[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:05.00,Default,,0000,0000,0000,,USIKIVU WA KIROHO\NNDUGU CHRIS Dialogue: 0,0:00:06.00,0:00:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Neema na amani iwe kwenu nyote katika jina zuri la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:00:11.00,0:00:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Na wacha nianze kwa kukukaribisha \Nkatika Mwaka huu Mpya, 2024. Dialogue: 0,0:00:19.00,0:00:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:00:20.00,0:00:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu, kwa neema ya\Nkuingia Mwaka Mpya - Dialogue: 0,0:00:24.00,0:00:29.00,Default,,0000,0000,0000,,hakika, kwa neema ya kuingia katika siku mpya, \Ndakika mpya, sekunde mpya. Dialogue: 0,0:00:29.00,0:00:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu yote ni ya neema. Dialogue: 0,0:00:33.00,0:00:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Na watu wa Mungu, \Nmaandalizi bora zaidi ya 2024 Dialogue: 0,0:00:41.00,0:00:48.00,Default,,0000,0000,0000,,huanza na tathmini ya kila siku, kuanzia leo. Dialogue: 0,0:00:48.00,0:00:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu haijalishi uzito wa nia au maazimio yetu, jua hili - Dialogue: 0,0:00:57.00,0:01:10.00,Default,,0000,0000,0000,,maisha yako hayatabadilika mnamo 2024 mpaka \Nubadilishe kitu unachofanya kila siku. Dialogue: 0,0:01:10.00,0:01:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Ili kubaki thabiti mwaka wote wa 2024, \Nkaa thabiti leo. Dialogue: 0,0:01:20.00,0:01:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Ili kujiandaa kwa mambo hayo ambayo huwezi kujiandaa kwa ajili ya 2024, jali leo Dialogue: 0,0:01:30.00,0:01:34.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu leo ​​tu ni yako. Dialogue: 0,0:01:34.00,0:01:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa leo, nataka kushiriki nanyi ujumbe ambao kwa kweli umekuwa ukikua moyoni mwangu Dialogue: 0,0:01:41.00,0:01:50.00,Default,,0000,0000,0000,,katika wiki za hivi karibuni na somo la ujumbe huu ni 'Usikivu wa Kiroho'. Dialogue: 0,0:01:50.00,0:01:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Narudia, usikivu wa kiroho. Dialogue: 0,0:01:55.00,0:02:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Unaona, hatari kubwa zaidi inayoletwa na giza iko katika kushindwa kwetu kulitambua. Dialogue: 0,0:02:11.00,0:02:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa maneno mengine, wacha niweke kama hivi - Dialogue: 0,0:02:15.00,0:02:24.00,Default,,0000,0000,0000,,kutokuwa na uwezo wetu wa kutambua tatizo halisi \Nndilo tatizo. Dialogue: 0,0:02:24.00,0:02:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ni tatizo kubwa zaidi kuliko ambalo wengi wetu tunayachukulia kama matatizo katika maisha yetu leo. Dialogue: 0,0:02:31.00,0:02:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Na angalieni hili, enyi watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:02:34.00,0:02:46.00,Default,,0000,0000,0000,,njia ya uhakika ya kuongeza muda na hata kuongeza tatizo lako ni kutolitambua. Dialogue: 0,0:02:46.00,0:02:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Jinsi unavyokabiliana na tatizo lako ni tatizo kubwa kuliko tatizo lenyewe. Dialogue: 0,0:02:59.00,0:03:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Natumaini mtafuata \Nninachosema, watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:03:02.00,0:03:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Tatizo tunalokabiliana nalo leo liko katika \Njinsi tunavyokabili matatizo yetu. Dialogue: 0,0:03:10.00,0:03:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Na ujue hili - kuna baadhi ya majaribio, \Nbaadhi ya hali katika safari ya maisha Dialogue: 0,0:03:18.00,0:03:27.00,Default,,0000,0000,0000,,kwamba rasilimali za ndani pekee \Nzinaweza kukudumisha. Dialogue: 0,0:03:27.00,0:03:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika dokezo hili, kumbuka \Nnilisema kuhusu 'usikivu wa kiroho'. Dialogue: 0,0:03:32.00,0:03:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kukupeleka kwenye Maandiko katika Waebrania 3. Dialogue: 0,0:03:38.00,0:03:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Hilo litakuwa andiko la uthibitisho la \Nujumbe wa leo - Waebrania 3:12-14. Dialogue: 0,0:03:50.00,0:03:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Tusome watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:03:53.00,0:04:03.00,Default,,0000,0000,0000,,“Angalieni, ndugu zangu, kusiwe na moyo wa uovu miongoni mwenu Dialogue: 0,0:04:03.00,0:04:08.00,Default,,0000,0000,0000,,ya kutoamini na kujitenga na Mungu aliye hai; Dialogue: 0,0:04:08.00,0:04:16.00,Default,,0000,0000,0000,,bali tuonyane kila siku,\Nmaadamu iitwapo, Leo; Dialogue: 0,0:04:16.00,0:04:23.00,Default,,0000,0000,0000,,asije mmoja wenu akafanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. Dialogue: 0,0:04:23.00,0:04:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa maana tumekuwa washirika wa Kristo Dialogue: 0,0:04:26.00,0:04:36.00,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa tutashikilia mwanzo wa imani yetu \Nimara hadi mwisho...” Dialogue: 0,0:04:36.00,0:04:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, adui mkubwa wa maendeleo ya kiroho ni moyo mgumu - Dialogue: 0,0:04:50.00,0:04:57.00,Default,,0000,0000,0000,,moyo ambao hauna usikivu wa kiroho, Dialogue: 0,0:04:57.00,0:05:04.00,Default,,0000,0000,0000,,moyo uliotiwa giza, uliotiwa giza, \Nuliodanganywa na dhambi. Dialogue: 0,0:05:04.00,0:05:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Na kadiri udanganyifu ulivyo ndani zaidi, ndivyo giza linavyozidi kuwa kubwa. Dialogue: 0,0:05:15.00,0:05:23.00,Default,,0000,0000,0000,,"Basi ikiwa nuru iliyo ndani yako ni giza, \Ngiza hilo ni kuu jinsi gani" Dialogue: 0,0:05:23.00,0:05:27.00,Default,,0000,0000,0000,,maneno ya Yesu katika Mathayo 6:23. Dialogue: 0,0:05:27.00,0:05:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ikiwa shetani anaweza kukudanganya, \Nbasi anaweza kukupotosha kwa urahisi sana. Dialogue: 0,0:05:39.00,0:05:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, angalia tu karibu nawe \Nkile kinachotokea ulimwenguni. Dialogue: 0,0:05:47.00,0:05:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Haichukui muda mrefu kutambua \Nathari za giza - Dialogue: 0,0:05:55.00,0:05:58.00,Default,,0000,0000,0000,,uasi dhidi ya Mungu na Neno lake. Dialogue: 0,0:05:58.00,0:06:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini usiangalie tu mazingira yaliyo nje yako. Hapana! Dialogue: 0,0:06:01.00,0:06:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuita leo kutazama ndani yako. Dialogue: 0,0:06:05.00,0:06:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu kiini cha uasi wetu \Nni uasi ndani ya mioyo yetu. Dialogue: 0,0:06:12.00,0:06:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Tamaa za mwili zinapozingatiwa vibaya, matendo ya dhambi hayako mbali kamwe. Dialogue: 0,0:06:23.00,0:06:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini siri ya neema ya ajabu ya Mungu Dialogue: 0,0:06:29.00,0:06:34.00,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba daima kuna nafasi ya toba. Dialogue: 0,0:06:34.00,0:06:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kumbuka, watu wa Mungu - Dialogue: 0,0:06:38.00,0:06:53.00,Default,,0000,0000,0000,,wepesi wa toba yetu huakisi kiwango cha usikivu wetu wa kiroho. Dialogue: 0,0:06:53.00,0:07:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Kupinga toba kunaonyesha \Nugumu wa moyo. Dialogue: 0,0:07:03.00,0:07:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Sio kwamba sisi Wakristo \Nhatufanyi makosa. Dialogue: 0,0:07:05.00,0:07:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Tunafanya. Tunaweza kufanya makosa. Dialogue: 0,0:07:08.00,0:07:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini unapokuwa na hisia za kiroho, \Nunakuwa mwepesi kutambua, Dialogue: 0,0:07:13.00,0:07:18.00,Default,,0000,0000,0000,,mwepesi wa kujibu, mwepesi wa kujipatanisha, \Nmwepesi wa kutubu. Dialogue: 0,0:07:18.00,0:07:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini upinzani dhidi ya toba unaonyesha \Nugumu wa moyo. Dialogue: 0,0:07:29.00,0:07:40.00,Default,,0000,0000,0000,,Hii mara nyingi hujidhihirisha katika \Nnamna ya kuhalalisha dhambi ya ndani. Dialogue: 0,0:07:40.00,0:07:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Na shetani akiweza kufanikiwa kuufanya moyo wako kuwa mgumu, Dialogue: 0,0:07:48.00,0:07:57.00,Default,,0000,0000,0000,,uhalalishaji dhambi wa siri hivi karibuni utageukia kuwa\Nutenda dhambi wa hadharani, Dialogue: 0,0:07:57.00,0:08:01.00,Default,,0000,0000,0000,,hata kusheherekea dhamba hadharani - Dialogue: 0,0:08:01.00,0:08:06.00,Default,,0000,0000,0000,,si tu kwa yale tunayofanya bali \Nkwa yale tunayoshindwa kufanya. Dialogue: 0,0:08:06.00,0:08:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa hausimamii kitu fulani, \Nbasi hakika utaangukia kwa kitu fulani. Dialogue: 0,0:08:17.00,0:08:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Nataka mtafakari juu ya hili, \Nwatu wa Mungu - Dialogue: 0,0:08:24.00,0:08:35.00,Default,,0000,0000,0000,,upinzani dhidi ya toba huonyesha \Nugumu wa moyo. Dialogue: 0,0:08:35.00,0:08:42.00,Default,,0000,0000,0000,,Na ikiwa uangalifu hautachukuliwa, \Nikiwa dhamiri haijaamshwa; Dialogue: 0,0:08:42.00,0:08:53.00,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuhama kutoka katika utambuzi wa makosa hadi uthibitisho wa makosa. Dialogue: 0,0:08:53.00,0:08:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo shetani anataka. Dialogue: 0,0:08:54.00,0:09:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Anataka tuhamishe ardhi hadi \Neneo lililo nje ya nuru. Dialogue: 0,0:09:00.00,0:09:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu tunapokuwa gizani,\N'ukweli' unaweza kupotoshwa kwa urahisi. Dialogue: 0,0:09:10.00,0:09:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Kipofu akiwaongoza vipofu... Dialogue: 0,0:09:14.00,0:09:22.00,Default,,0000,0000,0000,,Hii ndiyo sababu kudharau dhambi \Nni hatari sana sana. Dialogue: 0,0:09:22.00,0:09:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna hatua ya kupunguza viwango vya \Nya Mungu inaisha vyema. Dialogue: 0,0:09:35.00,0:09:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Narudia tena, watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:09:38.00,0:09:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna hatua ya kupunguza, kushusha \Nviwango kamili vya Mungu huisha vyema. Dialogue: 0,0:09:47.00,0:09:52.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, nataka kutoa dokezo \Nla onyo katika hatua hii. Dialogue: 0,0:09:52.00,0:09:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Jihadharini na hatia ya usadikisho wa kughushi - Dialogue: 0,0:09:59.00,0:10:06.00,Default,,0000,0000,0000,,wakati matendo yako yanasukumwa na chanzo nje ya Neno la Mungu, Dialogue: 0,0:10:06.00,0:10:12.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nje ya utukufu wa Mungu. Jihadhari! Dialogue: 0,0:10:12.00,0:10:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Ibilisi hufurahia kujivika uadilifu, ubinafsi Dialogue: 0,0:10:19.00,0:10:28.00,Default,,0000,0000,0000,,katika mavazi ya kuonekana kuwa mema, \Nmuonekano wa fadhili, unaoonekana kuwa wa huruma Dialogue: 0,0:10:28.00,0:10:34.00,Default,,0000,0000,0000,,wenye kuonekana kuwa na utauwa \Nlakini akikana nguvu zake (2 Timotheo 3:5). Dialogue: 0,0:10:34.00,0:10:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Jihadharini na hatia ya usadikisho wa kughushi. Dialogue: 0,0:10:38.00,0:10:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Chanzo pekee cha usadikisho wa kweli \Nni Neno na Roho. Dialogue: 0,0:10:48.00,0:10:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni Neno la Mungu, kama lilivyofunuliwa na \NRoho Mtakatifu, ambalo hufichua giza. Dialogue: 0,0:10:54.00,0:10:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kadiri moyo wako unavyojishughulisha zaidi na Neno la Mungu, Dialogue: 0,0:10:58.00,0:11:06.00,Default,,0000,0000,0000,,kadiri Neno la Mungu linavyotawala moyo wako, ndivyo unavyokuwa mwangalifu zaidi kiroho. Dialogue: 0,0:11:06.00,0:11:12.00,Default,,0000,0000,0000,,Inaamsha, inakuza \Nsauti ya dhamiri. Dialogue: 0,0:11:12.00,0:11:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Na wewe ndivyo ulivyo leo kwa sababu ya kusikiliza au kupuuza dhamiri yako. Dialogue: 0,0:11:29.00,0:11:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ndivyo ulivyo leo Dialogue: 0,0:11:32.00,0:11:43.00,Default,,0000,0000,0000,,kama matokeo ya kusikiliza au kupuuza \Nsauti ya dhamiri yako. Dialogue: 0,0:11:43.00,0:11:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Kadiri tunavyojikita zaidi katika Neno la Mungu, ndivyo mioyo yetu inavyozidi kuwa na nidhamu. Dialogue: 0,0:11:54.00,0:12:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Mioyo yetu inaamshwa na \Nuovu mkubwa wa dhambi. Dialogue: 0,0:12:01.00,0:12:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo maana tunakuwa wepesi wa kutubu. Dialogue: 0,0:12:05.00,0:12:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo maana tupo wepesi kutambua makosa yetu. Dialogue: 0,0:12:07.00,0:12:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Na hii hutuhifadhi, inatulinda dhidi ya mitego hiyo hatari Dialogue: 0,0:12:13.00,0:12:19.00,Default,,0000,0000,0000,,tunapokutana na njia ya udanganyifu. Dialogue: 0,0:12:19.00,0:12:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu, ninasisitiza nini \Nkatika ujumbe huu leo? Dialogue: 0,0:12:24.00,0:12:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Dawa ya moyo mgumu Dialogue: 0,0:12:29.00,0:12:37.00,Default,,0000,0000,0000,,ni kukaa ukiwa umeshiba katika Maandiko \Nna kulowekwa katika maombi. Dialogue: 0,0:12:37.00,0:12:46.00,Default,,0000,0000,0000,,Ili uendelee kuwa mwenye kujali mambo ya kiroho, tunza moyo wako ukitumia Neno la Mungu. Dialogue: 0,0:12:46.00,0:12:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Maombi kila siku huzuia udanganyifu. Dialogue: 0,0:12:53.00,0:13:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kutokuwa na mudai wa kila siku na Mungu ni kichocheo cha maafa katika maisha yako ya kiroho. Dialogue: 0,0:13:02.00,0:13:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, ninataka kuwapa changamoto \Nsasa hivi na swali hili. Dialogue: 0,0:13:08.00,0:13:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Je, unafanya nini kila siku ambacho \Nkinakutajirisha kiroho? Dialogue: 0,0:13:20.00,0:13:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Maana nina neno la kukupa ushauri. Dialogue: 0,0:13:24.00,0:13:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Na tazama, enyi watu wa Mungu, ushauri huu haupaswi kuchukuliwa kwa lenzi ya dini. Dialogue: 0,0:13:30.00,0:13:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Hapana. Ni lazima upokelewe kupitia ufahamu wa uhusiano na Mungu. Dialogue: 0,0:13:35.00,0:13:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Dini inakimbilia kwenye utamaduni \Nkwa sababu haina uhai, Dialogue: 0,0:13:41.00,0:13:45.00,Default,,0000,0000,0000,,lakini uhusiano hutia moyo \Nna kukuza tabia za kiungu, Dialogue: 0,0:13:45.00,0:13:48.00,Default,,0000,0000,0000,,utaratibu wa kimungu katika nuru ya Neno la Mungu. Dialogue: 0,0:13:48.00,0:13:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, neno la ushauri kwako: Dialogue: 0,0:13:53.00,0:14:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika nyumba yako, nakuhimiza kuweka kando Dialogue: 0,0:14:00.00,0:14:08.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali pa sala, pa kutaamali, \Npa kutafakari. Dialogue: 0,0:14:08.00,0:14:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Najua wengi wetu wanaweza kusema hatuna nafasi ya chumba kizima. Dialogue: 0,0:14:13.00,0:14:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa unayo nafasi, utukufu kwa Mungu. Dialogue: 0,0:14:15.00,0:14:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini katika nyumba yako, tenga eneo - \Nkama bado hujafanya hivyo - Dialogue: 0,0:14:26.00,0:14:34.00,Default,,0000,0000,0000,,kujizungusha kwa uangalifu na mambo ambayo yanakukumbusha uhusiano wako na Mungu. Dialogue: 0,0:14:34.00,0:14:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini? Kwa sababu sisi sote ni dhaifu. Dialogue: 0,0:14:38.00,0:14:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika ulimwengu uliojaa ukengeufu, \NNakutia moyo leo - Dialogue: 0,0:14:44.00,0:14:49.00,Default,,0000,0000,0000,,tafuta kitu cha asili kukukumbusha \Nkuhusu kitu kisicho cha kawaida. Dialogue: 0,0:14:49.00,0:14:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Unda kitu unachoweza kuona ili kuuelekeza moyo wako kuelekea mambo ambayo hayaonekani. Dialogue: 0,0:14:57.00,0:15:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Tazama, watu wa Mungu, nawaambia - \Nmoyo wenu ndio chumba halisi cha maombi. Dialogue: 0,0:15:03.00,0:15:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Sijaribu kupinga ukweli huo. Dialogue: 0,0:15:06.00,0:15:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Moyo wetu ndio chumba halisi cha maombi. Dialogue: 0,0:15:08.00,0:15:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini lazima tukubali kwamba hakuna mtu aliye juu ya ushawishi na mazingira yana nafasi yake. Dialogue: 0,0:15:15.00,0:15:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Mazingira ni muhimu. Dialogue: 0,0:15:17.00,0:15:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Wakati fulani unarudi nyumbani \Nna moyo wako unafadhaika. Dialogue: 0,0:15:20.00,0:15:22.00,Default,,0000,0000,0000,,Labda umekuwa na mgongano \Nna mfanyakazi mwenzako. Dialogue: 0,0:15:22.00,0:15:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Labda kuna kutoelewana \Nna mwenzi wako. Dialogue: 0,0:15:25.00,0:15:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Labda umepata shinikizo na mvutano katika eneo fulani la maisha yako Dialogue: 0,0:15:29.00,0:15:31.00,Default,,0000,0000,0000,,na moyo wako unafadhaika. Dialogue: 0,0:15:31.00,0:15:37.00,Default,,0000,0000,0000,,Kuwa na mahali nyumbani kwako ambapo unaweza kwenda na kupatana na Mungu - Dialogue: 0,0:15:37.00,0:15:40.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali panapokukumbusha uhusiano wako na Mungu, Dialogue: 0,0:15:40.00,0:15:42.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali panapoelekeza mwelekeo wako kwa Mungu, Dialogue: 0,0:15:42.00,0:15:44.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali ambapo unaweza kuomba, Dialogue: 0,0:15:44.00,0:15:47.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali unapoweza kulala \Nna kutafakari wema wa Mungu, Dialogue: 0,0:15:47.00,0:15:52.00,Default,,0000,0000,0000,,mahali ambapo unaweza kusikiliza muziki wa kuabudu na kuruhusu moyo wako uinuke katika sifa. Dialogue: 0,0:15:52.00,0:15:58.00,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta kitu cha asili kukukumbusha kitu kisicho cha rohoni. Dialogue: 0,0:15:58.00,0:16:03.00,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni neno la ushauri kwako Dialogue: 0,0:16:03.00,0:16:15.00,Default,,0000,0000,0000,,ili kukusaidia kuendelea kuwa mwangalifu katika kipindi chote cha 2024 na kuendelea. Dialogue: 0,0:16:15.00,0:16:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, watu wa Mungu, \Nmnapotafakari maneno haya, Dialogue: 0,0:16:20.00,0:16:23.00,Default,,0000,0000,0000,,Nataka nikupeleke kwenye muda wa maombi. Dialogue: 0,0:16:25.00,0:16:28.00,Default,,0000,0000,0000,,WAKATI WA MAOMBI Dialogue: 0,0:16:30.00,0:16:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, watu wa Mungu, tuombe. Dialogue: 0,0:16:35.00,0:16:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Mwombe Mungu sasa hivi akusafishe \Nkwa Damu yake ya thamani Dialogue: 0,0:16:45.00,0:16:56.00,Default,,0000,0000,0000,,na kukuosha uwe mweupe kuliko theluji! Dialogue: 0,0:16:56.00,0:17:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:17:01.00,0:17:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini kinachoufanya moyo wako kuwa mgumu \Nkatika wakati huu? Dialogue: 0,0:17:10.00,0:17:15.00,Default,,0000,0000,0000,,KIondoshwe katika \Njina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:17:15.00,0:17:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Ondoshwa sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:18.00,0:17:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Roho hiyo ya ajabu inayokuza sauti ya udanganyifu ndani - inyamazishwe! Dialogue: 0,0:17:26.00,0:17:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Nyamaza sasa hivi! Dialogue: 0,0:17:28.00,0:17:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Sauti hiyo inayopinga toba - \Nnyamazishwa! Dialogue: 0,0:17:36.00,0:17:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:17:43.00,0:17:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Mwombe Mungu sasa hivi akuongezee usikivu wako wa kiroho ili kuitambua sauti yake. Dialogue: 0,0:17:56.00,0:18:02.00,Default,,0000,0000,0000,,Katikati ya sauti nyingi zinazokinzana na zinazopingana katika ulimwengu huu - Dialogue: 0,0:18:02.00,0:18:06.00,Default,,0000,0000,0000,,acha roho yako iwe sikivu kwa Roho Mtakatifu! Dialogue: 0,0:18:06.00,0:18:09.00,Default,,0000,0000,0000,,Acha kuwe na usikivu! Dialogue: 0,0:18:09.00,0:18:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Acha kuwe na ufunuo! Dialogue: 0,0:18:11.00,0:18:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Acha kuwe na ufahamu \Nunaoangazwa na Neno! Dialogue: 0,0:18:17.00,0:18:26.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu. Dialogue: 0,0:18:26.00,0:18:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Bwana Yesu Kristo, hatujui la kufanya lakini macho yetu yako kwako (2 Mambo ya Nyakati 20:12). Dialogue: 0,0:18:38.00,0:18:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Acha macho yako yawe kwa Kristo peke yake. Dialogue: 0,0:18:43.00,0:18:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Hebu moyo wako utengwe kwa ajili ya Kristo pekee. Dialogue: 0,0:18:50.00,0:18:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:18:54.00,0:19:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Bwana Yesu, tupe neema hiyo ya kuishi maisha adili yanayolitukuza jina lako - Dialogue: 0,0:19:06.00,0:19:11.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa maneno, kwa mawazo na kwa vitendo - Dialogue: 0,0:19:11.00,0:19:20.00,Default,,0000,0000,0000,,kote 2024 na zaidi, \Nkatika jina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:19:20.00,0:19:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina la Yesu tunaomba. Amina! Dialogue: 0,0:19:28.00,0:19:30.00,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:19:30.00,0:19:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Mungu awabariki, watu wa Mungu, Dialogue: 0,0:19:32.00,0:19:40.00,Default,,0000,0000,0000,,unapoendelea kuutafuta moyo wake \Nili kuona maisha waziwazi.