How vaccines work against COVID-19: Science, Simplified
-
0:04 - 0:06Baada ya kuathirika na maambukizi,
-
0:06 - 0:09mfumo wetu wa kingamaradhi
hukumbuka tishio, -
0:09 - 0:11hasa kwa kuzalisha chembechembe za
kingamwili. -
0:11 - 0:15Hizi ni protini ambazo huzunguka katika
damu na kote mwilini; -
0:15 - 0:18huwa zinatambua haraka na kulemaza maradhi zinapoigusa,
-
0:18 - 0:20na hivyo kuzuia au kupunguza ugonjwa.
-
0:21 - 0:24Hii ndiyo maana hatuwi wagonjwa kwa
kirusi kimoja mara mbili; -
0:24 - 0:25tuna kingamaradhi.
-
0:26 - 0:27Chanjo huiga mchakato huu,
-
0:27 - 0:30kuhimiza mfumo wa kingamaradhi
kuzalisha kingamwili -
0:30 - 0:32bila sisi kuwa wagonjwa.
-
0:33 - 0:36Baadhi ya vipengee vikuu vya chanjo ya
SARS-CoV-2 -
0:36 - 0:38ni "chanjo za mRNA,"
-
0:38 - 0:40inayohusu kujumuisha muundo wa kijenetiki
-
0:40 - 0:42wa protini muhimu yenye miiba
kwa umbo la kirusi -
0:42 - 0:44katika fomyula
-
0:44 - 0:45ambayo wakati itadungwa kwa wanadamu,
-
0:45 - 0:48huagiza seli zetu hai kuzalisha
protini ya miiba. -
0:49 - 0:53Kisha, mwili huzalisha kingamwili ili
kukabili protini ya miiba, -
0:53 - 0:55na zinatulinda dhidi ya athari ya virusi.
-
0:56 - 0:59Mkakati huu ni wa haraka zaidi kuliko
mbinu zaidi za kiasili, -
0:59 - 1:03ambazo kwa sana huhusisha kuzalisha kirusi
hai ambacho kimefanywa hafifu au tuli, -
1:04 - 1:06au kubuni kiasi cha juu cha
protini ya miiba -
1:06 - 1:09ili kubaini iwapo zinaweza kuanzisha
shughuli ya kingamwili. -
1:10 - 1:12Baada ya chanjo inayoweza kutumika
kugunduliwa, -
1:12 - 1:16kuna shughuli kadhaa za ukaguzi
kabla iweze kutolewa kwa watu. -
1:16 - 1:18Kwanza ni vipimo visivyo vya watu,
-
1:18 - 1:21vinavyojumuisha majaribio katika
maabara na kwa kutumia wanyama. -
1:22 - 1:23Lazima wanasayansi wahakikishe
-
1:23 - 1:26kuwa kipengee cha chanjo si tu
kizuri, bali pia ni salama. -
1:27 - 1:30Kwa mfano, shughuli ya kingamwili
kwa chanjo yenye dosari -
1:30 - 1:33inaweza, katika hali adimu zaidi,
-
1:33 - 1:36kuishia kuzidisha hatari ya kuathiriwa.
-
1:36 - 1:40Chanjo inapotimiza matokeo yanayofaa ya kliniki,
-
1:40 - 1:43majaribio ya kliniki yanaweza kuanza katika kundi dogo la watu.
-
1:43 - 1:45Kadri chanjo inavyokua,
-
1:45 - 1:48inajaribiwa kwa idadi ya juu ya watu,
-
1:48 - 1:49huku wanasayansi na madaktrai
-
1:49 - 1:53wakifuatilia kwa karibu usalama, ufaafu na viwango.
-
1:53 - 1:56Baada ya ukamilishaji wa majaribio ya kliniki,
-
1:56 - 1:58lazima chanjo ikaguliwe na kuidhinishwa
-
1:58 - 2:00na mashirika ya udhibiti,
-
2:00 - 2:01kama vile FDA,
-
2:01 - 2:04kabla utengenezaji na usambazaji kwa kiwango cha juu kuanza
-
2:04 - 2:07na leseni iliyothibitishwa kutolewa kwa wengi.
-
2:07 - 2:10Manukuu yametolea na Mauricio Kakuei Tanaka
Ukaguzi umefanywa na Carol Wang
- Title:
- How vaccines work against COVID-19: Science, Simplified
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
Amplifying Voices
- Project:
- COVID-19 Pandemic
- Duration:
- 02:16
Show all