< Return to Video

MAANDALIZI BORA YA NDOA...

  • 0:00 - 0:08
    Nina neno la ushauri kwa wale wanaomngojea Bwana kwa ndoa.
  • 0:08 - 0:13
    Hakuna kitu kizuri kuhusu kuwa na upuuzi.
  • 0:13 - 0:22
    Hakuna kitu cha kuvutia katika kutokomaa.
  • 0:22 - 0:28
    Kujenga tabia yako kwa matofali ya nidhamu ya kimungu
  • 0:28 - 0:32
    ni maandalizi bora ya ndoa.
  • 0:32 - 0:35
    Kwa sababu kumbuka hili -
  • 0:35 - 0:42
    nidhamu inayohitajika kukutunza kwa ajili ya ndoa
  • 0:42 - 0:50
    inahitajika pia kwenye kukudumisha katika ndoa.
Title:
MAANDALIZI BORA YA NDOA...
Description:

"Nina neno la ushauri kwa wale wanaomngoja Bwana kwa ajili ya ndoa. Hakuna kitu kizuri kuhusu upuuzi. Hakuna kitu cha kuvutia katika kukosa ukomavu. Kujenga tabia yako na vitalu vya nidhamu ya kimungu ni maandalizi bora ya ndoa. Kwa sababu kumbuka hili - nidhamu inayohitajika ili kukuhifadhi kwa ajili ya ndoa pia inahitajika ili kukudumisha katika ndoa."

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:50

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions