SEMA KWAHERI KWA KIFUNGO!!! OMBI LA KUVUNJA MINYORORO/ NDUGU CHRIS
-
0:01 - 0:06Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru .
-
0:06 - 0:11Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru
-
0:11 - 0:16Pokea uhuru,pokea uhuru leo!
-
0:23 - 0:35Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU.
-
0:35 - 0:44Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako
-
0:44 - 0:54Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu
-
0:54 - 0:57Anajua hali yako .
-
0:57 - 1:00Anajua Kesi yako (Ombi )
-
1:00 - 1:07Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi.
-
1:07 - 1:18Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia )
-
1:18 - 1:29Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu
-
1:29 - 1:33Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu.
-
1:33 - 1:42Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka
-
1:42 - 1:50Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika
-
1:50 - 1:57hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu.
-
1:57 - 2:01usijiangalie kama mwathiriwa.
-
2:01 - 2:04Hiyo tu itachochea uongo.
-
2:04 - 2:10Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako
-
2:10 - 2:18Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako.
-
2:18 - 2:24Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia.
-
2:24 - 2:30Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia
-
2:30 - 2:39Hali yeyote uliyomo sasa , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa.
-
2:39 - 2:47Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi
-
2:47 - 2:54Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe .
-
2:54 - 2:59Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi
-
2:59 - 3:05Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe
-
3:05 - 3:09Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo
-
3:09 - 3:16hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe
-
3:16 - 3:19kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo
-
3:19 - 3:27Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote!
-
3:27 - 3:32Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa
-
3:32 - 3:40achilia msamaha !
-
3:40 - 3:45Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo
-
4:25 - 4:35Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi?
-
4:35 - 4:41Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO
-
4:57 - 5:09Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU-
-
5:09 - 5:14ondolewa sasa hivi!
-
5:14 - 5:18Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO
-
5:37 - 5:49Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi.
-
5:49 - 5:56Wekwa huru kwa JINA LA YESU
-
6:19 - 6:30Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu
-
6:30 - 6:38Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama
-
6:38 - 6:46hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo
-
6:46 - 6:51katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini
-
6:51 - 7:01sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu -
-
7:01 - 7:08na amuru huyo roho mchafu toka inje!
-
7:08 - 7:12Toka , kwa Jina KUU KA YESU !
-
7:12 - 7:16amuru , sasa
-
8:01 - 8:09Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi !
-
8:09 - 8:14wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ?
-
8:14 - 8:18Nakuamuru sasa toka .
-
8:18 - 8:23wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ?
-
8:23 - 8:29nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO
-
8:29 - 8:35TOKA !
-
9:00 - 9:05Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini
-
9:05 - 9:12na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani mwako , kutoka kwa familia yako
-
9:12 - 9:19toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako
-
9:19 - 9:26Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa!
-
9:26 - 9:30Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu !
-
9:30 - 9:33wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu
-
9:33 - 9:38Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu.
-
9:38 - 9:43nakuamuru toka sasa!
-
10:14 - 10:24ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa.
-
10:24 - 10:30Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru.
-
10:30 - 10:35Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru.
-
10:35 - 10:40pokea uhuru, pokea uhuru leo!
-
11:04 - 11:10wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha,
-
11:10 - 11:15Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi.
-
11:15 - 11:20tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU
-
11:20 - 11:24unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi
-
11:24 - 11:31naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi,
-
11:31 - 11:38lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU.
-
11:38 - 11:47Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika !
-
12:20 - 12:25Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu,
-
12:25 - 12:30kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii
-
12:30 - 12:39Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU.
-
12:39 - 12:44Vunja hiyo tabia mbaya.
-
12:44 - 12:48ivunje !
-
13:07 - 13:13Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako
-
13:13 - 13:18Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU
-
13:18 - 13:22Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU
-
13:22 - 13:30Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako
-
13:30 - 13:38natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu
-
13:38 - 13:40toka!
-
13:40 - 13:45shafishwa inje !
-
13:45 - 13:54shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili
-
13:54 - 14:00Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza
-
14:00 - 14:02kutoka sasa hivi
-
14:42 - 14:46Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?.
-
14:46 - 14:50ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?..
-
14:50 - 14:53mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo.
-
14:53 - 14:56kama uko na picha ya mtu inua juu.
-
14:56 - 15:01Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO.
-
15:01 - 15:08Kuna nguvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBOYO INANGUVU SANA.
-
15:08 - 15:16kupita nguvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu.
-
15:16 - 15:23sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao-
-
15:23 - 15:30naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU
-
15:30 - 15:32Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako !
-
15:32 - 15:37hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni,
-
15:37 - 15:41hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni -
-
15:41 - 15:45mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako -
-
15:45 - 15:51pokea uponyaji !
-
16:21 - 16:25Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa.
-
16:25 - 16:29Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa
-
16:29 - 16:34Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso.
-
16:34 - 16:37kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu.
-
16:37 - 16:45Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako
-
16:45 - 16:51amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho.
-
16:51 - 16:55Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo
-
16:55 - 17:01Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa !
-
17:01 - 17:08Ghairiwa kwa JINA LA YESU!
-
17:47 - 17:59Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii
-
17:59 - 18:03Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi
-
18:03 - 18:06Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO)
-
18:06 - 18:11Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako .
-
18:11 - 18:16Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako.
-
18:16 - 18:22Vunjika sasa.
-
18:22 - 18:26Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa.
-
18:26 - 18:30Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi
-
18:30 - 18:36Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka.
-
18:36 - 18:41vunja sasa!
-
19:12 - 19:21Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji .
-
19:21 - 19:27sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza
-
19:27 - 19:32Pokea sasa kwa JINA LA YESU
-
19:53 - 20:04Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani
-
20:04 - 20:15Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato?
-
20:15 - 20:20Ni nini kinachozuia kazi yako ?.
-
20:20 - 20:26sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi
-
20:26 - 20:32kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO
-
20:32 - 20:36Ondolewa sasa.
-
20:36 - 20:41Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi -
-
20:41 - 20:48vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako
-
20:48 - 20:50Vunja kwa jina la YESU KRISTO.
-
21:30 - 21:37Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka
-
21:37 - 21:42ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu.
-
21:42 - 21:46sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako.
-
21:46 - 21:52Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje
-
21:52 - 21:56na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe.
-
21:56 - 22:00Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka -
-
22:00 - 22:06sawazishwa sasa hivi !
-
22:31 - 22:37Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa-
-
22:37 - 22:41leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO
-
22:41 - 22:44Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali .
-
22:44 - 22:48umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa
-
22:48 - 22:52Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU.
-
22:52 - 22:56Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha,
-
22:56 - 23:01Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya
-
23:01 - 23:06Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU.
-
23:06 - 23:13Pokea kIBALI !
-
23:45 - 23:49Mtoke sasa kwa Jina LA YESU
-
23:52 - 23:53Asante ROHO MTAKATIFU
-
23:55 - 24:01Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu!
-
24:01 - 24:09Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi-
-
24:09 - 24:13umejiunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu
-
24:13 - 24:22Moyo wako ukiwa umefunguka na ukipokea neno hili maisha yako hayatakua ya kawaida tena.
-
24:22 - 24:24Endelea kukaa kwa mkao wa maombi sasa.
-
24:24 - 24:31Kwa imani umetoka kwa kukataliwa kwenda kwa kibali , kutoka kukataliwa kwenda kukubaliwa.
-
24:31 - 24:35Salimisha biashara zako , na mawazo ya baadae ya biashara
-
24:35 - 24:39Kwa mikono ya Mungu , na uende kwa kufunguliwa.(Kuwekwa huru )(Kibali)
-
24:39 - 24:42Pokea kibali hicho . pokea kwa imani.
-
25:20 - 25:24Kwa jina KUU LA YESU KRISTO
-
25:30 - 25:33Asante ROHO MTAKATIFU , kwa mguso huu.
-
25:36 - 25:38Mtoke sasa kwa JINA LA YESU KRISTO
-
25:49 - 25:50Asante YESU
-
25:50 - 25:55Watu wa MUNGU , mnaweza kuona chenye ROHO MTAKATIFU ANATENDA.
-
25:55 - 25:58Mnaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini.
-
25:58 - 26:06Bado anagusa ,bado ana ponya , bado anakomboa, bado anahuisha, bado anafufua.
-
26:06 - 26:15Najua wengi wetu tuliojiunga hapa, tukiwa wakweli myoyoni mwetu maisha yetu ya rohoni yame kwama.
-
26:15 - 26:20Leo ,, natamka kufufuliwa , kwa maisha yako ya ROHONI.
-
26:20 - 26:28Fufuliwa !
-
26:59 - 27:06Je hamu yako ya kiroho imedhohofika ?.
-
27:06 - 27:11Leo , nasema fufuliwa kwa JINA LA YESU .
-
27:11 - 27:18Tamanio lako la neno la MUNGU , fufuliwa kwa JINA LA YESU.
-
27:18 - 27:27Kiu na njaa ya utakatafu fufuliwa !!
-
27:54 - 28:05sasa , watu wa MUNGU, nataka umwombe MUNGU awape ujasiri
-
28:05 - 28:17wa kuelekea mwito aliokuitia MUNGU
-
28:17 - 28:21Kuna wengi wetu , tunajua
-
28:21 - 28:26Sauti ya MUNGU imetushurutisha moyoni mwetu kuchukua hatua
-
28:26 - 28:30Lakini kwa sababu ya uwoga, sababu ya shaka, sababu ya kujidunisha
-
28:30 - 28:36Tunabakia tu kwa hali tuliyo izoea
-
28:36 - 28:41Sasa hivi , pokea huo ujasiri!
-
28:41 - 28:49Pokea huo ujasiri kutokea na kufwata mwelekeo ambo MUNGU aliweka moyoni mwako.
-
28:49 - 28:54Kutokea kwa mwelekeo wa MUNGU maishani mwako.
-
28:54 - 28:59Ukifwata mwelekeo wa mwito wa MUNGU utajishangaza mwenyewe.
-
28:59 - 29:03Utajishangaza mwenyewe, utafanya utofauti katika maishani mwako (dunia yako )
-
29:03 - 29:08Pokea huo ujasiri , pokea hiyo nguvu , pokea huo ujasiri.
-
29:49 - 29:53Asante YESU. Aante ROHO mtakatifu.
-
29:53 - 29:57Asante YESU. kwa kuachilia nguvu zako.
-
29:57 - 30:02Asante YESU , kwa kuachilia nguvu zako na kuhuwisha nguvu zetu.
-
30:02 - 30:04Mshukuru sasa hivi.
-
30:04 - 30:10Sema " Asante YESU KWA KUACHILIA NGUVU ZAKO NA KUHUWISHA NGUVU ZETU.
-
30:10 - 30:16Mpe shukrani sasa!
-
30:42 - 30:47Kwa jina kuu la YESU KRISTO tunaomba.
-
30:47 - 30:55Watu wa MUNGU , leo umesema kwa heri kwa aibu.
-
30:55 - 31:03Umesema kwa heri , kutokana na unyogovu, umesema kwa heri kwa hiyo tabia mbaya.
-
31:03 - 31:07Umesema kwa heri kwa mateso ,
-
31:07 - 31:12Umesema kwa heri kwa laana za kijamii (ukoo)
-
31:12 - 31:18umesema kwa heri kwa utumwa., umesema kwa heri kwa mtu wa zamani.
-
31:18 - 31:24Tazama , ya zamani yamepita na yote yamefanywa mapya.
-
31:24 - 31:31furahia sasa!
-
31:31 - 31:41Ndio , umesema kwa heri kwa uchungu , kuumizwa na ulipokosewa.
-
31:41 - 31:47Leo unatembelea mwangaza (Nuru)ya uhuru, sio giza la kifungu
-
31:47 - 31:51Unatembelea nuruni mwa ushuhuda wako.
-
31:51 - 31:54Sio giza la hali yako.
-
31:54 - 32:00Unatembelea nuruni mwa wokovu wako , sio giza la dhambi yako.
-
32:00 - 32:04Anza kutembea sasa katika mwangaza wa uhuru wako .
-
32:04 - 32:08Furahia , sherekea , mpe Mungu shukurani.
-
32:08 - 32:11Jiangalie , kama ulikua na maumivu ama shida yeyote mwilini.
-
32:11 - 32:15Roho wa MUNGU amekugusa leo . Furahia kwa uponyaji wako.
-
32:15 - 32:21Furahia kuwekwa huru ., furahia kuhuwishwa kwa maisha yako ya ROHONI.
-
32:21 - 32:28Wacha niwapatie neno la Mawaidha.
-
32:28 - 32:41kama mristo , hatutakiwi kutojua mbinu au vyombo ambavyo shetani hutumia .
-
32:41 - 32:50Sisemi haya iwe sababu ya kuwa mwoga.... hapana.
-
32:50 - 32:56Nawakumbusha haya iwe sababu ya kua tayari.
-
32:56 - 33:01hauitajiki kutaharuka, unahitaji kua na tahadhari.
-
33:01 - 33:09Sio sababu ya kua na uwoga ama kua na hofu bali ni sababu ya kua macho.
-
33:09 - 33:12Tazama na kuomba!
-
33:12 - 33:19Ulivyoo pokea baraka hizi za kiroho leo ...
-
33:19 - 33:26shetani atajaribu kwa njia zote kukukatisha tamaa , kukuvunja moyo.
-
33:26 - 33:32Kukutoa mtazamo wako kwa mambo ya MUNGU sababu hataki ufutahia
-
33:32 - 33:35Ulichopokea leo
-
33:35 - 33:46Lakini usiwe mwoga. usitaharuki kwa mbinu za shetani.
-
33:46 - 33:57Sababu kupitia neno la MUNGU , amekupa vifaa unavyohitajika kusimama.
-
33:57 - 34:06Chenya unahitajika kufanya , linda sana uhusiano wako na MUNGU.
-
34:06 - 34:12Huwezi shinda changamoto zilizoko mbele zako.
-
34:12 - 34:21Bila kua na wakati mwafaka na MUNGU.
-
34:21 - 34:27Naamini kujiunga kwako kwa ibada hii leo imekuletea kukutana na
-
34:27 - 34:33Na upako, - upako wa uponyaji, , upako wa kubariki, upako wa kukomboa.
-
34:33 - 34:38Usikue hapa tu kwa uponyaji, usijiunge tuu kwa kubarikiwa,
-
34:38 - 34:43Usijiunge tu ili ukombolewe- ona mbali kupita hayo.
-
34:43 - 34:51Uhusiano wako na MUNGU lazima ukuwe kipao mbele kwako.
-
34:51 - 35:00Utafute ufalme wa MUNGU na UTUKUFU WAKE.
-
35:00 - 35:10Yote mengine yatakuja kwa wakati WAKE, kwa njia YAKE , kwa utukufu WAKE
-
35:19 - 35:19
- Title:
- SEMA KWAHERI KWA KIFUNGO!!! OMBI LA KUVUNJA MINYORORO/ NDUGU CHRIS
- Description:
-
Kua moja wapo wa ombi hili la nguvu la kuvunja minyororo na useme kwa heri kw a kifungo, mateso na aibu maishani mwako- kwa jina kuu la YESU KRISTO.
Kupokea maombi bure kutoka kwa ndugu Chris kupitia mtandao wa zoom, tuma ombi lako hapa- https://www.godsheart.tv/zoom
➡️ Kupata ujumbe za kila siku za kutia moyo kupitia WhatsApp - https://godsheart.tv/whatsapp/
➡️ Kua mshirika wa GODS HEART TV- https://godsheart.tv/partnership
➡️ Maelezo kuhusu ibada ya maombi - https://godsheart.tv/interactive-prayer/
➡️ Kujitolea kama mkalimani GODS HEART TV - https://godsheart.tv/translate/
➡️ Kutuma shuhuda - https://godsheart.tv/testimony
➡️Kujiunga na maombi ya moja kwa moja kila jumamosi ya kwanza ya mwezi - https://www.youtube.com/godshearttv/live - Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 35:40
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris | |
![]() |
Solomon Mwakwasha mwasi edited Swahili subtitles for SAY GOODBYE to BONDAGE!!! | Chain-Breaking Prayer | Brother Chris |