[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.22,0:00:05.74,Default,,0000,0000,0000,,Sitasahau kamwe jinsi nilihisi nilipoona bahari Dialogue: 0,0:00:05.74,0:00:07.92,Default,,0000,0000,0000,,na kuingia mashuani kwa mara ya kwanza. Dialogue: 0,0:00:07.92,0:00:09.83,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mtoto wa umri wa miaka minne, Dialogue: 0,0:00:09.83,0:00:12.78,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa hisia kuu ya uhuru ambayo ningeweza dhania. Dialogue: 0,0:00:13.77,0:00:15.70,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi, wajua, kutokea umri huo, Dialogue: 0,0:00:15.70,0:00:19.26,Default,,0000,0000,0000,,Ningependa sana kwa njia moja au nyingine, kuenda kwa matanga kote duniani. Dialogue: 0,0:00:27.52,0:00:29.20,Default,,0000,0000,0000,,Unapong'oa nanga kuanzisha safari hizi, Dialogue: 0,0:00:29.20,0:00:32.62,Default,,0000,0000,0000,,wajua, unabeba kila kitu unachohitaji kusalimika. Dialogue: 0,0:00:32.92,0:00:34.68,Default,,0000,0000,0000,,Ulichonacho ndicho chote unacho. Dialogue: 0,0:00:34.68,0:00:36.67,Default,,0000,0000,0000,,lazima utumie vizuri ulicho nacho Dialogue: 0,0:00:36.67,0:00:39.34,Default,,0000,0000,0000,,hadi tone la mwisho la mafuta ya diseli, kifurushi cha mwisho cha chakula. Dialogue: 0,0:00:39.34,0:00:41.68,Default,,0000,0000,0000,,Ni muhimu sana, au hautafanikiwa. Dialogue: 0,0:00:41.76,0:00:44.70,Default,,0000,0000,0000,,Na ghafla nikagundua, "mbona ulimwengu wetu ni tofauti?' Dialogue: 0,0:00:44.70,0:00:46.73,Default,,0000,0000,0000,,Unajua tuna raslimali chache, Dialogue: 0,0:00:46.73,0:00:49.45,Default,,0000,0000,0000,,vinavyopatikana mara moja katika historia ya binadamu. Dialogue: 0,0:00:49.78,0:00:52.56,Default,,0000,0000,0000,,Wajua, vyuma, plastiki na mbolea. Dialogue: 0,0:00:52.56,0:00:55.85,Default,,0000,0000,0000,,Tunachimba vitu hivi vyote ardhini na kuvimaliza. Dialogue: 0,0:00:56.35,0:00:58.37,Default,,0000,0000,0000,,Inawezekanaje kwa muda mrefu? Dialogue: 0,0:00:59.15,0:01:02.30,Default,,0000,0000,0000,,Hakika kuna njia tofauti tungeweza kutumia raslimali kimataifa Dialogue: 0,0:01:02.30,0:01:04.09,Default,,0000,0000,0000,,bila kuzimaliza. Dialogue: 0,0:01:04.09,0:01:05.94,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ndilo swali nililolitia maanani, Dialogue: 0,0:01:05.94,0:01:07.99,Default,,0000,0000,0000,,na ikachukua muda mrefu kufika mahali Dialogue: 0,0:01:07.99,0:01:10.90,Default,,0000,0000,0000,,ambapo niligundua kuwa kuna njia mbadala ya kuendesha uchumi, Dialogue: 0,0:01:10.90,0:01:13.63,Default,,0000,0000,0000,,kuna njia mbadala tunaweza kutumia vitu, kutumia vifaa. Dialogue: 0,0:01:13.87,0:01:15.80,Default,,0000,0000,0000,,Na hiyo inaweza kuwa uchumi mzunguko. Dialogue: 0,0:01:19.54,0:01:23.07,Default,,0000,0000,0000,,Jinsi uchumi inavyoendeshwa sana leo hii ni kwa kutoa. Dialogue: 0,0:01:23.07,0:01:24.07,Default,,0000,0000,0000,,Ni finyu. Dialogue: 0,0:01:24.07,0:01:27.12,Default,,0000,0000,0000,,Tunatoa kitu chini ya ardhi, tunatengeneza kitu kwayo, Dialogue: 0,0:01:27.12,0:01:29.97,Default,,0000,0000,0000,,hatimaye mwishoni mwa utumizi ya bidhaa ile, tunaitupa. Dialogue: 0,0:01:30.24,0:01:31.75,Default,,0000,0000,0000,,Haijalishi upo na ufanisi upi Dialogue: 0,0:01:31.75,0:01:33.93,Default,,0000,0000,0000,,na vifaa unavyoleta mfumoni, Dialogue: 0,0:01:33.93,0:01:35.33,Default,,0000,0000,0000,,hata kama umetengeneza hiyo bidhaa Dialogue: 0,0:01:35.33,0:01:38.23,Default,,0000,0000,0000,,kutumia nishati kidogo au vifaa chache, Dialogue: 0,0:01:38.23,0:01:40.19,Default,,0000,0000,0000,,mwishowe utapungukiwa. Dialogue: 0,0:01:40.46,0:01:43.19,Default,,0000,0000,0000,,Ukigeuza hiyo na kuangalia mfano mzunguko, Dialogue: 0,0:01:43.19,0:01:45.10,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo unapobuni bidhaa, Dialogue: 0,0:01:45.10,0:01:49.09,Default,,0000,0000,0000,,unachukua kifaa chini ya ardhi, au kifaa kilicho tengezwa upya, Dialogue: 0,0:01:49.09,0:01:50.56,Default,,0000,0000,0000,,kimsingi, unaingiza hicho ndani ya bidhaa, Dialogue: 0,0:01:50.56,0:01:51.85,Default,,0000,0000,0000,,lakini unabuni bidhaa Dialogue: 0,0:01:51.85,0:01:55.36,Default,,0000,0000,0000,,ndio uweze kurejesha kifaa kwa kubuni, tangia mwanzo. Dialogue: 0,0:01:55.50,0:01:57.58,Default,,0000,0000,0000,,Unabuni kukabiliana na taka na uchafuzi wa mazingira. Dialogue: 0,0:01:57.58,0:02:00.67,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini uunde mojawapo ya haya kwa ulimwengu wa raslimali finyu? Dialogue: 0,0:02:00.67,0:02:02.50,Default,,0000,0000,0000,,Ni kuhusu maelezo fupi ya kubuni. Dialogue: 0,0:02:03.30,0:02:05.01,Default,,0000,0000,0000,,Leo hii ukinunua mashine ya kufulia nguo Dialogue: 0,0:02:05.01,0:02:08.41,Default,,0000,0000,0000,,unalipa ushuru ukinunua, na kumiliki vifaa vyake vyote, Dialogue: 0,0:02:08.41,0:02:10.92,Default,,0000,0000,0000,,na inapoharibika, na lazima ziharibike, Dialogue: 0,0:02:10.92,0:02:13.29,Default,,0000,0000,0000,,unalipa ushuru tena, ushuru wa taka. Dialogue: 0,0:02:13.29,0:02:15.33,Default,,0000,0000,0000,,Katika mfumo mzunguko, hayo yote yanabadilika. Dialogue: 0,0:02:15.33,0:02:17.50,Default,,0000,0000,0000,,Haumiliki mashine yako, unalipa kila unapofua. Dialogue: 0,0:02:17.50,0:02:20.32,Default,,0000,0000,0000,,Itachukuzwa na watengenezaji wa mashine, Dialogue: 0,0:02:20.32,0:02:21.52,Default,,0000,0000,0000,,na watahakikisha Dialogue: 0,0:02:21.52,0:02:23.66,Default,,0000,0000,0000,,mara mashine ile inapofika hatima yake, Dialogue: 0,0:02:23.66,0:02:25.86,Default,,0000,0000,0000,,wanaichukua, wanajua kilicho ndani yake, Dialogue: 0,0:02:25.86,0:02:27.86,Default,,0000,0000,0000,,na wanaweza rudisha vifaa kutoka kwayo. Dialogue: 0,0:02:27.86,0:02:30.05,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo unabakia kubuni mfumo mzunguko. Dialogue: 0,0:02:30.05,0:02:32.77,Default,,0000,0000,0000,,Tumetafiti kwa upana takwimu zake, Dialogue: 0,0:02:32.77,0:02:34.02,Default,,0000,0000,0000,,wajua, hisabati, Dialogue: 0,0:02:34.02,0:02:35.25,Default,,0000,0000,0000,,na ni wa bei nafuu zaidi. Dialogue: 0,0:02:35.25,0:02:39.68,Default,,0000,0000,0000,,Ni senti 12 za Marekani kinyume na senti 27 za Marekani kwa kila mwosho Dialogue: 0,0:02:39.68,0:02:41.42,Default,,0000,0000,0000,,kwa mashine mzunguko. Dialogue: 0,0:02:42.60,0:02:44.77,Default,,0000,0000,0000,,Tungeishi ndani ya mfumo unaofanya kazi. Dialogue: 0,0:02:44.77,0:02:47.16,Default,,0000,0000,0000,,Hatungekuwa tunazalisha taka. Dialogue: 0,0:02:47.16,0:02:48.64,Default,,0000,0000,0000,,Tungekuwa na huduma bora. Dialogue: 0,0:02:48.64,0:02:51.11,Default,,0000,0000,0000,,Tungepata teknolojia kwa njia rahisi. Dialogue: 0,0:02:51.11,0:02:52.64,Default,,0000,0000,0000,,Kutokana na utafiti wote tuliofanya, Dialogue: 0,0:02:52.64,0:02:55.45,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hao watengenezaji hawanunui bidhaa zote, Dialogue: 0,0:02:55.45,0:02:56.47,Default,,0000,0000,0000,,waendelea wanaziuza, Dialogue: 0,0:02:56.47,0:02:57.81,Default,,0000,0000,0000,,tungeweza kupata bei bora, Dialogue: 0,0:02:57.81,0:03:00.60,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu wangehakikishiwa mpito wa vifaa Dialogue: 0,0:03:00.60,0:03:02.06,Default,,0000,0000,0000,,kurudi kwa mfumo. Dialogue: 0,0:03:06.84,0:03:07.94,Default,,0000,0000,0000,,Ni na matumaini makubwa Dialogue: 0,0:03:07.94,0:03:09.72,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu unapotizama takwimu, Dialogue: 0,0:03:09.72,0:03:11.72,Default,,0000,0000,0000,,unapotizama hesabu, Dialogue: 0,0:03:11.72,0:03:14.32,Default,,0000,0000,0000,,ina maana kubadili na kutumia uchumi mzunguko. Dialogue: 0,0:03:14.32,0:03:17.66,Default,,0000,0000,0000,,Kuna thamani kubwa kwa uchumi mzunguko kuliko uchumi finyu. Dialogue: 0,0:03:17.66,0:03:20.80,Default,,0000,0000,0000,,Hakika kuna gharama kwa mpito kwa mashirika kubwa, Dialogue: 0,0:03:20.80,0:03:22.98,Default,,0000,0000,0000,,lakini pengine unafaa kujiuliza : Dialogue: 0,0:03:22.98,0:03:24.47,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini athari ya mfumo finyu? Dialogue: 0,0:03:24.47,0:03:26.14,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu kwangu ni rahisi, Dialogue: 0,0:03:26.14,0:03:27.52,Default,,0000,0000,0000,,Kuna athari kubwa kwa mfumo finyu. Dialogue: 0,0:03:27.78,0:03:31.64,Default,,0000,0000,0000,,Haiwezi kuwa kesho, kulingana na uchumi safi. Dialogue: 0,0:03:31.64,0:03:33.59,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, ni wapi unawekeza wakati wako? Dialogue: 0,0:03:33.59,0:03:34.97,Default,,0000,0000,0000,,Ni wapi unawekeza juhudi zako? Dialogue: 0,0:03:34.97,0:03:37.18,Default,,0000,0000,0000,,Wacha tushughulikie ni nini uchumi mzunguko Dialogue: 0,0:03:37.18,0:03:39.05,Default,,0000,0000,0000,,na ujaribu kuchora aina ya mzunguko huo unavyoweza Dialogue: 0,0:03:39.05,0:03:40.05,Default,,0000,0000,0000,,manukuu ni na Mauricio Kakuei Tanaka, Dialogue: 0,0:03:40.05,0:03:41.05,Default,,0000,0000,0000,,Uhakiki na Jenny Lam-Chowdhury\N¶ Dialogue: 0,0:03:41.05,0:03:44.91,Default,,0000,0000,0000,,tamati