hideAmara will be doing a system update on Monday, June 30th, 2025, at 7:00pm - 8:00pm ET​ (US Time)
Please save your work often if you are working during this time.

< Return to Video

HAUKO peke yako!

  • 0:00 - 0:04
    Yesu anasema, Njooni Kwangu ninyi nyote msumbukao
  • 0:04 - 0:09
    na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha! ( Mathayo 11:28 )
  • 0:09 - 0:11
    Hii ina maana gani?
  • 0:11 - 0:13
    Hiyo haimaanishi kuwa hatuwezi kuwa na shida.
  • 0:13 - 0:15
    Hiyo haimaanishi kuwa hakuwezi kuwa na ugumu.
  • 0:15 - 0:17
    Lakini inamaanisha hauko peke yako.
  • 0:17 - 0:19
    Na unapomsifu Mungu katika majaribu yako,
  • 0:19 - 0:22
    utabarikiwa na Mungu kupitia majaribu yako.
Title:
HAUKO peke yako!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:23
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You are NOT alone! May 5, 2025, 7:25 PM
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You are NOT alone! May 5, 2025, 7:22 PM

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions