[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:05.17,Default,,0000,0000,0000,,Baraka mara nyingi huambatana na vita. Dialogue: 0,0:00:05.17,0:00:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni vita gani kwa mwili huu vinaweza kuwa na manufaa kwa roho yako. Dialogue: 0,0:00:13.00,0:00:19.23,Default,,0000,0000,0000,,Kile ambacho ni kigumu kwa mwili mara nyingi ni msaada kwa roho yako. Dialogue: 0,0:00:19.23,0:00:36.13,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi tu kwako, basi huduma yako itakosa kujitolea. Dialogue: 0,0:00:36.13,0:00:38.13,Default,,0000,0000,0000,,Sisemi hakutakuwa na kujitolea kokote. Dialogue: 0,0:00:38.13,0:00:44.77,Default,,0000,0000,0000,,Kunaweza kuwa na kujitolea kwa sehemu, sio kujitolea kamili. Dialogue: 0,0:00:44.77,0:00:47.37,Default,,0000,0000,0000,,Unajua tatizo hapa? Dialogue: 0,0:00:47.37,0:00:53.13,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu - Dialogue: 0,0:00:53.13,0:00:57.80,Default,,0000,0000,0000,,unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi wako tu - Dialogue: 0,0:00:57.80,0:01:07.63,Default,,0000,0000,0000,,na unakabiliwa na hali ambapo imani yako katika Kristo inapingana Dialogue: 0,0:01:07.63,0:01:11.80,Default,,0000,0000,0000,,na imani ya jadi, Dialogue: 0,0:01:11.80,0:01:15.23,Default,,0000,0000,0000,,na matarajio ya kitamaduni, Dialogue: 0,0:01:15.23,0:01:19.70,Default,,0000,0000,0000,,na shinikizo la nafasi, Dialogue: 0,0:01:19.70,0:01:23.97,Default,,0000,0000,0000,,na mambo ya dunia hii... Dialogue: 0,0:01:23.97,0:01:29.97,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu na unakumbana na mzozo kama huo, Dialogue: 0,0:01:29.97,0:01:41.03,Default,,0000,0000,0000,,una uwezekano wa kubaki bila tofauti, kujaribu na kukaa kwenye uzio Dialogue: 0,0:01:41.03,0:01:49.57,Default,,0000,0000,0000,,hasa wakati ambapo kushikilia imani yako kunahusisha maumivu fulani, dhabihu fulani. Dialogue: 0,0:01:49.57,0:02:00.13,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ukijaribu kuepuka maumivu katika mwili, hivi karibuni utakaribisha maumivu katika roho. Dialogue: 0,0:02:00.13,0:02:09.97,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu kile kinachoanza na kuridhika muda si mrefu kitamalizika kwa ukiukwaji wa kanuni. Dialogue: 0,0:02:09.97,0:02:13.13,Default,,0000,0000,0000,,Ni suala la muda tu. Dialogue: 0,0:02:13.13,0:02:22.90,Default,,0000,0000,0000,,Njia ya kukiuka kanuni haina mwisho na inazidi kupanuka. Dialogue: 0,0:02:22.90,0:02:29.53,Default,,0000,0000,0000,,Ndio maana linapokuja swala la mambo ya Mungu, huduma ya Mungu - Dialogue: 0,0:02:29.53,0:02:33.40,Default,,0000,0000,0000,,lazima tujitoe kwa moyo wote. Dialogue: 0,0:02:33.40,0:02:36.23,Default,,0000,0000,0000,,Ahadi kamili, sio sehemu. Dialogue: 0,0:02:36.23,0:02:39.60,Default,,0000,0000,0000,,Hatumtumikii Mungu tu wakati inapotufaa. Dialogue: 0,0:02:39.60,0:02:43.97,Default,,0000,0000,0000,,Hatumtumikii Mungu tu nyakati zinapokuwa nzuri. Hapana!