-
Baada ya kuathirika na maambukizi,
-
mfumo wetu wa kingamaradhi
hukumbuka tishio,
-
hasa kwa kuzalisha chembechembe za
kingamwili.
-
Hizi ni protini ambazo huzunguka katika
damu na kote mwilini;
-
huwa zinatambua na kuua mshambulizi kwa haraka zinapoigusa,
-
inayosababisha kuzuia au kupunguza ugonjwa.
-
Hii ndiyo maana hatugonjeki kwa kirusi kimoja mara mbili;
-
tuna kingamwili.
-
Chanjo huiga mchakato huu,
-
kuhimiza mfumo wa kingamaradhi kuzalisha kingamwili
-
bila sisi kuwa wagonjwa.
-
Baadhi ya vipengele vikuu vya chanjo ya
SARS-CoV-2
-
ni "chanzo za mRNA,"
-
inayohusu kujumuisha muundo wa kijenetiki
-
kwa protini muhimu ya miba kwenye sakafu
ya virusi
-
katika fomyula
-
ambayo wakati itadungwa kwa wanadamu,
-
huagiza chembechembe zetu hai kubuni
protini ya miba.
-
Kisha, mwili unabuni kingamwili dhidi ya protini ya miba,
-
na zinatulinda dhidi ya athari ya virusi.
-
Mkakati huu ni wa haraka zaidi kuliko
mbinu zaidi za kiasili,
-
ambazo mara nyingi huhusisha kubuni mbinu za virusi hai zilizofanywa hafifu au kuuwawa,
-
au kubuni viwango vya juu vya protini ya miba
-
ili kubaini iwapo zinaweza kuanzisha jibu la kingamwili
-
Baada ya chanjo inayoweza kutumika kugunduliwa;
-
baadhi ya vipengele vipo kabla iweze kutolewa kwa watu.
-
Kwanza ni vipimo vya mapema vya kliniki,
-
ambavyo vinajumuisha majaribio katika maabara na kwa kutumia wanyama.
-
Lazima wanasayansi wahakikishe
-
kuwa chanjo si tu nzuri, bali pia ni salama.
-
Kwa mfano, jibu la kingamwili kwa chanjo isiyo sawa
-
chini ya hali ambazo ni adimu zaidi,
-
kuishia kuongeza hatari ya kuathiriwa.
-
Chanjo inapotimiza matokeo yanayofaa ya kliniki,
-
majaribio ya kliniki yanaweza kuanza katika kundi dogo la watu.
-
Kadri chanjo inavyokua,
-
inajaribiwa kwa idadi ya juu ya watu,
-
huku wanasayansi na madaktrai
-
wakifuatilia kwa karibu usalama, ufaafu na viwango.
-
Baada ya ukamilishaji wa majaribio ya kliniki,
-
lazima chanjo ikaguliwe na kuidhinishwa
-
na mashirika ya udhibiti,
-
kama vile FDA,
-
kabla utengenezaji na usambazaji kwa kiwango cha juu kuanza
-
na leseni iliyothibitishwa kutolewa kwa wengi.
-
Manukuu yametolea na Mauricio Kakuei Tanaka
Ukaguzi umefanywa na Carol Wang