UKIINUKA tu kwa karama, hakika UTANGUKA kwa tabia!
-
0:00 - 0:12Ukiinuka kwa karama, unaweza kuanguka kwa tabia.
-
0:12 - 0:15Au ngoja niweke
wazi zaidi. -
0:15 - 0:24Ukiinuka tu kwa karama, hakika utaanguka
kwa tabia. -
0:24 - 0:33Usichukuliwe na kipawa chako hadi mahali ambapo tabia yako haiwezi kukubeba.
-
0:33 - 0:38Kipawa chako kinaweza kusababisha ukuu wa mwanadamu.
-
0:38 - 0:42Lakini inahitaji tabia kuwa
na ukuu wa Mungu. -
0:42 - 0:45Kipawa chako kinaweza
kuburudisha watu. -
0:45 - 0:48Inachukua tabia kuwaburudisha malaika.
- Title:
- UKIINUKA tu kwa karama, hakika UTANGUKA kwa tabia!
- Description:
-
"Ukiinuka kwa karama, unaweza kuanguka kwa tabia, au wacha niweke wazi zaidi - ikiwa utainuka tu kwa karama, hakika utaanguka kwa tabia. Usichukuliwe na karama yako hadi mahali ambapo tabia yako haiwezi kukubeba. Kipawa chako kinaweza kusababisha ukuu wa mwanadamu. Lakini inachukua tabia kuwa na ukuu wa Mungu. Kipawa chako kinaweza kuburudisha wanadamu. inahitaji tabia kuwakaribisha malaika."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=orIrn5k-rew
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:49
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for If you only RISE by gift, you will surely FALL by character! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for If you only RISE by gift, you will surely FALL by character! |