0:00:00.600,0:00:05.920 USIKIVU WA KIROHO - NDUGU CHRIS 0:00:06.360,0:00:11.760 neema na amani kwenu nyote katika jina kuu la yesu kristu 0:00:11.760,0:00:19.320 na wacha nianze kwa kuwakaribisha kwa hii mwaka wa 2024 0:00:19.320,0:00:20.840 asante yesu 0:00:20.840,0:00:24.360 Asante yesu, kwa neema kuingia mwaka huu mpya 0:00:24.360,0:00:29.760 hakika, kwa neema kuingia siku mpya, dakika mpya, sekunde mpya. 0:00:29.760,0:00:33.080 kwa sababu ya neema yake 0:00:33.080,0:00:41.280 na watu wa mungu, njia nzuri kujitayarisha kwa mwaka 2024 0:00:41.280,0:00:48.520 inaanza na kukagua kila siku, ukianza na leo 0:00:48.520,0:00:57.720 kwa kuwa licha ya umakini wa malengo au maazimio, jua hii 0:00:57.720,0:01:10.560 maisha yako haitabadilika mwaka wa 2024 ila ubadili mambo ufanyayo kila siku 0:01:10.560,0:01:20.560 ubakie thabiti ipite mwaka 2024, kaa thabiti leo 0:01:20.560,0:01:30.320 utayarishe yale vitu ambavyo hauwezi kutayarisha mwaka wa 2024, ujali juu ya leo 0:01:30.320,0:01:34.480 kwa kuwa leo ni yako 0:01:34.480,0:01:41.160 sasa leo, nataka kugawa ujumbe ambao umekua ndani ya moyo wangu 0:01:41.160,0:01:50.680 kwa wiki za karibu na lengo kuu la ujumbe huu ni ''USIKIVU WA KIROHO'' 0:01:50.680,0:01:55.600 Narudia , usikivu wa kiroho 0:01:55.600,0:02:11.040 waona, hatari kuu iletwayo na giza imefichwa kwa kutofaulu kuweza kuijtambua 0:02:11.040,0:02:15.280 kwa maneno mengine wacha niseme hivi 0:02:15.280,0:02:24.600 kutoweza kuitambua sisi yenyewe shida ndio shida yenyewe 0:02:24.600,0:02:31.920 hiyo ni shida kuu kuliko chenye sisi wengine tunatambua kama shida katika maisha yetu 0:02:31.920,0:02:34.080 na kuwa makini, watu wa mungu 0:02:34.080,0:02:46.600 jambo thabiti ya kukaisha na hata kuongeza shida ni kukosa kutambua shida 0:02:46.600,0:02:59.160 jinsi unapokumbana na shida yako ni shida kuu zaidi yenyewe 0:02:59.160,0:03:02.120 nataraji utafuata hayo ninayosema watu wa mungu 0:03:02.120,0:03:10.160 shida tunayopitia leo imekaa kwa njia tunayokumbana na shida zetu 0:03:10.160,0:03:18.680 na utambue hii, kuna majaribu, shida katika safari ya maisha 0:03:18.680,0:03:27.560 ambayo mambo ya kindani tu yaweza kukupitisha 0:03:27.560,0:03:32.480 kwa kauli hii, kumbuka nilichosema kuhusu ''usikivu wa kiroho'' 0:03:32.480,0:03:38.520 nawapeleka kwa andiko katika kitabu cha Waebrania 3 0:03:38.520,0:03:50.920 ndio itakua andiko kuu kwa ujumbe wetu leo - Waebrania 3:12-14 0:03:50.920,0:03:53.040 wacha tusome, watu wa mungu 0:03:53.040,0:04:03.640 ''angalieni ndugu zangu, asiwepo miongoni mwenu mtu yeyote mwenye moyo wa dhambi 0:04:03.640,0:04:08.400 usioamini unaomfanya ajitenge na mungu wa uzima; 0:04:08.400,0:04:16.160 bali muonyane kila siku maadamu bado ni 'leo' 0:04:16.160,0:04:23.400 ili asiwepo mtu kati yenu anayefanywa mkaidi na udangayifu wa dhambi. 0:04:23.400,0:04:26.680 kwa kuwa tumekuwa washiriki katika kristo 0:04:26.680,0:04:36.960 kama twashikilia toka mwanzo ujasiri thabiti hadi mwisho 0:04:36.960,0:04:50.800 sasa, adui mkubwa wa kuendelea kijroho ni ugumu wa moyo 0:04:50.800,0:04:57.720 moyo ambao unakosa usikivu wa kiroho 0:04:57.720,0:05:04.160 roho ambao umetulia gizani kwa udanganyifu wa dahmbi 0:05:04.160,0:05:15.240 na kuwa ndani zaidi kwa udangayifu ndio zaidi giza inazidi 0:05:15.240,0:05:23.560 ''ikiwa basi mwanga ndani yako ni giza, hiyo giza ni kuu sana 0:05:23.560,0:05:27.360 maneno ya yesu katika Matayo 6:23 0:05:27.360,0:05:39.120 kwa kuwa adui anaweza kukudanganya, hivyo anaweza kukupoteza 0:05:39.120,0:05:47.200 sasa, angalia karibu nawe na chenye inafanyika duniani 0:05:47.200,0:05:55.840 haitachukua muda kutambua madhara ya giza 0:05:55.840,0:05:58.280 uasi dhidi ya mungu na neno lake 0:05:58.280,0:06:01.520 lakini usione karibu tu . La! 0:06:01.520,0:06:05.880 nakuita leo uangalie ndani yako 0:06:05.880,0:06:12.760 kwa kuwa moyo wa uasi wetu ni uasi wa mioyo yetu 0:06:12.760,0:06:23.440 wakati hisi za kimwili inapopata malengo yasiyothabiti, matendo maovu hayapo mbali sana 0:06:23.440,0:06:29.680 lakini ukuu wa neema ya mungu 0:06:29.680,0:06:34.440 ni kuwa kuna nafasi toba 0:06:34.440,0:06:38.080 lakini zingatia, watu wa mungu 0:06:38.080,0:06:53.800 uwepesi wa toba yetu unaakisi kiwango ya usikivu wa kiroho 0:06:53.800,0:07:03.240 upinzani wa toba inaakisi ugumu wa moyo 0:07:03.240,0:07:05.600 sio tu kuwa sisi wakristo hatufanyi makosa 0:07:05.600,0:07:08.240 tunafanya. tunaweza kufanya makosa 0:07:08.240,0:07:13.720 lakini unapokuwa na usikivu wa kiroho ni rahisi kuutambua 0:07:13.720,0:07:18.000 rahisi kuitikia, rahisi kuunganisha, na rahisi kuleta toba 0:07:18.000,0:07:29.040 lakini ugumu wa kutoa toba inaakisi ugumu wa moyo 0:07:29.040,0:07:40.240 hii mara nyingi tunaona yenyewe kwa njia ya kuhalalisha dhambi moyoni 0:07:40.240,0:07:48.560 na kama shetani anaweza kufaulu kwa kuweka miyo yawe magumu 0:07:48.560,0:07:57.360 kuukubali dhambi kisiri hivi karibuni itakuwa kukubali dhambi hadharani 0:07:57.360,0:08:01.840 hata kufurahia dhambi hadharani 0:08:01.840,0:08:06.280 sio tu kwa yale tunafanya lakini kwa kile tunakosa kufanya 0:08:06.280,0:08:17.320 ukikosa kusimamia kwa jambo fulani basi utaangukia jambo fulani 0:08:17.320,0:08:24.360 nataka utafakari kwa hii - watu wa mungu 0:08:24.360,0:08:35.200 kupinga toba inaonyesha ugumu wa mioyo 0:08:35.200,0:08:42.960 na kama uangalifu hautazingatiwa, kamadhamira hautaamushwa 0:08:42.960,0:08:53.080 tutatoka kwa kuzingatia maovu hadi kwa kukubali maovu 0:08:53.080,0:08:54.920 hayo ndio shetani anataka 0:08:54.920,0:09:00.360 anataka sisi tubadili msimamo wetu wa mwanga 0:09:00.360,0:09:10.120 kwa kuwa tukiwa gizani ukweli utapinduliwa kwa urahisi 0:09:10.120,0:09:14.800 kibovu akiongoza walio vibovu 0:09:14.800,0:09:22.640 hii ndio sababu kupuuza dhambi ni jambo lenye hatari mno 0:09:22.640,0:09:35.640 hakuna mwelekeo wa kupunguza viwango vya mungu ikiisha vizuri 0:09:35.640,0:09:38.200 narudia tena, wtau wa mungu 0:09:38.200,0:09:47.760 hakuna njia ya kupunguza viwango kamili vya mungu vinavyoisha vizuri 0:09:47.760,0:09:52.000 sasa, nataka kuwapa onyo wakati huu 0:09:52.000,0:09:59.360 kuwa mwangalifu kwa hatia bandia 0:09:59.360,0:10:06.880 kama matendo yako imeongozwa na misingi nje ya neno la mungu 0:10:06.880,0:10:12.240 kwa misingi yaliyi nje ya utukufu wa mungu. jitahadhari! 0:10:12.240,0:10:19.440 shetani anapenda sana kujivaa - utakatifu, ubinafsi 0:10:19.440,0:10:28.640 kwa mavazi ya kuwa mzuri, kuwa mpole, na mwenye huruma 0:10:28.640,0:10:34.680 hayo yana mwonekano ya utakatifu lakini kukana nguvu zake mungu (timoteo wa 2 sura ya 3: 5 0:10:34.680,0:10:38.600 jihadhari na kutiwa hatia isiyo halali 0:10:38.600,0:10:48.600 msingi wa hatia wa kweli ni kwa neno na roho\ 0:10:48.600,0:10:54.240 ni neno la mungu kama inavyoonyeshwa na roho mtakatifu, inayofichua giza 0:10:54.240,0:10:58.120 kwa hivyo zaidi moyo wako unaposhrikiana na neno la mungu 0:10:58.120,0:11:06.840 ni zaidi neno lake mungu inatamalaki moyo wako, zaidi unavyokuwa na unyeti wa kiroho 0:11:06.840,0:11:12.120 inaamsha, na kukuisha sauti ya dhamira ya hisi 0:11:12.120,0:11:29.400 na wewe leo uko jinsi ulivyo kwa sababu ya kusikia au kutosikia udhamira wako 0:11:29.400,0:11:32.440 uko jinsi ulivyo leo hii 0:11:32.440,0:11:43.680 kwa sababu ya kusikiza au kulenga sauti ya dhamira lako 0:11:43.680,0:11:54.040 jinsi tunavyojiingiza zaidi kwa neno la mungu ndivyo mioyo yetu yanavyokuwa wenye utiifu 0:11:54.040,0:12:01.320 mioyo yetu yameamushwa kwa kukua kwa dhambi 0:12:01.320,0:12:05.200 hivyo tu wa haraka kutubu 0:12:05.200,0:12:07.920 hivyo ndivyo sababu tuko wa haraka kujua yaliyo mabaya 0:12:07.920,0:12:13.960 na hii hutuweka, hutukinga sisi kutokana na vifungo hatari 0:12:13.960,0:12:19.320 tunajikuta njiani kwa udanganyifu 0:12:19.320,0:12:24.640 watu wa mungu, ni nini nasisitiza kwenye ujumbe huu leo? 0:12:24.640,0:12:29.720 dawa ya roho ngumu 0:12:29.720,0:12:37.760 ni kukaa ndani ya neno na maombi 0:12:37.760,0:12:46.680 kukaa tukiwa wenye hisia yaliyoimarika, chunga roho yako kwa mwanga wa neno la mungu 0:12:46.680,0:12:53.720 maombi kila siku yaweka upotovu kando 0:12:53.720,0:13:02.160 0:13:02.160,0:13:08.360 0:13:08.360,0:13:20.960 0:13:20.960,0:13:24.160 0:13:24.160,0:13:30.280 0:13:30.280,0:13:35.920 0:13:35.920,0:13:41.480 0:13:41.480,0:13:45.840 0:13:45.840,0:13:48.920 0:13:48.920,0:13:53.520 0:13:53.520,0:14:00.520 0:14:00.520,0:14:08.600 0:14:08.600,0:14:13.880 0:14:13.880,0:14:15.680 0:14:15.680,0:14:26.920 0:14:26.920,0:14:34.880 0:14:34.880,0:14:38.160 0:14:38.160,0:14:44.040 0:14:44.040,0:14:49.680 0:14:49.680,0:14:57.960 0:14:57.960,0:15:03.520 0:15:03.520,0:15:06.320 0:15:06.320,0:15:08.560 0:15:08.560,0:15:15.240 0:15:15.240,0:15:17.000 0:15:17.000,0:15:20.360 0:15:20.360,0:15:22.680 0:15:22.680,0:15:25.080 0:15:25.080,0:15:29.800 0:15:29.800,0:15:31.920 0:15:31.920,0:15:37.200 0:15:37.200,0:15:40.360 0:15:40.360,0:15:42.880 0:15:42.880,0:15:44.440 0:15:44.440,0:15:47.880 0:15:47.880,0:15:52.240 0:15:52.240,0:15:58.000 0:15:58.000,0:16:03.640 0:16:03.640,0:16:15.480 0:16:15.480,0:16:20.160 0:16:20.160,0:16:23.680 0:16:25.200,0:16:28.720 0:16:30.160,0:16:35.840 0:16:35.840,0:16:45.000 0:16:45.000,0:16:56.560 0:16:56.560,0:17:01.440 0:17:01.440,0:17:10.680 0:17:10.680,0:17:15.360 0:17:15.360,0:17:18.080 0:17:18.080,0:17:26.960 0:17:26.960,0:17:28.920 0:17:28.920,0:17:36.600 0:17:36.600,0:17:43.000 0:17:43.000,0:17:56.040 0:17:56.040,0:18:02.080 0:18:02.080,0:18:06.960 0:18:06.960,0:18:09.320 0:18:09.320,0:18:11.840 0:18:11.840,0:18:17.000 0:18:17.000,0:18:26.600 0:18:26.600,0:18:38.400 0:18:38.400,0:18:43.000 0:18:43.000,0:18:50.000 0:18:50.000,0:18:54.800 0:18:54.800,0:19:06.360 0:19:06.360,0:19:11.040 0:19:11.040,0:19:20.400 0:19:20.400,0:19:28.520 0:19:28.520,0:19:30.360 0:19:30.360,0:19:32.720 0:19:32.720,0:19:40.320