< Return to Video

POKEA SALA HII YA 2024

  • 0:00 - 0:08
    Bwana yesu kristo, hatujui cha kufanya
  • 0:08 - 0:12
    macho yetu yapo kwako (mambo ya nyakati ya 2 mlango wa 20:12)
  • 0:12 - 0:16
    wacha mtazamo wako uwe kwa kristo pekee
  • 0:16 - 0:23
    wacha roho wako ukatengwe kwa kristo pekee
  • 0:23 - 0:28
    katika jina la yesu kristo
  • 0:28 - 0:37
    Bwana yesu, utupe neema ya kuishi maisha yenye msimamo
  • 0:37 - 0:40
    hiyo yatukuza jina lako
  • 0:40 - 0:44
    kwa neno, kwa mawazo na kwa matendo
  • 0:44 - 0:49
    mwaka wa 2024 na zaidi
  • 0:49 - 0:54
    katika jina la yesu kristo
  • 0:54 - 0:58
    katika jina la yesu tunaomba, Amen
Title:
POKEA SALA HII YA 2024
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:58

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions