:00:39.339,0:00:41.677 Ni muhimu sana, au hautafanikiwa. 0:00:41.757,0:00:44.704 Na ghafla nikagundua, "mbona ulimwengu wetu ni tofauti?' 0:00:44.704,0:00:46.732 Unajua tuna raslimali chache, 0:00:46.732,0:00:49.447 vinavyopatikana mara moja katika historia ya binadamu. 0:00:49.785,0:00:52.565 Wajua, vyuma, plastiki na mbolea. 0:00:52.565,0:00:55.852 Tunachimba vitu hivi vyote ardhini na kuvimaliza. 0:00:56.347,0:00:58.366 Inawezekanaje kwa muda mrefu? 0:00:59.154,0:01:02.296 Hakika kuna njia tofauti tungeweza kutumia raslimali kimataifa 0:01:02.296,0:01:04.088 bila kuzimaliza. 0:01:04.088,0:01:05.945 Hilo ndilo swali nililolitia maanani, 0:01:05.945,0:01:07.992 na ikachukua muda mrefu kufika mahali 0:01:07.992,0:01:10.899 ambapo niligundua kuwa kuna njia mbadala ya kuendesha uchumi, 0:01:10.899,0:01:13.632 kuna njia mbadala tunaweza kutumia vitu, kutumia vifaa. 0:01:13.867,0:01:15.795 Na hiyo inaweza kuwa uchumi mzunguko. 0:01:19.539,0:01:23.068 Jinsi uchumi inavyoendeshwa sana leo hii ni kwa kutoa. 0:01:23.068,0:01:24.069 Ni finyu. 0:01:24.069,0:01:27.116 Tunatoa kitu chini ya ardhi, tunatengeneza kitu kwayo, 0:01:27.116,0:01:29.971 hatimaye mwishoni mwa utumizi ya bidhaa ile, tunaitupa. 0:01:30.240,0:01:31.746 Haijalishi upo na ufanisi upi 0:01:31.746,0:01:33.927 na vifaa unavyoleta mfumoni, 0:01:33.927,0:01:35.332 hata kama umetengeneza hiyo bidhaa 0:01:35.332,0:01:38.232 kutumia nishati kidogo au vifaa chache, 0:01:38.232,0:01:40.188 mwishowe utapungukiwa. 0:01:40.460,0:01:43.190 Ukigeuza hiyo na kuangalia mfano mzunguko, 0:01:43.190,0:01:45.100 pale ambapo unapobuni bidhaa, 0:01:45.100,0:01:49.088 unachukua kifaa chini ya ardhi, au kifaa kilicho tengezwa upya, 0:01:49.088,0:01:50.563 kimsingi, unaingiza hicho ndani ya bidhaa, 0:01:50.563,0:01:51.852 lakini unabuni bidhaa 0:01:51.852,0:01:55.358 ndio uweze kurejesha kifaa kwa kubuni, tangia mwanzo. 0:01:55.500,0:01:57.577 Unabuni kukabiliana na taka na uchafuzi wa mazingira. 0:01:57.577,0:02:00.671 Kwa nini uunde mojawapo ya haya kwa ulimwengu wa raslimali finyu? 0:02:00.671,0:02:02.500 Ni kuhusu maelezo fupi ya kubuni. 0:02:03.298,0:02:05.010 Leo hii ukinunua mashine ya kufulia nguo 0:02:05.010,0:02:08.411 unalipa ushuru ukinunua, na kumiliki vifaa vyake vyote, 0:02:08.411,0:02:10.917 na inapoharibika, na lazima ziharibike, 0:02:10.917,0:02:13.292 unalipa ushuru tena, ushuru wa taka. 0:02:13.292,0:02:15.332 Katika mfumo mzunguko, hayo yote yanabadilika. 0:02:15.332,0:02:17.498 Haumiliki mashine yako, unalipa kila unapofua. 0:02:17.498,0:02:20.317 Itachukuzwa na watengenezaji wa mashine, 0:02:20.317,0:02:21.520 na watahakikisha 0:02:21.520,0:02:23.664 mara mashine ile inapofika hatima yake, 0:02:23.664,0:02:25.858 wanaichukua, wanajua kilicho ndani yake, 0:02:25.858,0:02:27.861 na wanaweza rudisha vifaa kutoka kwayo. 0:02:27.861,0:02:30.053 kwa hivyo unabakia kubuni mfumo mzunguko. 0:02:30.053,0:02:32.767 Tumetafiti kwa upana takwimu zake, 0:02:32.767,0:02:34.018 wajua, hisabati, 0:02:34.018,0:02:35.246 na ni wa bei nafuu zaidi. 0:02:35.246,0:02:39.683 Ni senti 12 za Marekani kinyume na senti 27 za Marekani kwa kila mwosho 0:02:39.683,0:02:41.420 kwa mashine mzunguko. 0:02:42.595,0:02:44.773 Tungeishi ndani ya mfumo unaofanya kazi. 0:02:44.773,0:02:47.163 Hatungekuwa tunazalisha taka. 0:02:47.163,0:02:48.637 Tungekuwa na huduma bora. 0:02:48.637,0:02:51.114 Tungepata teknolojia kwa njia rahisi. 0:02:51.114,0:02:52.638 Kutokana na utafiti wote tuliofanya, 0:02:52.638,0:02:55.453 kwa sababu hao watengenezaji hawanunui bidhaa zote, 0:02:55.453,0:02:56.474 waendelea wanaziuza, 0:02:56.474,0:02:57.806 tungeweza kupata bei bora, 0:02:57.806,0:03:00.601 kwa sababu wangehakikishiwa mpito wa vifaa 0:03:00.601,0:03:02.057 kurudi kwa mfumo. 0:03:06.836,0:03:07.942 Ni na matumaini makubwa 0:03:07.942,0:03:09.722 kwa sababu unapotizama takwimu, 0:03:09.722,0:03:11.722 unapotizama hesabu, 0:03:11.722,0:03:14.325 ina maana kubadili na kutumia uchumi mzunguko. 0:03:14.325,0:03:17.658 Kuna thamani kubwa kwa uchumi mzunguko kuliko uchumi finyu. 0:03:17.658,0:03:20.801 Hakika kuna gharama kwa mpito kwa mashirika kubwa, 0:03:20.801,0:03:22.981 lakini pengine unafaa kujiuliza : 0:03:22.981,0:03:24.470 Ni nini athari ya mfumo finyu? 0:03:24.470,0:03:26.138 Kwa sababu kwangu ni rahisi, 0:03:26.138,0:03:27.521 Kuna athari kubwa kwa mfumo finyu. 0:03:27.777,0:03:31.636 Haiwezi kuwa kesho, kulingana na uchumi safi. 0:03:31.636,0:03:33.587 Kwa hivyo, ni wapi unawekeza wakati wako? 0:03:33.587,0:03:34.968 Ni wapi unawekeza juhudi zako? 0:03:34.968,0:03:37.183 Wacha tushughulikie ni nini uchumi mzunguko 0:03:37.183,0:03:39.053 na ujaribu kuchora aina ya mzunguko huo unavyoweza 0:03:39.053,0:03:40.053 manukuu ni na Mauricio Kakuei Tanaka, 0:03:40.053,0:03:41.053 Uhakiki na Jenny Lam-Chowdhury[br]ΒΆ 0:03:41.053,0:03:44.912 tamati