< Return to Video

Kwa nini MUNGU anaruhusu haya yanitokee?

  • 0:00 - 0:06
    Badala ya kuuliza, 'Kwa nini Mungu anaruhusu hili litokee KWANGU?' -
  • 0:06 - 0:09
    badilisha umakini.
  • 0:09 - 0:15
    'Kwa nini MUNGU anaruhusu hili linifanyie?'
  • 0:15 - 0:20
    Kwa sababu ikiwa Mungu anairuhusu, ikiwa Mungu ameiruhusu - ni kwa faida yangu.
  • 0:20 - 0:27
    Labda kuna somo analotaka ujifunze ambalo ni la lazima kwa maisha yako ya baadaye,
  • 0:27 - 0:31
    kwa majukumu aliyo nayo kesho kwako.
  • 0:31 - 0:35
    Labda anakunyenyekeeni chini ya mkono Wake wenye nguvu.
  • 0:35 - 0:41
    Huenda Yeye anakusafisha ili utoke kama dhahabu.
  • 0:41 - 0:50
    Labda anajenga tabia yako kwa ukuu ulio mbele yako.
  • 0:50 - 0:53
    Mtazame Yesu!
Title:
Kwa nini MUNGU anaruhusu haya yanitokee?
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:53

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions