< Return to Video

POKEA SALA HII YA 2024

  • 0:00 - 0:08
    Bwana Yesu Kristo, hatujui cha kufanya
  • 0:08 - 0:12
    bali macho yetu yapo kwako (mambo ya nyakati ya 2 mlango wa 20:12)
  • 0:12 - 0:16
    Acha mtazamo wako uwe kwa kristo pekee
  • 0:16 - 0:23
    Acha roho yako ukatengwe kwa kristo pekee
  • 0:23 - 0:28
    katika jina la Yesu Kristo
  • 0:28 - 0:37
    Bwana Yesu, tupatie neema ya kuishi maisha manyoofu
  • 0:37 - 0:40
    yanayotukuza Jina Lako
  • 0:40 - 0:44
    kwa maneno, kwa mawazo na kwa matendo
  • 0:44 - 0:49
    mwaka wa 2024 na zaidi
  • 0:49 - 0:54
    katika jina la Yesu Kristo
  • 0:54 - 0:58
    katika jina la Yesu tunaomba, Amen
Title:
POKEA SALA HII YA 2024
Description:

“Bwana Yesu Kristo, hatujui la kufanya lakini macho yetu yako kwako (2 Mambo ya Nyakati 20:12). Acha macho yako yawe kwa Kristo peke yake. Hebu moyo wako utengwe kwa ajili ya Kristo pekee. Katika jina kuu la Yesu Kristo. Bwana Yesu, tupe neema hiyo ya kuishi maisha ya unyofu yanayolitukuza jina lako - kwa maneno, kwa mawazo na kwa vitendo - katika mwaka wa 2024 na zaidi, katika jina kuu la Yesu Kristo! Amina!” - Ndugu Chris

Unaweza kutazama ujumbe kamili wa 2024 hapa - https://www.youtube.com/watch?v=E3j0KtrwGOk

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:58

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions