< Return to Video

Jinsi ya KUSHINDA uwongo wa WASIWASI!

  • 0:00 - 0:03
    Wakati mwingine changamoto huja na tunalemewa sana
  • 0:03 - 0:07
    kwa sababu tunazingatia ukubwa wa changamoto hiyo.
  • 0:07 - 0:10
    Haijalishi changamoto yako ni kubwa kiasi gani, sio kubwa kuliko Mungu.
  • 0:10 - 0:17
    Wakati mwingine unahitaji kuchukua hatua nyuma na fikiria tu hii.
  • 0:17 - 0:22
    Fikiria kile ambacho Mungu amekufanyia.
  • 0:22 - 0:25
    Fikiria kile Mungu amefanya ndani yako.
  • 0:25 - 0:28
    Fikiria kile Mungu amefanya kupitia wewe.
  • 0:28 - 0:31
    Na mashaka yako yatapaa.
  • 0:31 - 0:41
    Kukumbuka rekodi ya matendo yaa Mungu ni silaha ya kushinda uwongo wa wasiwasi.
Title:
Jinsi ya KUSHINDA uwongo wa WASIWASI!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:41

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions