-
Mnajua kuwa kuku wameundwa kwa miujiza?
-
(Muziki)
-
Hamjambo nyote!
-
Je gari la Mercedez-Benz ni kama kuku
-
ama kuku ni kama gari la Mercedez-Benz?
-
Umechanganyikiwa sio?
-
Tizama hapa.
-
(Muziki)
-
Ni tangazo jipya la Mercedez-Benz
-
ambalo linajumuisha mfumo mpya wa utulivu
-
ulio wa hali ya juu kama kichwa cha kuku.
-
Kuku wanaonyesha vesibulo-reflex ya macho
-
Ni kipawa ambacho kuku hutumia
-
kutuliza kuona kwao huku wakitembeza mili.
-
Niruhusu niwaonyeshe.
-
Tizma jicho hili
-
ukizungusha kichwa kwa mzunguko wa dwara
-
kama mwendawazimu
-
Unagundua nini?
-
Wakati unazungusha kichwa huku na kule,
-
macho yako yalitulia kwa sehemu moja.
-
Hivi ndivyo tunatuliza macho yetu
-
ili tuweze kushika picha.
-
Mwanga huangaza kupitia mboni zetu
-
na kuingia retina iliyo nyuma ya jicho,
-
na kuunda picha ya retina.
-
Macho yakicheza upesi sana,
-
huwa hatuna mda wa kutosha
-
kuunda picha ya retina,
-
na kwa hivyo tunapata kuona picha hafifu.
-
Tunaweza kutuliza kuona kwetu
-
kwa kudumisha msimamo wa macho
-
na kuku hutuliza maono yake
-
kwa kudumisha msimamo wa kicha chake.
-
Motor ya macho yetu ni tofauti na kuku
-
Hivyo, misuli ya shingo na kichwa ni imara
-
ili kutuliza wanacho ona.
-
Si ndege peke yao wenye vichwa tulivu,
-
wanyama wengine kama paka pia wako hivi.
-
Lakini huu ubunifu haungai sana
-
wakati unawazungusha
-
kwa sababu kuku ana shingo ndefu!
-
Tuonane nyie mamalia wenye nywele, kesho.
-
Tazameni vipindi vingine hapa,
-
na msisahau kujiandikisha kupokea vipindi.
-
Nitawaona!
-
Kwa Heri!!
-
Nijuze ni jicho la myama yupi upendalo.
-
Kwangu ni kinyonga.