< Return to Video

Muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama...

  • 0:00 - 0:08
    Kuna tofauti kati ya kupitia jambo fulani na kukua kupitia jambo fulani.
  • 0:08 - 0:15
    Kila mtu hapa amepitia uzoefu wa maisha.
  • 0:15 - 0:19
    Sio kila mtu amejifunza masomo ya maisha.
  • 0:19 - 0:31
    Kwa nini? Kwa sababu badala ya kujifunza kutokana na maisha yetu ya zamani, tunaishi katika maisha yetu ya zamani.
  • 0:31 - 0:34
    Nataka ujue hili.
  • 0:34 - 0:41
    Ibilisi hataacha kukukumbusha mambo yako ya nyuma -
  • 0:41 - 0:48
    makosa yako ya zamani, maumivu ya zamani, machungu ya zamani.
  • 0:48 - 0:57
    Anataka uishi katika maisha yako ya nyuma ili uendelee kuonekana kama ilivyokuwa zamani yako,
  • 0:57 - 1:11
    ili ubaki umekwama, umetuama, au unaenda tu kwenye miduara.
  • 1:11 - 1:16
    Lakini muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama.
  • 1:16 - 1:20
    Maisha hayasimami kwa sababu tu wewe umesimama.
  • 1:20 - 1:30
    Changamoto hazikomi kwa sababu tu umekwama katika maumivu ya wakati uliopita.
Title:
Muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama...
Description:

"Kuna tofauti kati ya kupitia jambo fulani na kukua kupitia jambo fulani. Kila mtu hapa amepitia uzoefu wa maisha. Sio kila mtu amejifunza somo la maisha. Kwa nini? Kwa sababu badala ya kujifunza kutoka kwa maisha yetu ya nyuma, tunaishi katika siku zetu zilizopita. Nataka ujue hili. Ibilisi hataacha kukukumbusha ya zamani - makosa yako ya zamani, maumivu ya zamani, machungu ya zamani. Anataka uishi katika siku zako za nyuma ili uendelee kuonekana kama ulivyokuwa hapo zamani, ili ubaki umekwama, ukiwa umesimama, au unaenda tu kwenye miduara. Lakini muda hausimami kwa sababu tu wewe umesimama. Maisha hayasimami kwa sababu tu wewe umesimama. Changamoto hazikomi kwa sababu tu umekwama katika maumivu ya zamani.”

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris wakati wa hafla ya ‘Let Hearts Arise’ hapa - https://www.youtube.com/watch?v=wM-dvPVFv9w

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:30

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions