< Return to Video

Angles Formed by Parallel Lines and Transversals

  • 0:00 - 0:01
  • 0:01 - 0:02
    Tuna mistari miwili hapa.
  • 0:02 - 0:06
    Tuuite huu mstari hapa, AB.
  • 0:06 - 0:09
    A na B zote ziko kwenye mstari.
  • 0:09 - 0:11
    Tuna mstari mwingine hapa.
  • 0:11 - 0:12
    Huu tunauita mstari CD.
  • 0:12 - 0:16
    Hivyo umepita kwenye nukta C na nukta D.
  • 0:16 - 0:18
    Na unaendelea bila kikomo.
  • 0:18 - 0:22
    Hii mistari imekaa sehemu moja.
  • 0:22 - 0:24
    Kwa hali hii, sehemu yenyewe ni kioo chetu,
  • 0:24 - 0:26
    au sehemu ndogo ya karatasi ambayo
  • 0:26 - 0:27
    tunaiangalia hapa.
  • 0:27 - 0:31
    Na haijawahi kuingiliana.
  • 0:31 - 0:33
    Hivyo ipo sehemu moja, lakini
  • 0:33 - 0:36
    haijawahi kukutana.
  • 0:36 - 0:39
    Kama hivi ni kweli na endapo sio
  • 0:39 - 0:40
    mstari mmoja, haiwezi kukutana
  • 0:40 - 0:42
    na ipo sehemu moja,
  • 0:42 - 0:45
    hivyo tunasema hii mistari ni sambamba.
  • 0:45 - 0:48
  • 0:48 - 0:51
    Inaelekea kwenye uelekeo mmoja,
  • 0:51 - 0:53
    uelekeo mmoja.
  • 0:53 - 0:56
    Kama tukiitazama kama algebra,
  • 0:56 - 0:58
    tungeweza kusema ina mteremko sawa.
  • 0:58 - 0:59
    ila haiwezi kukutana.
  • 0:59 - 1:01
    Zinatumia nukta tofauti.
  • 1:01 - 1:03
    Tukichora mistari ya majira hapa,
  • 1:03 - 1:05
    zingekutana katika nukta tofauti,
  • 1:05 - 1:08
    ila zingekuwa na mporopoko sawa.
  • 1:08 - 1:09
    Ninachotaka kufanya ni kutafuta
  • 1:09 - 1:11
    pembe zinazohusiana na mistari sambamba.
  • 1:11 - 1:14
    Hivyo hapa, tuna mistari sambamba miwili.
  • 1:14 - 1:24
    Tunaweza kusema mstari AB ni sambamba kwa mstari CD.
  • 1:24 - 1:26
    Wakati mwingine unaweza kuona imebainishwa
  • 1:26 - 1:28
    kwenye mchoro kama huu.
  • 1:28 - 1:30
    Wanaweka mshale kuonesha
  • 1:30 - 1:31
    kuwa hii ni mistari sambamba.
  • 1:31 - 1:33
    Na kama umeshatumia mshale mmoja,
  • 1:33 - 1:36
    wanaweza kuweka mishale miwili kuonesha huu mstari ni sambamba
  • 1:36 - 1:38
    na huu mstari hapa.
  • 1:38 - 1:40
    Sasa baada ya hapo, ninachotaka kufanya
  • 1:40 - 1:45
    ni kuchora mstari utakaoingiliana na hii mistari sambamba.
  • 1:45 - 1:48
    Huu ndio mstari unaoingiliana na yote.
  • 1:48 - 1:50
    Ngoja nichore vizuri.
  • 1:50 - 1:52
    Nachora huo mstari hapo.
  • 1:52 - 1:55
  • 1:55 - 1:57
    Nitafanya kitu hapa.
  • 1:57 - 1:59
    Ninauita huu mstari L.
  • 1:59 - 2:02
    Na huu mstari unaoingiliana na mistari sambamba,
  • 2:02 - 2:04
    tunauita mkingamo.
  • 2:04 - 2:06
    Huu ni mstari kingamo.
  • 2:06 - 2:10
    Unapishana na mistari sambamba yote.
  • 2:10 - 2:12
    Huu ni mkingamo.
  • 2:12 - 2:16
    Ninachotafuta ni pembe zinazotengenezwa,
  • 2:16 - 2:17
    na zinavyoendana na nyingine.
  • 2:17 - 2:19
    Pembe zilizotengenezwa kwenye mapishano
  • 2:19 - 2:23
    baina ya mstari kingamo na mistari sambamba.
  • 2:23 - 2:25
    Kwanza, tunaweza kuanza na
  • 2:25 - 2:28
    hii pembe hapa.
  • 2:28 - 2:29
    Tunaweza kuiita hii pembe--
  • 2:29 - 2:32
    kama nikiamua kUweka jina, itakuwa
  • 2:32 - 2:34
    D, hii nukta na kisha kitu kingine.
  • 2:34 - 2:36
    Ninaweza kuiita hii pembe hapa.
  • 2:36 - 2:39
    Tunafahamu hii itakuwa sawa na pembe inayoelekeana nayo.
  • 2:39 - 2:42
    Hivyo hii pembe inaelekeana na hii.
  • 2:42 - 2:45
    Hivyo itakuwa sawa na hiyo pembe hapo.
  • 2:45 - 2:48
    Pia tunafahamu hii pembe hapa,
  • 2:48 - 2:53
    itakuwa sawa na pembe inayoelekeana nayo, au pembe
  • 2:53 - 2:55
    inayotizamana nayo baada ya kukutana.
  • 2:55 - 2:56
    Hivyo itakuwa sawa na hiyo.
  • 2:56 - 2:57
    Wakati mwingine inaweza kubainishwa hivi,
  • 2:57 - 3:01
    ambapo unaweza kuona alama za pembe mbili kama hiyo.
  • 3:01 - 3:02
    Au wakati mwingine mtu anaweza kuandika
  • 3:02 - 3:05
    hivi ilikuonesha kuwa hizi pembe zinalingana
  • 3:05 - 3:08
    na hizi mbili hapa pia zinalingana.
  • 3:08 - 3:09
    Sasa jambo lingine tunalofahamu ni
  • 3:09 - 3:11
    tunaweza kufanya zoezi kama hilo hapa juu,
  • 3:11 - 3:13
    hizi mbili zitakuwa zinalingana
  • 3:13 - 3:15
    na hizo zitakuwa zinalingana.
  • 3:15 - 3:16
    Zote ni pembe mshabaha.
  • 3:16 - 3:24
    Kinachoshangaza hapa ni kuangalia mahusiano
  • 3:24 - 3:28
    baina ya hii pembe hapa, na hii pembe
  • 3:28 - 3:29
    hapa juu.
  • 3:29 - 3:32
    Na kama ukiangalia tu, utaona
  • 3:32 - 3:34
    uhusiano wenyewe ni upi--ni kwamba
  • 3:34 - 3:38
    zinakuwa ni pembe zinazolingana, kama
  • 3:38 - 3:39
    ukiweka kipima pembe na kupima,
  • 3:39 - 3:42
    utapata vipimo sawa.
  • 3:42 - 3:44
    Na nikichora mistari sambamba--
  • 3:44 - 3:45
    Ninachora imenyooka kulia na kushoto,
  • 3:45 - 3:48
    itakuwa kawaida kidogo.
  • 3:48 - 3:50
    Nikichukulia hii mistari miwili ni sambamba,
  • 3:50 - 3:53
    na nina mstari mkingamo hapa, ninachosema ni
  • 3:53 - 3:55
    hii pembe itakuwa
  • 3:55 - 3:58
    na vipimo sawa na hii.
  • 3:58 - 4:01
    Ili kuona hilo, fikiria kama unachora mstari.
  • 4:01 - 4:03
    Na kadiri unavyoona tofauti-- hivyo
  • 4:03 - 4:04
    inaonekana ndicho kinachotokea hapa.
  • 4:04 - 4:07
    Ukichukua mstari kama huu na kuuangalia hapa,
  • 4:07 - 4:09
    ni wazi kuwa zinalingana.
  • 4:09 - 4:11
    Na hakuna uhakika kwenye hili.
  • 4:11 - 4:13
    Hiki ni moja wapo ya vitu ambavyo mtu wa hesabu
  • 4:13 - 4:15
    atasema ni kawaida, kama ukiangalia
  • 4:15 - 4:17
    ukiwa unachora mstari, unaweza
  • 4:17 - 4:20
    kusema hizi pembe zinalingana.
  • 4:20 - 4:22
    Au unaweza kuweka kipima pembe hapa
  • 4:22 - 4:24
    ili upime hizi pembe.
  • 4:24 - 4:26
    Ukiweka kipima pembe hapa, utakuwa
  • 4:26 - 4:29
    na upande mmoja wa pembe hapa kwenye nyuzi sifuri,
  • 4:29 - 4:32
    na upande mwingine utaonesha hiyo alama.
  • 4:32 - 4:36
    Ukiweka kipima pembe hapa,
  • 4:36 - 4:37
    kitatokea kitu kilekile.
  • 4:37 - 4:40
    Upande mmoja utakuwa kwenye huu mstari sambamba,
  • 4:40 - 4:43
    na upande mwingine utakuwa kwenye nukta ileile.
  • 4:43 - 4:46
    Kwa kupewa hiyo, tunafahamu kwamba sio tuu
  • 4:46 - 4:49
    upande huu ni sawa na upande huu,
  • 4:49 - 4:52
    ni sawa pia na huu upande hapa.
  • 4:52 - 4:53
    Na hiyo inatuambia kuwa pale
  • 4:53 - 4:55
    pia ni sawa na ule upande pale.
  • 4:55 - 4:58
    Hivyo hizi zote zenye kijani ni sawa.
  • 4:58 - 5:03
    Kwa makubaliano yaleyale, hii pembe
  • 5:03 - 5:05
    itakuwa na vipimo sawa na hii pembe.
  • 5:05 - 5:08
    Na hiyo itakuwa sawa na hii pembe,
  • 5:08 - 5:11
    kwa sababu zinaelekeana, au ni pembe mshabaha.
  • 5:11 - 5:13
    Jambo muhimu la kufahamu
  • 5:13 - 5:14
    ni tulichokifanya hapa.
  • 5:14 - 5:18
    Pembe mshabaha zinalingana na pembe mkabala
  • 5:18 - 5:21
    kwenye sehemu za muingiliano zinalingana.
  • 5:21 - 5:23
    Hivyo hilo ni jina jipya
  • 5:23 - 5:24
    ninalitoa hapa.
  • 5:24 - 5:26
    Hii pembe na hii pembe zinalingana.
  • 5:26 - 5:29
    Zinawakilisha kona ya juu upande wa kulia,
  • 5:29 - 5:30
    kwenye huu mfano, tulioufanya.
  • 5:30 - 5:34
    Hapa pia nafikiri zinawakilisha upande wa juu kona ya kulia
  • 5:34 - 5:36
    mwa makutano.
  • 5:36 - 5:38
    Hii itakuwa kona ya juu upande wa kushoto.
  • 5:38 - 5:41
    Zitakuwa pembe zinazoelekeana na zinalingana.
  • 5:41 - 5:44
    Kwa mara nyingine nadhani,
  • 5:44 - 5:46
    kwa kukosekana jina zuri.
  • 5:46 - 5:48
    Mbali na hilo kuna jina lingine
  • 5:48 - 5:49
    tutaliona.
  • 5:49 - 5:53
    Tumehakikisha kuwa sio kwamba tu, hii pembe
  • 5:53 - 5:55
    ni sawa na hii, bali pia
  • 5:55 - 5:57
    ni sawa na hii pembe pia.
  • 5:57 - 6:01
    Na hizi pembe mbili-- ngoja nizipe majina
  • 6:01 - 6:03
    ili tupige hatua hapa.
  • 6:03 - 6:04
    Hivyo nitatumia herufi ndogo
  • 6:04 - 6:06
    kwenye pembe.
  • 6:06 - 6:09
    Tuiite hii a, hii b
  • 6:09 - 6:13
    Hii herufi c, herufi d,
  • 6:13 - 6:17
    kisha hii itakuwa e, f, g, h.
  • 6:17 - 6:20
    Tunafahamu kwenye pembe mshabaha b ni sawa na c.
  • 6:20 - 6:22
    Pia tunafahamu b ni sawa na f
  • 6:22 - 6:26
    kwa sababu ni pembe mkabala.
  • 6:26 - 6:28
    Kama f ni sawa na g.
  • 6:28 - 6:30
    Basi pembe mshabaha zinalingana,
  • 6:30 - 6:32
    Pembe mkabala nazo zinalingana,
  • 6:32 - 6:34
    pia tunafahamu b ni sawa na g.
  • 6:34 - 6:37
    Pia tunaweza kusema pembe za ndani zinalingana.
  • 6:37 - 6:39
    Unaziona zipo kwa ndani
  • 6:39 - 6:40
    ya mwingiliano.
  • 6:40 - 6:41
    Zipo kati ya mistari, ila zipo
  • 6:41 - 6:44
    pande zinazokinzana.
  • 6:44 - 6:46
    Sio lazima ufahamu hii dhana,
  • 6:46 - 6:48
    pembe za ndani zinazokinzana, inatakiwa
  • 6:48 - 6:50
    ufahamu tulichokifanya hapa.
  • 6:50 - 6:52
    Fahamu pembe mshabaha zinakuwa sawa
  • 6:52 - 6:54
    na pembe mkabala zinakuwa sawa pia.
  • 6:54 - 6:56
    Umeona na kwingine pia.
  • 6:56 - 6:59
    Tunafahamu itakuwa sawa na d, ambayo
  • 6:59 - 7:06
    itakuwa sawa na h, ambayo itakuwa sawa na e.
  • 7:06 - 7:07
Title:
Angles Formed by Parallel Lines and Transversals
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
Khan Academy
Duration:
07:07

Swahili subtitles

Revisions