HAUKO peke yako!
-
0:00 - 0:04Yesu anasema, Njooni Kwangu ninyi nyote msumbukao
-
0:04 - 0:09na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha! ( Mathayo 11:28 )
-
0:09 - 0:11Hii ina maana gani?
-
0:11 - 0:13Hiyo haimaanishi kuwa hatuwezi kuwa na shida.
-
0:13 - 0:15Hiyo haimaanishi kuwa hakuwezi kuwa na magumu.
-
0:15 - 0:17Lakini inamaanisha hauko peke yako.
-
0:17 - 0:19Na unapomsifu Mungu katika majaribu yako,
-
0:19 - 0:22utabarikiwa na Mungu kupitia majaribu yako.
- Title:
- HAUKO peke yako!
- Description:
-
“Yesu anasema, ‘Njooni Kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha!’ ( Mathayo 11:28 ) Hii inamaanisha nini? Hii haimaanishi kuwa hatuwezi kuwa na shida au kukabiliana na magumu. Lakini inamaanisha hauko peke yako. Na unapombariki Mungu katika majaribu yako, utabarikiwa na Mungu kupitia majaribu yako.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili wa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=UHe7Y-8_WwA
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:23
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You are NOT alone! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You are NOT alone! |