< Return to Video

NINI KINAFANYA MAOMBI NA IBADA KUWA NA NGUVU HIVYO? UKIRI WA SHETANI!!!

  • 0:00 - 0:02
    Wewe ni nani demu? Ongea!
  • 0:03 - 0:04
    Nena kwa jina kuu la Yesu!
  • 0:04 - 0:06
    Moto wa Roho Mtakatifu!
  • 0:06 - 0:08
    Moto juu ya mwili wako wote!
  • 0:08 - 0:10
    Tunataka kumwangamiza!
  • 0:10 - 0:13
    Lakini yeye ni mkaidi sana!
  • 0:15 - 0:21
    "Juu Sana! Aliye Juu Sana!" Kila siku, "Aliye Juu Zaidi!"
  • 0:21 - 0:24
    Tunataka kuwaangamiza wote!
  • 0:24 - 0:27
    Mimi ni Anita, ninatoka Australlia.
  • 0:27 - 0:33
    Mtu wa Mungu aliponigusa, nilianza tu kutembea huku na kule. Sikujua kwa nini nilikuwa nikitembea huku na kule.
  • 0:33 - 0:38
    Nilihisi kukimbia. Nilikuwa na wasiwasi kwa miguu yangu.
  • 0:39 - 0:41
    Nena, pepo! Umemfanya nini?
  • 0:42 - 0:43
    Unamuangamizaje?
  • 0:44 - 0:52
    Kazi yake. Yeye ni mwanamke mkubwa. Kubwa!
  • 0:52 - 0:57
    Kwa upande wa kile ninachofanya katika kazi yangu, ninaongoza programu kubwa ndani ya sekta ya serikali.
  • 0:57 - 1:01
    Hivyo ndivyo mimi hufanya wakati mabadiliko yanahitaji kutekelezwa.
  • 1:01 - 1:07
    Hapo ndipo ninapoingia na kufanya hivyo, wakati mwingine katika serikali ya jimbo au serikali ya shirikisho. Hivyo ndivyo ninavyofanya.
  • 1:07 - 1:10
    Umefanya nini kwa familia yake, kwa kazi yake, kwa afya yake?
  • 1:11 - 1:12
    Nena kwa jina kuu la Yesu!
  • 1:12 - 1:17
    Kazi yake, hatutaki aendelee! Tunaendelea kumkatisha tamaa!
  • 1:17 - 1:24
    Nadhani (pepo) alikuwa akimaanisha baadhi ya wanafamilia yangu ambao wamevamiwa.
  • 1:24 - 1:26
    Katika kazi zao na afya zao pia.
  • 1:27 - 1:31
    Mambo yamekuwa hayaendi vizuri, kama mtu angetarajia.
  • 1:31 - 1:33
    Kwa hivyo ndio, naweza kudhibitisha hilo. Ndiyo.
  • 1:33 - 1:36
    Kuchanganyikiwa sana, kurudi nyuma sana.
  • 1:37 - 1:40
    Wakati mwingine sijui kurudi nyuma kunatoka wapi.
  • 1:40 - 1:44
    Ilikuwa ngumu sana katika suala la mahali pa kazi na wapi nilipaswa kwenda.
  • 1:44 - 1:46
    lakini yeye ni mkubwa sana
  • 1:46 - 1:50
    Anafanya mambo makubwa.
  • 1:50 - 1:55
    Anakotoka, anafanya mambo makubwa kwa urahisi kama hivyo,
  • 1:55 - 1:59
    kwa sababu yeye humwita Aliye Juu
  • 1:59 - 2:03
    "Juu sana!"
  • 2:03 - 2:05
    Ninatumia muda mwingi katika maombi.
  • 2:05 - 2:08
    Katika nyumba yangu mwenyewe, nina chumba cha maombi
  • 2:08 - 2:14
    Mimi hutumia wakati mwingi kumwabudu Mungu, nikiita jina Lake, Mungu Aliye Juu Zaidi.
  • 2:14 - 2:17
    Ninatumia muda mwingi katika maombi na kumwabudu Mungu.
  • 2:19 - 2:21
    Ni wakati wa wewe kuondoka kwenye mwili huu!
  • 2:21 - 2:23
    Katika jina kuu la Yesu!
  • 2:23 - 2:26
    Moto juu ya mwili wako wote!
  • 2:26 - 2:28
    Toka kwa jina kuu la Yesu!
  • 2:28 - 2:30
    Katika jina kuu la Yesu Kristo!
  • 2:30 - 2:33
    Ninatangaza kuwa huru kwa jina la Yesu!
  • 2:33 - 2:41
    Nitaendelea kumtumikia na kumwabudu siku zote za maisha yangu, nitamtumikia kwa mali yangu.
  • 2:41 - 2:44
    Hiyo ndiyo ahadi yangu kwa Mungu. Amina!
  • 2:44 - 2:45
    Asante!
  • 2:45 - 3:01
    [♪ Music ♪]
Title:
NINI KINAFANYA MAOMBI NA IBADA KUWA NA NGUVU HIVYO? UKIRI WA SHETANI!!!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Duration:
03:01

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions