< Return to Video

Jinsi ya KUSHINDA uwongo wa WASIWASI!

  • 0:00 - 0:03
    Wakati mwingine changamoto huja na tunalemewa sana
  • 0:03 - 0:07
    kwa sababu tunazingatia ukubwa wa changamoto hiyo.
  • 0:07 - 0:10
    Haijalishi changamoto yako ni kubwa kiasi gani, sio kubwa kuliko Mungu.
  • 0:10 - 0:17
    Wakati mwingine unahitaji kuchukua hatua nyuma na fikiria tu hii.
  • 0:17 - 0:22
    Fikiria kile ambacho Mungu amekufanyia.
  • 0:22 - 0:25
    Fikiria kile Mungu amefanya ndani yako.
  • 0:25 - 0:28
    Fikiria kile Mungu amefanya kupitia wewe.
  • 0:28 - 0:31
    Na mashaka yako yatapaa.
  • 0:31 - 0:41
    Kukumbuka rekodi ya matendo yaa Mungu ni silaha ya kushinda uwongo wa wasiwasi.
Title:
Jinsi ya KUSHINDA uwongo wa WASIWASI!
Description:

"Wakati mwingine changamoto huja na tunaelemewa sana kwa sababu tunazingatia ukubwa wa changamoto hiyo. Haijalishi changamoto yako ni kubwa kiasi gani, sio kubwa kuliko Mungu. Wakati mwingine unahitaji kuchukua hatua nyuma na kufikiria tu juu ya hili. Fikiria kile Mungu amekufanyia. Fikiria kile Mungu amefanya ndani yako. Fikiri kile Mungu amefanya kupitia wewe. Na mashaka yako yatapaa. Kukumbuka rekodi ya matendo ya Mungu ni silaha ya kushinda uwongo wa wasiwasi.” - Ndugu Chris

Unaweza kutazama ujumbe kamili kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=Sx188oiw9g4kutazama ujumbe kamili kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=Sx188oiw9g4

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:41

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions