< Return to Video

Yaache NYUMA yaliyo NYUMA Yako

  • 0:00 - 0:09
    Maumivu ya jana hayana uwezo wa kuzuia fungu la leo.
  • 0:09 - 0:19
    Maumivu ya jana hayawezi kushikilia msaada wa leo.
  • 0:19 - 0:22
    Ninamaanisha nini, wana wa Mungu?
  • 0:22 - 0:27
    Huu ni moja ya uongo uliopangwa na shetani -
  • 0:27 - 0:36
    uongo huu kwamba maisha yako ya nyuma yanaweza kukuzuia usishiriki ahadi za Mungu.
  • 0:36 - 0:45
    'Oh dhambi yangu ni mbaya sana!' 'Maumivu yangu ni makubwa mno!'
  • 0:45 - 0:48
    Huu ni uwongo kutoka kwenye shimo la kuzimu.
  • 0:48 - 0:55
    Usiruhusu uwongo ukunyime nuru.
  • 0:55 - 1:02
    Huko unakotoka hakuna uwezo wa
  • 1:02 - 1:11
    kukuzuia usipate kile ambacho Mungu amekusudia kukupatia.
  • 1:11 - 1:22
    Ninakusihi leo. Ninakuita kwa imani kuacha yaliyo nyuma yako
  • 1:22 - 1:25
    na kutoka katika giza la aibu!
  • 1:25 - 1:29
    Toka katika giza la hatia!
  • 1:29 - 1:35
    Toka katika giza la mashaka - ya kutilia shaka na kushuku!
  • 1:35 - 1:39
    Toka katika giza la hofu leo!
Title:
Yaache NYUMA yaliyo NYUMA Yako
Description:

"Maumivu ya jana hayana uwezo wa kuzuia fungu la leo. Maumivu ya jana hayawezi kushikilia msaada wa leo. Ninamaanisha nini, wana wa Mungu? Huu ni moja ya uongo uliopangwa na shetani - uongo huu kwamba maisha yako ya nyuma yanaweza kukuzuia usishiriki ahadi za Mungu. 'Oh dhambi yangu ni mbaya sana!' 'Maumivu yangu ni makubwa mno!' Huu ni uwongo kutoka kwenye shimo la kuzimu. Usiruhusu uwongo ukunyime nuru. Huko unakotoka hakuna uwezo wa kukuzuia usipate kile ambacho Mungu amekusudia kukupatia. Ninakusihi leo. Ninakuita kwa imani kuacha yaliyo nyuma yako na kutoka katika giza la aibu! Toka katika giza la hatia! Toka katika giza la mashaka - ya kutilia shaka na kushuku! Toka katika giza la hofu leo!"

Unaweza kutazama muda wote wa maombi na Ndugu Chris hapa -
https://www.youtube.com/watch?v=3npbdLrBvrY

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:39

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions