Yaache NYUMA yaliyo NYUMA Yako
-
0:00 - 0:09Maumivu ya jana hayana uwezo wa kuzuia fungu la leo.
-
0:09 - 0:19Maumivu ya jana hayawezi kushikilia msaada wa leo.
-
0:19 - 0:22Ninamaanisha nini, wana wa Mungu?
-
0:22 - 0:27Huu ni moja ya uongo uliopangwa na shetani -
-
0:27 - 0:36uongo huu kwamba maisha yako ya nyuma yanaweza kukuzuia usishiriki ahadi za Mungu.
-
0:36 - 0:45'Oh dhambi yangu ni mbaya sana!' 'Maumivu yangu ni makubwa mno!'
-
0:45 - 0:48Huu ni uwongo kutoka kwenye shimo la kuzimu.
-
0:48 - 0:55Usiruhusu uwongo ukunyime nuru.
-
0:55 - 1:02Huko unakotoka hakuna uwezo wa
-
1:02 - 1:11kukuzuia usipate kile ambacho Mungu amekusudia kukupatia.
-
1:11 - 1:22Ninakusihi leo. Ninakuita kwa imani kuacha yaliyo nyuma yako
-
1:22 - 1:25na kutoka katika giza la aibu!
-
1:25 - 1:29Toka katika giza la hatia!
-
1:29 - 1:35Toka katika giza la mashaka - ya kutilia shaka na kushuku!
-
1:35 - 1:39Toka katika giza la hofu leo!
- Title:
- Yaache NYUMA yaliyo NYUMA Yako
- Description:
-
"Maumivu ya jana hayana uwezo wa kuzuia fungu la leo. Maumivu ya jana hayawezi kushikilia msaada wa leo. Ninamaanisha nini, wana wa Mungu? Huu ni moja ya uongo uliopangwa na shetani - uongo huu kwamba maisha yako ya nyuma yanaweza kukuzuia usishiriki ahadi za Mungu. 'Oh dhambi yangu ni mbaya sana!' 'Maumivu yangu ni makubwa mno!' Huu ni uwongo kutoka kwenye shimo la kuzimu. Usiruhusu uwongo ukunyime nuru. Huko unakotoka hakuna uwezo wa kukuzuia usipate kile ambacho Mungu amekusudia kukupatia. Ninakusihi leo. Ninakuita kwa imani kuacha yaliyo nyuma yako na kutoka katika giza la aibu! Toka katika giza la hatia! Toka katika giza la mashaka - ya kutilia shaka na kushuku! Toka katika giza la hofu leo!"
Unaweza kutazama muda wote wa maombi na Ndugu Chris hapa -
https://www.youtube.com/watch?v=3npbdLrBvrY - Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:39
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Leave BEHIND what is BEHIND you! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Leave BEHIND what is BEHIND you! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Leave BEHIND what is BEHIND you! |