-
Kuna kitu kimoja unastahili kujua
kuhusu mimi
-
Mimi nina utaalam katika
aina maalum ya usalama.
-
Unazungumza kuhusu ndoto?
-
Bw. Cobb ako na nafasi ya kazi angependa
kujadiliana na wewe.
-
Kama mahali pa kazi?
-
Si hasa.
-
Tunaunda dunia ya ndoto.
-
Tunaleta mada katika ndoto hiyo, na
wanaijaza na siri zao.
-
Kisha mnavunja tena mnaingia
na kuiiba?
-
Kweli... si madhubuti kusema ya kisheria.
-
Inaitwa kuanzishwa.
-
Niko tayari.
-
Nadhani nilipata njia ya
kuenda nyumbani.
-
Na hii kazi, hivyo ndivyo ninafika pale!
-
Ndoto huhisi kweli tukiwa ndani. Hadi
tunapoamka ndiyo tunagundua ni kitu geni.
-
Hili lilikuwa jukumu lako!
Hatuko tayari kwa hili!
-
Ndoto zinaporomoka!
-
Ninayo chini ya udhibiti.
-
Ninachukia kuona nje ya udhibiti.
-
Lazima uwe na hofu kuota kubwa kidogo
mpenzi