< Return to Video

Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho...

  • 0:00 - 0:08
    Dhambi siku zote huwa inakaribishwa.
  • 0:08 - 0:19
    Inakupa chini sana kuliko unavyotamani na inachukua zaidi ya vile unavyofikiria.
  • 0:19 - 0:30
    Dhambi ni kama moto wa nyikani ambao hauwezi kuzuilika mara moja unapowashwa.
  • 0:30 - 0:37
    Hakuna jitihada za kibinadamu za kuizuia zitafanikiwa bila toba.
  • 0:37 - 0:50
    Dhambi itakupeleka mbali zaidi kuliko ulivyo tayari kupotea,
  • 0:50 - 0:57
    itakushikilia kwa muda mrefu kuliko vile unavyotaka kukaa,
  • 0:57 - 1:02
    na itakugharimu zaidi ya ulivyo tayari kulipa.
Title:
Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho...
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:02

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions