Jinsi ya Kuomba WAKATI WOTE!
-
0:00 - 0:03Tembea na kuomba.
-
0:03 - 0:06Kula na kuomba.
-
0:06 - 0:09Tazama televisheni na uombe.
-
0:09 - 0:12Vinjari mtandao na uombe.
-
0:12 - 0:15Fanya kila kitu na uombe.
-
0:15 - 0:18Tazama, ikiwa utatembea na kuomba,
-
0:18 - 0:20haungeenda mahali
-
0:20 - 0:22ambapo Yesu asingekaribishwa.
-
0:22 - 0:25Ikiwa unazungumza na kuomba, hautashiriki
-
0:25 - 0:30katika porojo zisizo na maana au kujaza hewa kwa maneno matupu.
-
0:30 - 0:33Mkikesha na kuomba, hautajisumbua
-
0:33 - 0:34na mambo ambayo yangepelekea
-
0:34 - 0:39kukiuka dhamiri yako au kuchafua moyo wako.
-
0:39 - 0:43Kwa sababu Mungu hatatusukuma kamwe kusali juu ya
-
0:43 - 0:48jambo ambalo halijaidhinishwa na Maandiko.
- Title:
- Jinsi ya Kuomba WAKATI WOTE!
- Description:
-
“Tembea na kuomba. Kula na kuomba. Tazama televisheni na uombe. Vinjari mtandao na uombe. Fanya kila kitu na uombe. Angalia, ikiwa utatembea na kuomba, usingeenda mahali ambapo Yesu hatakaribishwa. Ikiwa unazungumza na kuomba, haungeshiriki katika masengenyo ya bure au kujaza hewa na maneno matupu. Ukikesha na kusali, hungezingatia mambo ambayo yangevunja dhamiri yako au kuchafua moyo wako. Kwa sababu Mungu hatatusukuma kamwe kusali kwa ajili ya jambo ambalo halijaidhinishwa na Maandiko.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=6QipHrNLyIA
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:49
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How To Pray ALL THE TIME! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How To Pray ALL THE TIME! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How To Pray ALL THE TIME! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How To Pray ALL THE TIME! |