< Return to Video

Muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama...

  • 0:00 - 0:08
    Kuna tofauti kati ya kupitia jambo fulani na kukua kupitia jambo fulani.
  • 0:08 - 0:15
    Kila mtu hapa amepitia uzoefu wa maisha.
  • 0:15 - 0:19
    Sio kila mtu amejifunza masomo ya maisha.
  • 0:19 - 0:31
    Kwa nini? Kwa sababu badala ya kujifunza kutokana na maisha yetu ya zamani, tunaishi katika maisha yetu ya zamani.
  • 0:31 - 0:34
    Nataka ujue hili.
  • 0:34 - 0:41
    Ibilisi hataacha kukukumbusha mambo yako ya nyuma -
  • 0:41 - 0:48
    makosa yako ya zamani, maumivu ya zamani, machungu ya zamani.
  • 0:48 - 0:57
    Anataka uishi katika maisha yako ya nyuma ili uendelee kuonekana kama ilivyokuwa zamani yako,
  • 0:57 - 1:11
    ili ubaki umekwama, umetuama, au unaenda tu kwenye miduara.
  • 1:11 - 1:16
    Lakini muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama.
  • 1:16 - 1:20
    Maisha hayasimami kwa sababu tu wewe umesimama.
  • 1:20 - 1:30
    Changamoto hazikomi kwa sababu tu umekwama katika maumivu ya wakati uliopita.
Title:
Muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:30

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions