< Return to Video

2025: Kuhamishwa kutoka hapo ulipo kwenda mahali ambapo MUNGU anataka uwe!

  • 0:00 - 0:10
    Ikiwa hufanyi kazi kulingana na wito wako, kulingana na hatima yako,
  • 0:10 - 0:18
    omba kwamba 2025 uwe mwaka wa kuhama -
  • 0:18 - 0:24
    mwaka wa kuhama kutoka hapo ulipo kwenda mahali ambapo Mungu anataka uwe.
Title:
2025: Kuhamishwa kutoka hapo ulipo kwenda mahali ambapo MUNGU anataka uwe!
Description:

Ikiwa hufanyi kazi inayoendana na wito wako, kulingana na hatima yako, omba kwamba 2025 uwe mwaka wa kuhama - mwaka wa kuhama kutoka hapo ulipo kwenda mahali ambapo Mungu anataka uwe.

Unaweza kutazama muda wote wa maombi ya 2025 pamoja na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=I1ghGx8kIig

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:25

Swahili subtitles

Revisions