KANUNI TATU ZA KIROHO za KUPANGA MIPANGO YA MBELE!
-
0:00 - 0:12Usiingie kwenye makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake.
-
0:12 - 0:25Usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni yako.
-
0:25 - 0:28Sisemi ni makosa kupanga mipango.
-
0:28 - 0:31Sisemi ni makosa kuangalia mbele.
-
0:31 - 0:38Ninasema unapofanya mipango kama Mkristo,
-
0:38 - 0:43lazima ufanye hivyo kwa utambuzi wa mambo matatu:
-
0:43 - 0:511. Maisha hayana uhakika
-
0:51 - 1:012. Mungu ni mwenye enzi kuu
-
1:01 - 1:103. Kila siku ina riziki yake
- Title:
- KANUNI TATU ZA KIROHO za KUPANGA MIPANGO YA MBELE!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:10
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for THREE SPIRITUAL PRINCIPLES for PLANNING AHEAD! |