1 00:00:01,218 --> 00:00:05,738 Sitasahau kamwe jinsi nilihisi nilipoona bahari 2 00:00:05,738 --> 00:00:07,923 na kuingia mashuani kwa mara ya kwanza. 3 00:00:07,923 --> 00:00:09,829 Kwa mtoto wa umri wa miaka minne, 4 00:00:09,829 --> 00:00:12,781 ilikuwa hisia kuu ya uhuru ambayo ningeweza dhania. 5 00:00:13,774 --> 00:00:15,698 Nilihisi, wajua, kutokea umri huo, 6 00:00:15,698 --> 00:00:19,257 Ningependa sana kwa njia moja au nyingine, kuenda kwa matanga kote duniani. 7 00:00:27,524 --> 00:00:29,196 Unapong'oa nanga kuanzisha safari hizi, 8 00:00:29,196 --> 00:00:32,615 wajua, unabeba kila kitu unachohitaji kusalimika. 9 00:00:32,925 --> 00:00:34,680 Ulichonacho ndicho chote unacho. 10 00:00:34,680 --> 00:00:36,666 lazima utumie vizuri ulicho nacho 11 00:00:36,666 --> 00:00:39,339 hadi tone la mwisho la mafuta ya diseli, kifurushi cha mwisho cha chakula. 12 00:00:39,339 --> 00:00:41,677 Ni muhimu sana, au hautafanikiwa. 13 00:00:41,757 --> 00:00:44,704 Na ghafla nikagundua, "mbona ulimwengu wetu ni tofauti?' 14 00:00:44,704 --> 00:00:46,732 Unajua tuna raslimali chache, 15 00:00:46,732 --> 00:00:49,447 vinavyopatikana mara moja katika historia ya binadamu. 16 00:00:49,785 --> 00:00:52,565 Wajua, vyuma, plastiki na mbolea. 17 00:00:52,565 --> 00:00:55,852 Tunachimba vitu hivi vyote ardhini na kuvimaliza. 18 00:00:56,347 --> 00:00:58,366 Inawezekanaje kwa muda mrefu? 19 00:00:59,154 --> 00:01:02,296 Hakika kuna njia tofauti tungeweza kutumia raslimali kimataifa 20 00:01:02,296 --> 00:01:04,088 bila kuzimaliza. 21 00:01:04,088 --> 00:01:05,945 Hilo ndilo swali nililolitia maanani, 22 00:01:05,945 --> 00:01:07,992 na ikachukua muda mrefu kufika mahali 23 00:01:07,992 --> 00:01:10,899 ambapo niligundua kuwa kuna njia mbadala ya kuendesha uchumi, 24 00:01:10,899 --> 00:01:13,632 kuna njia mbadala tunaweza kutumia vitu, kutumia vifaa. 25 00:01:13,867 --> 00:01:15,795 Na hiyo inaweza kuwa uchumi mzunguko. 26 00:01:19,539 --> 00:01:23,068 Jinsi uchumi inavyoendeshwa sana leo hii ni kwa kutoa. 27 00:01:23,068 --> 00:01:24,069 Ni finyu. 28 00:01:24,069 --> 00:01:27,116 Tunatoa kitu chini ya ardhi, tunatengeneza kitu kwayo, 29 00:01:27,116 --> 00:01:29,971 hatimaye mwishoni mwa utumizi ya bidhaa ile, tunaitupa. 30 00:01:30,240 --> 00:01:31,746 Haijalishi upo na ufanisi upi 31 00:01:31,746 --> 00:01:33,927 na vifaa unavyoleta mfumoni, 32 00:01:33,927 --> 00:01:35,332 hata kama umetengeneza hiyo bidhaa 33 00:01:35,332 --> 00:01:38,232 kutumia nishati kidogo au vifaa chache, 34 00:01:38,232 --> 00:01:40,188 mwishowe utapungukiwa. 35 00:01:40,460 --> 00:01:43,190 Ukigeuza hiyo na kuangalia mfano mzunguko, 36 00:01:43,190 --> 00:01:45,100 pale ambapo unapobuni bidhaa, 37 00:01:45,100 --> 00:01:49,088 unachukua kifaa chini ya ardhi, au kifaa kilicho tengezwa upya, 38 00:01:49,088 --> 00:01:50,563 kimsingi, unaingiza hicho ndani ya bidhaa, 39 00:01:50,563 --> 00:01:51,852 lakini unabuni bidhaa 40 00:01:51,852 --> 00:01:55,358 ndio uweze kurejesha kifaa kwa kubuni, tangia mwanzo. 41 00:01:55,500 --> 00:01:57,577 Unabuni kukabiliana na taka na uchafuzi wa mazingira. 42 00:01:57,577 --> 00:02:00,671 Kwa nini uunde mojawapo ya haya kwa ulimwengu wa raslimali finyu? 43 00:02:00,671 --> 00:02:02,500 Ni kuhusu maelezo fupi ya kubuni. 44 00:02:03,298 --> 00:02:05,010 Leo hii ukinunua mashine ya kufulia nguo 45 00:02:05,010 --> 00:02:08,411 unalipa ushuru ukinunua, na kumiliki vifaa vyake vyote, 46 00:02:08,411 --> 00:02:10,917 na inapoharibika, na lazima ziharibike, 47 00:02:10,917 --> 00:02:13,292 unalipa ushuru tena, ushuru wa taka. 48 00:02:13,292 --> 00:02:15,332 Katika mfumo mzunguko, hayo yote yanabadilika. 49 00:02:15,332 --> 00:02:17,498 Haumiliki mashine yako, unalipa kila unapofua. 50 00:02:17,498 --> 00:02:20,317 Itachukuzwa na watengenezaji wa mashine, 51 00:02:20,317 --> 00:02:21,520 na watahakikisha 52 00:02:21,520 --> 00:02:23,664 mara mashine ile inapofika hatima yake, 53 00:02:23,664 --> 00:02:25,858 wanaichukua, wanajua kilicho ndani yake, 54 00:02:25,858 --> 00:02:27,861 na wanaweza rudisha vifaa kutoka kwayo. 55 00:02:27,861 --> 00:02:30,053 kwa hivyo unabakia kubuni mfumo mzunguko. 56 00:02:30,053 --> 00:02:32,767 Tumetafiti kwa upana takwimu zake, 57 00:02:32,767 --> 00:02:34,018 wajua, hisabati, 58 00:02:34,018 --> 00:02:35,246 na ni wa bei nafuu zaidi. 59 00:02:35,246 --> 00:02:39,683 Ni senti 12 za Marekani kinyume na senti 27 za Marekani kwa kila mwosho 60 00:02:39,683 --> 00:02:41,420 kwa mashine mzunguko. 61 00:02:42,595 --> 00:02:44,773 Tungeishi ndani ya mfumo unaofanya kazi. 62 00:02:44,773 --> 00:02:47,163 Hatungekuwa tunazalisha taka. 63 00:02:47,163 --> 00:02:48,637 Tungekuwa na huduma bora. 64 00:02:48,637 --> 00:02:51,114 Tungepata teknolojia kwa njia rahisi. 65 00:02:51,114 --> 00:02:52,638 Kutokana na utafiti wote tuliofanya, 66 00:02:52,638 --> 00:02:55,453 kwa sababu hao watengenezaji hawanunui bidhaa zote, 67 00:02:55,453 --> 00:02:56,474 waendelea wanaziuza, 68 00:02:56,474 --> 00:02:57,806 tungeweza kupata bei bora, 69 00:02:57,806 --> 00:03:00,601 kwa sababu wangehakikishiwa mpito wa vifaa 70 00:03:00,601 --> 00:03:02,057 kurudi kwa mfumo. 71 00:03:06,836 --> 00:03:07,942 Ni na matumaini makubwa 72 00:03:07,942 --> 00:03:09,722 kwa sababu unapotizama takwimu, 73 00:03:09,722 --> 00:03:11,722 unapotizama hesabu, 74 00:03:11,722 --> 00:03:14,325 ina maana kubadili na kutumia uchumi mzunguko. 75 00:03:14,325 --> 00:03:17,658 Kuna thamani kubwa kwa uchumi mzunguko kuliko uchumi finyu. 76 00:03:17,658 --> 00:03:20,801 Hakika kuna gharama kwa mpito kwa mashirika kubwa, 77 00:03:20,801 --> 00:03:22,981 lakini pengine unafaa kujiuliza : 78 00:03:22,981 --> 00:03:24,470 Ni nini athari ya mfumo finyu? 79 00:03:24,470 --> 00:03:26,138 Kwa sababu kwangu ni rahisi, 80 00:03:26,138 --> 00:03:27,521 Kuna athari kubwa kwa mfumo finyu. 81 00:03:27,777 --> 00:03:31,636 Haiwezi kuwa kesho, kulingana na uchumi safi. 82 00:03:31,636 --> 00:03:33,587 Kwa hivyo, ni wapi unawekeza wakati wako? 83 00:03:33,587 --> 00:03:34,968 Ni wapi unawekeza juhudi zako? 84 00:03:34,968 --> 00:03:37,183 Wacha tushughulikie ni nini uchumi mzunguko 85 00:03:37,183 --> 00:03:39,053 na ujaribu kuchora aina ya mzunguko huo unavyoweza 86 00:03:39,053 --> 00:03:40,053 manukuu ni na Mauricio Kakuei Tanaka, 87 00:03:40,053 --> 00:03:41,053 Uhakiki na Jenny Lam-Chowdhury ΒΆ 88 00:03:41,053 --> 00:03:44,912 tamati