USIKIVU WA KIROHO - NDUGU CHRIS
neema na amani kwenu nyote katika jina kuu la yesu kristu
na wacha nianze kwa kuwakaribisha kwa hii mwaka wa 2024
asante yesu
Asante yesu, kwa neema kuingia mwaka huu mpya
hakika, kwa neema kuingia siku mpya, dakika mpya, sekunde mpya.
kwa sababu ya neema yake
na watu wa mungu, njia nzuri kujitayarisha kwa mwaka 2024
inaanza na kukagua kila siku, ukianza na leo
kwa kuwa licha ya umakini wa malengo au maazimio, jua hii
maisha yako haitabadilika mwaka wa 2024 ila ubadili mambo ufanyayo kila siku
ubakie thabiti ipite mwaka 2024, kaa thabiti leo
utayarishe yale vitu ambavyo hauwezi kutayarisha mwaka wa 2024, ujali juu ya leo
kwa kuwa leo ni yako
sasa leo, nataka kugawa ujumbe ambao umekua ndani ya moyo wangu
kwa wiki za karibu na lengo kuu la ujumbe huu ni ''USIKIVU WA KIROHO''
Narudia , usikivu wa kiroho
waona, hatari kuu iletwayo na giza inakaa kwa kutofaulu kuweza kuijua