Mungu alininenea Kwa chumba cha jela
-
0:00 - 0:04Nilikuwa nimechoka na kufanya uhalifu; Nilikuwa nimechoka na kutumia dawa za kulevya;
-
0:04 - 0:08Nilikuwa nimechoka na kuumiza watu.
-
0:08 - 0:11Hakuna mtu aliweza kunionyesha njia ya kubadilika.
-
0:11 - 0:13Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
-
0:13 - 0:19Mumiani hutaka damu pekee; hataki kitu kingine.
-
0:19 - 0:25Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine katika maisha yangu,
-
0:28 - 0:33Nilijua bila shaka yoyote kwamba ni Mungu anazungumza nami -
-
0:33 - 0:36kutoka katika ulimwengu ambapo Mungu hakuwepo.
-
0:36 - 0:43HEART TALK
GOD’S HEART TV -
0:43 - 0:50Habari kila mtu. Jina langu ni Alan Andrews. Natoka katika mji mdogo huko Kusini mwa Wales.
-
0:50 - 0:56Ninaendesha Kituo kinachoitwa 'Chooselife', ambacho ni huduma ya kusaidia wanaotumia dawa za kulevya na pombe.
-
0:56 - 0:59Mwenye ninatoka katika mazingira ya dawa za kulevya.
-
0:59 - 1:03Ninatambua kwa nini nilijipata ninatumia madawa ya kulevya.
-
1:03 - 1:07Nilikuwa na mambo ambayo yalikuwa yanaendelea katika utotoni mwangu ambayo hayakupaswa kutokea -
-
1:07 - 1:10Kudhulumiwa kimwili, kimaneno na kingono.
-
1:10 - 1:16Ilinifanya nihisi tofauti na kila mtu mwingine. Ilifanya nihisi aibu, na kujawa na kukataliwa.
-
1:16 - 1:21Naweza kukumbuka kipindi katika maisha yangu ambapo nilisema, 'Sitaendelea kuhisi kutengwa.'
-
1:21 - 1:24Hivyo nilianza kuishi maisha ya uasi.
-
1:24 - 1:27Nilianza wizi wa madukani nilipokuwa na umri wa miaka kumi.
-
1:27 - 1:30Nilipelekwa nyumbani katika gari la polisi, kwa mshangao wa mama na baba yangu.
-
1:30 - 1:33Niko ndani ya gari la polisi - mtoto wao mdogo wa miaka kumi.
-
1:33 - 1:36Nikaendelea kufanya uhalifu.
-
1:36 - 1:39Nikiwa na umri wa miaka 13, nilikuwa sipo chini ya udhibiti kabisa.
-
1:39 - 1:46Nilipelekwa katika shule iliyoidhinishwa, kutumwa mbali, ambayo iliziongeza tu hisia za kutengwa ndani yangu.
-
1:46 - 1:52Kwa kila mtu mwingine, nilikuwa mtu wa ajabu ambaye hakuwa na wasi wasi.
-
1:52 - 1:55Lakini ndani nilikuwa bado naumia.
-
1:55 - 2:00Kufungwa akiwa na umri wa miaka 13, mbali na mama na baba yangu, ilikuwa vigumu sana.
-
2:00 - 2:04Lakini sikuweza kuonyesha mtu yeyote, hivyo nilijifunza kutoonyesha hisia.
-
2:04 - 2:06Na nilijenga maisha yangu kwa hayo.
-
2:06 - 2:13Mwaka wa 14, nilitumwa katika kituo cha kuzuiliwa, ambacho kilikuwa 'mshtuko mfupi, wa haraka'.
-
2:13 - 2:17Kutoka wakati unapoingia humo, maafisa watakupigia kelele.
-
2:17 - 2:22Naweza kukumbuka kusimama uchi kwenye mstari mweupe kwa takriban masaa mawili,
-
2:22 - 2:29maafisa wakikutukana, wakikupigia kelele, wakikukutisha.
-
2:29 - 2:36Na hiyo imebaki na mimi hadi leo - kumbukumbu yake.
-
2:36 - 2:42Nilikuwa hapo kwa wiki sita na siku nne. Naweza kukumbuka nilipotoka hapo -
-
2:42 - 2:47kama ningetaka kusitisha kuingia katika matatizo, ingekuwa wakati huo.
-
2:47 - 2:50Lakini sikuweza kusimamisha kwa sababu sikuwa na mtu yeyote karibu yangu kunisaidia.
-
2:50 - 2:54kukabiliana na hisia nilizokuwa nazo ndani, ambazo nilikuwa nazijificha.
-
2:54 - 2:59Kwa hivyo nikaendelea kufanya uhalifu. Nilirudishwa kwa shule iliyoidhinishwa nikiwa na umri wa miaka 15.
-
2:59 - 3:02Nikakaa huko hadi nikafika miaka 16
-
3:02 - 3:06na kisha nilipofikia umri wa miaka 17, nilitumwa katika kitengo cha wahalifu vijana.
-
3:06 - 3:12Mwaka wa 18 nilitumwa Borstal, ambayo siku hizo ilikuwa mahali ambapo kwa kweli hungetaka kuenda.
-
3:12 - 3:20Na nikawa mvulana wa borstal - nilifanya vizuri. Ningeweza kufanya vizuri popote nilipokuwa, ili tu niweze kuishi.
-
3:20 - 3:25Mara nyingine tena, nataka kusisitiza kwamba nilikuwa na hisia hizi kali ndani yangu
-
3:25 - 3:30lakini kwa nje, ilibidi niwe mtu huyu ambaye hakujali kabisa.
-
3:30 - 3:34Hivyo kila mtu aliyeniona alifikiria, 'Jamaa huyu hakika hajali.'
-
3:34 - 3:39Lakini ndani nilikuwa tu nimevunjika, kabisa nimevunjika.
-
3:39 - 3:43Nilisherehekea siku yangu ya kuzaliwa ya miaka 18 kule Borstal.
-
3:43 - 3:48Nilitoka hapo, nikajaribu kweli kutoingia matatani lakini singeweza kuacha.
-
3:48 - 3:55Kwa sababu kwa hisia, ni ‘nishati katika mwendo’ - inapaswa kila wakati kuwa inasonga.
-
3:55 - 4:01Lakini nililazimika kuweka vitu ndani yake ambavyo vingeisitisha kwa sababu sikutaka kuvihisi.
-
4:01 - 4:04Wakati huu, kulikuwa hakuna madawa yoyote ya kulevya katika mji wangu wa nyumbani.
-
4:04 - 4:08Kama kungekuwa na dawa za kulevya wakati nilikuwa na umri wa miaka 13, ningekuwa mtoto wa miaka 13
-
4:08 - 4:12mvutaji wa heroini - na pengine ningekuwa nimekufa kwa sasa - lakini hakukuwa na dawa za kulevya.
-
4:12 - 4:17Dawa za kulevya zilianza tu nilipokuwa na umri wa miaka 20, ambayo ni kuchelewa sana siku hizi.
-
4:17 - 4:22kwa sababu naona vijana sasa wenye umri wa miaka 10, 11 au 12 wakitumia dawa, wakivuta bangi,
-
4:22 - 4:28kutumia kokain - ufa ni jambo kubwa - lakini hawakuwa karibu.
-
4:28 - 4:33Nilipoanza - naweza kukumbuka nilikuwa katika gereza la Shepton Mallet
-
4:33 - 4:37nilipoanzishwa kuvuta bangi, ndani ya miezi miwili,
-
4:37 - 4:44Nilikuwa nikijidunga dawa za kulevya, kwa sababu dawa hizi ziliweza kunisaidia kutohisi.
-
4:44 - 4:46Lakini ilikuwa tu ya muda kwa sababu ulihitaji kuweka zaidi
-
4:46 - 4:51na zaidi dawa za kulevya ili kusitisha hisia - kwa sababu nishati hii ilikuwa daima katika mwendo,
-
4:51 - 4:56hisia zilikuwa zikijaribu kila wakati kupigana kutoka ndani na kuja nje usoni.
-
4:56 - 5:06Nilichanganyikiwa. Nilikuwa wazimu kabla ya madawa ya kulevya lakini baada ya madawa, nilipoteza kabisa akili.
-
5:06 - 5:09Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
-
5:09 - 5:14Mumiani hutaka damu pekee. Hataki kitu kingine.
-
5:14 - 5:20Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine kwa maisha yangu,
-
5:20 - 5:25ila tu kupata dawa za kufuta kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika maisha yangu.
-
5:25 - 5:30Kwa kweli nilifanya wizi wa mabavu katika eneo nililokuwa naishi.
-
5:30 - 5:34Mtu yeyote mwenye busara angepanga wizi wa mabavu.
-
5:34 - 5:39Haikuwa na bunduki, ilikuwa na bakora, nikikimbilia duka nikitaka pesa.
-
5:39 - 5:43Mtu yeyote mwenye akili angeenda kufanya hivyo mahali pengine na kupanga.
-
5:43 - 5:45Nilitaka tu kupata zingine dawa za kulevya.
-
5:45 - 5:49Sikufikiria dawa za kulevya huko mbele, nilikuwa natafuta ya sasa.
-
5:49 - 5:55Nikafanya hio wizi wa mabavu, sikushikwa, lakini nikarudi gerezani kwa makosa mengine.
-
5:55 - 5:59Lakini wakati huu, gereza ikawa nyumbani.
-
5:59 - 6:05Shida ya gereza ni kwamba linafanya uanze kuishi kwa njia ya taasisi.
-
6:05 - 6:11Ilikuwa nyumbani kwangu. Haikuwa na hofu tena. Ilikuwa mahali salama kwangu.
-
6:11 - 6:18Lakini hata hivyo, kwa sababu nilikuwa na mambo haya yanayoendelea ndani yangu, nilifanya mambo gerezani.
-
6:18 - 6:20Moja ya wafanyakazi hapa ananikumbuka -
-
6:20 - 6:24Nilienda kwa daktari kwa sababu nilitaka dawa zaidi kutoka kwake.
-
6:24 - 6:30na maafisa wanne (maafisa wa gereza) wakanishusha ndani ya seli ya kuvuliwa nguo.
-
6:30 - 6:33Ningewatishia madaktari; Ningewaibia.
-
6:33 - 6:37Nakumbuka hospitalini, nilijua mahali ambapo dawa zinawekwa.
-
6:37 - 6:39Nikaiba huko.
-
6:39 - 6:40Nilikuwa nimepoteza udhibiti kabisa.
-
6:40 - 6:46Ningekuwa nikiwekwa kwenye chumba maalum mara kwa mara kwa sababu sikuweza kupatana na watu wengine.
-
6:46 - 6:51Nilikuwa katika hatua ya maisha yangu ambapo sikuwa na hamu ya kuwa karibu na watu,
-
6:51 - 6:56kwa sababu sikuwa na thamani kibinafsi.
-
6:56 - 6:59Nilijichukia. Nilichukia maisha yangu.
-
6:59 - 7:05Nilijichukia na sikuwa na ujasiri wowote.
-
7:05 - 7:10Nakumbuka nikitumwa kwa gereza liitwalo Erlestoke Prison.
-
7:10 - 7:13Na nilipokuwa huko, na pengine utacheka hii -
-
7:13 - 7:17Nilikuwa nimebaki na wiki siti kwa kifungo changu
-
7:17 - 7:23lakini nilihitaji tu dawa zaidi za kulevya na nikatoroka jela nikiwa nimebakisha wiki sita.
-
7:23 - 7:28Sikuwa na fikira ya kwamba, 'Nikitoroka, mbona nikae tena miezi zingine 6 hadi 12?'
-
7:28 - 7:33Nilikuwa na taka dawa za kulevya. Nilihitaji tu kutoroka gerezani.
-
7:33 - 7:37Nikatoroka gerezani, nikakwea ukuta futi 20,
-
7:37 - 7:40na naweza kukumbuka hisia nilipokua juu ya ukuta huo.
-
7:40 - 7:45Unapotazama ukuta huo, hauonekani kuwa mrefu kama unavyotazama chini.
-
7:45 - 7:49Nilipokuwa ninaangalia chini, nakumbuka nikifikira, 'Nikiruka kutoka hapa,
-
7:49 - 7:53na nianguke nivunje mguu wangu, nitakaa kama mjinga sana.'
-
7:53 - 7:56Lakini nikaweza kutoroka na kurudi maeneo yangui ya nyumbani.
-
7:56 - 8:00Nilikuwa nje siku kumi pekee, lakini kwa hio muda nilitumia madawa mengi ya kulevya
-
8:00 - 8:04na kwa kweli niliingiza nyingi gerezani, ambayo ilikuwa nia yangu.
-
8:04 - 8:09Haikunisumbua ya kwamba itabidi nikae miezi zingine sita.
-
8:09 - 8:13Bila shaka, lazima wakuadhibu na nikatumwa Dartmoor Prison.
-
8:13 - 8:19Hio wakati, gereza ilikuwa mahali watu ambao wamevunja sheria wanatumwa.
-
8:19 - 8:23Dartmoor ilikuwa mahali ambapo magereza hutuma mahabusu ambao wamevunja sheria.
-
8:23 - 8:29Nilikuwa chini sana, katikati ya ukiwa, eneo la Dartmoor,
-
8:29 - 8:31eneo linaloitwa Princetown.
-
8:31 - 8:34Na, kumbe kuna alama iliyochongwa kwenye jiwe -
-
8:34 - 8:37ilijengwa kwa ajili ya wafungwa wa vita wa Kifaransa -
-
8:37 - 8:43na inasema kwa Kilatini, ‘Acha tumaini, nyote mnaoingia.’
-
8:43 - 8:47Na ilikuwa kana kwamba nilifika mahali ambapo kulikuwa na makubaliano na jinsi nilivyohisi.
-
8:47 - 8:50Nilikuwa nimetupa tumaini ya kubadilika kamwe,
-
8:50 - 8:55tumaini la kupata msichana wa kupenda, mke, kuwa na watoto.
-
8:55 - 8:57Sikuwai fikiria hizo vitu.
-
8:57 - 9:02Yalikuwa mbali na mahali ambapo nilikuwa kwa maisha.
-
9:02 - 9:05Nilifikiria tu ya kwamba nitaishi maisha yangu iliyosalia gerezani.
-
9:05 - 9:09Na nakumbuka nikiwa Dartmoorn -
-
9:09 - 9:11kulikuwa na mahabusu wa kushtua mle.
-
9:11 - 9:17Watu wangekudunga kisu tu ama kukupiga bila kosa lolote.
-
9:17 - 9:21Ninaweza kukumbuka nikifikiri, 'Angalia jinsi nilivyofika mbali maishani'
-
9:21 - 9:24kwa sababu nilikuwa bado mvulana huyu mdogo aliyekataliwa ndani.
-
9:24 - 9:28Lakini kwa nje, nilidhani ningeweza kuwa kama hawa -
-
9:28 - 9:31Ningekuwa kama hawa watu wazimu hapa chini.
-
9:31 - 9:34Na hio ikanifungua macho kwa kweli.
-
9:34 - 9:40Na mara ya kwanza niliposikia mtu akimtaja Mungu, rafiki yangu 'Artie' -
-
9:40 - 9:44Nilikuwa nimepata barua kutoka kwa rafiki mwingine ikisema, 'Artie anampenda Mungu'.
-
9:44 - 9:48Na sikufikiria, 'Mungu? Anafanya nini? Je, yuko sawa?'
-
9:48 - 9:49Nilidhani 'Vyema kwake.'
-
9:49 - 9:54Na nikaanza kuomba - na haikuwa maombi ya mzaha, lakini sikuwa nimewahi kuomba.
-
9:54 - 9:58Sikuwa na maarifa ya chochote kilichokuwa nje ya maisha niliyokuwa nayo.
-
9:58 - 10:00Na nilianza kusema ombi hili,
-
10:00 - 10:06“Nitakapolala, naomba Bwana anihifadhi roho yangu...”
-
10:06 - 10:09Bila shaka, Mungu alikuwa anaanzisha kitu ndani yangu.
-
10:09 - 10:11Usiku wa mwisho katika gereza la Dartmoor
-
10:11 - 10:15ingawa nilichukia, nilikuwa naogopa kuachiliwa
-
10:15 - 10:19kwa sababu nilijua nilikuwa nimechoka kufanya uhalifu.
-
10:19 - 10:24Nilikuwa nimechoka kutumia dawa za kulevya, na nilikuwa nimechoka kuumiza watu.
-
10:24 - 10:27Lakini hakuna mtu angeweza kunionyesha njia ya kubadilika.
-
10:27 - 10:29Daima nilitaka kubadilika.
-
10:29 - 10:32Na sijawahi kukutana na mtumiaji wa dawa za kulevya ambaye hataki kubadilika.
-
10:32 - 10:39Sijawai kabisa kutana naye.
-
10:39 - 10:43Ilibidi nimeachiliwa lakini sikutaka kwa sababu nilikuwa salama ndani.
-
10:43 - 10:46Hata kama kulikuwa kwa kustaajabisha, kama bustani ya wanyama pori.
-
10:46 - 10:50Hata kama kulikuwa kwa kustaajabisha, nilikuwa salama huko.
-
10:50 - 10:53Hata hivyo, nilitoka huko, nikachafuka kabisa kwa dawa za kulevya.
-
10:53 - 10:54Nilikuwa najidunga dawa za kulevya.
-
10:54 - 11:01Nilikua nikiingia kwenye maduka ya dawa, nikifanya mambo mengi na
-
11:01 - 11:05nikajipata kwa hii nyumba na wakaanza kuniambia kuhusu Yesu.
-
11:05 - 11:09Na nikwakasirikia. Nikawatukana nikisema,
-
11:09 - 11:11"Alikuwa wapi hii ikifanyika?
-
11:11 - 11:14Wakati huu unyanyasaji ukiendelea, alikuwa wapi?"
-
11:14 - 11:18Sikutumia hayo maneno mazuri, lakini lugha chafu zaidi.
-
11:18 - 11:20Na wakasema, "Unafaa umkaribishe Yesu ndani ya maisha yako."
-
11:20 - 11:24Na hapo, nilisali ombi la wenye dhambi.
-
11:24 - 11:29Sikumbuki, ambayo ni ajabu, watu wengi hukumbuka
-
11:29 - 11:36wakiomba ombi la wenye dhambi; siwezi kumbuka lakini, ni dhahiri, niliiomba
-
11:36 - 11:39Kuanzia hapo, vitu zikaanza kubadilika.
-
11:39 - 11:45Nakumbuka nikifanya uhalifu flani, na nilikuwa nakata nyaya za simu
-
11:45 - 11:46Na wazo hili likanijia.
-
11:46 - 11:51Nimekuwa na msisimuko kutoka kwa dawa za kulevya za ajabu na msisimuko ambapo nywele zangu zimesimama
-
11:51 - 11:56kwa mikono na nahisi msisimuko ndani.
-
11:56 - 11:58Nimekuwa na msisimuko wa hali ya juu.
-
11:58 - 12:02Wazo hili lilinijia na wazo lilikuwa hili, "Ninakutazama".
-
12:02 - 12:05Na msisimuko flani ukapita kwa mwili wangu na nikajua
-
12:05 - 12:10bila shaka ya kwamba ni Mungu anazungumza nami.
-
12:10 - 12:13Nilitoka kwa ulimwengu ambao Mungu hayuko.
-
12:13 - 12:18Niliendelea kufanya uhalifu lakini jambo hili lilikwamba kichwani mwangu - kilichofanyika.
-
12:18 - 12:21Kwa hivyo nikaendelea kufanya uhalifu, na hapa na pale,
-
12:21 - 12:24mtu angesema kitu kuhusu Mungu.
-
12:24 - 12:29Na Artie, rafiki yangu, akaja kuniona na msichana ambaye nilikuwa naye wakati huo.
-
12:29 - 12:34Na tukaenda kanisani, na siwezi sema kuna kitu flani ilifanyika, lakini kwa wakati huo
-
12:34 - 12:39nilikuwa na mawazo ya ajabu pia - mawazo ya kushtua.
-
12:39 - 12:44Na nilikuwa naogopa kuyafuatilia - vurugu na mambo mengine.
-
12:44 - 12:48Na rafiki yangu akaniambia, "Bibilia inasema tukiteka
-
12:48 - 12:50nyara kila fikira ipate kumtii Kristo." Nikasema, "Unamaanisha nini?"
-
12:50 - 12:54"Yaani, ambia mawazo yako yakome katika jina la Yesu."
-
12:54 - 12:58Kwa hivyo, ndio huyo mimi kwa nyumba yangu, mimi si Mkristo,
-
12:58 - 13:04nikisema ndani ya mawazo yangu, "Katiak jina la Yesu, koma!"
-
13:04 - 13:07Nilipomuona, nikasema, "Inafanya kazi, inafanya kazi!"
-
13:07 - 13:09Hayo mawazo yakakoma.
-
13:09 - 13:14Na, dhahiri, Mungu alikuwa kazini.
-
13:14 - 13:18Nikajipata gerezani tena.
-
13:18 - 13:23Wakati huu, Alikuwa ananitawala. "Msako" ukawa uko.
-
13:23 - 13:27Nakumbuka, nilivyosema, nilikuwa naiba kutoka kwa hosipitali huko
-
13:27 - 13:30na nikaweza kupata mkobo uliojaa dawa za kulevya.
-
13:30 - 13:32Maafisa wakaja kwa seli yangu.
-
13:32 - 13:37Hawakuweza kupata hizo dawa za kulevya; tulikuwa tumezitumia nyingi.
-
13:37 - 13:39Nikabebwa hadi kwa seli ya kuvuliwa nguo.
-
13:39 - 13:44Nimekaa katika seli ya kuvuliwa nguo nikiwa na kaptura ya mpira
-
13:44 - 13:46ili usiweze kukata nguo na kujinyonga,
-
13:46 - 13:49ingawa hakukuwa na dirisha kwa hivyo hungeweza kujinyonga hata hivyo.
-
13:49 - 13:54Nakumbuka nikikaa hapo nikifikiria, "Nimetoka umbali upi?
-
13:54 - 13:58Na naenda wapi zaidi kwa hii maisha?"
-
13:58 - 14:00Unakubaliwa kukaa hapo masaa sita pekee yake.
-
14:00 - 14:04Kwa hivyo wakaja wakanichukua wakaniweka kwa enea la kuadhibiwa.
-
14:04 - 14:08Seli ya kuvuliwa nguo iko ndani ya eneo hilo lakini eneo lenyewe ni seli tu.
-
14:08 - 14:12Bado ni seli ya kuadhibiwa, lakini si kama seli ya kuvuliwa nguo.
-
14:12 - 14:14Kawaida, wanaondoa vitu.
-
14:14 - 14:18Mfungwa akitoka katika eneo hilo, wanaondoa kila kitu kwenye seli.
-
14:18 - 14:22Naam, nilipoenda kwenye seli, kulikuwa na vitabu vingi - vitabu ya kiKristo.
-
14:22 - 14:27Na kulikuwa na moja ya Frank Constantino, malifu kutoka Amerika.
-
14:27 - 14:33Kwa hivyo nikaanza kusoma hiki kitabu, vile alivyokutana na Mungu na Yesu, na nikaanza kulia.
-
14:33 - 14:38Elewa, sikuwai lia kwa sababu nilijikaza sana kwa maisha kujificha kutoka kwa hisia zangu.
-
14:38 - 14:42Na nilipoanza kulia, nikaanza kugonga mlango wa seli.
-
14:42 - 14:45Na aafisa mmoja akaja, Barry.
-
14:45 - 14:48Nikasema, "Nirudishe kwa seli ya kuvuliwa nguo!"
-
14:48 - 14:50kwa sababu sikuweza kudhibiti hisia.
-
14:50 - 14:52Na akasema, "Ndio Andy, shika sigara"
-
14:52 - 14:54na akanipa sigara nivute na initulize.
-
14:54 - 14:58Na nikarudi kwa seli na nikaendelea kusoma hicho kitabu,
-
14:58 - 15:02nilirudi kwenye eneo la kutulia, lakini bado nikaendelea kuwa na wazimu.
-
15:02 - 15:06Lakini kadri ya wiki zilivyopita, nilipata hili wazo, na wazo lilikuwa,
-
15:06 - 15:09"Huondoki huku hadi unikujie."
-
15:09 - 15:12Na ningesema, "Sawa, naja."
-
15:12 - 15:13Na ningeendelea kutumia dawa za kulevya.
-
15:13 - 15:19Na wiki mbili ilipopita, "Hutoki huku hadi unikujie."
-
15:19 - 15:24Nilikuwa na ongea na Mungu mwenye sikumjua wala sikumuamini.
-
15:24 - 15:27Kwa hivyo, siku moja, nikawa na hili wazo,
-
15:27 - 15:29"Nataka nitolewe huku", hio ni kumaanisha kupelekwa gereza nyingine.
-
15:29 - 15:32Sasa, wakati huo, kulikuwa na orodha ya kusubiri ya miezi mitatu.
-
15:32 - 15:35Nilipelekwa hadi kile kinachoitwa ugawaji.
-
15:35 - 15:39Na Barry, huyo afisa, alikuwapo na nikasema "Barry, nahitaji kutoka huku.'
-
15:39 - 15:42Akasema, 'Unaondoka Jumanne.'
-
15:42 - 15:46Hivyo nikaenda katika gereza hili liitwalo Channings Wood, ambalo lilikuwa wazi nusu,
-
15:46 - 15:48ambapo ungeweza kutembea nje.
-
15:48 - 15:54Na moja ya jengo kuu huko lilikuwa ni kanisa.
-
15:54 - 16:00Kwa hivyo nikaanza kuenda huko na nikaanza kusikia kuhusu Wakristo waliokoka.
-
16:00 - 16:05Ningesoma Biblia yangu na ningeisoma kwa siku tatu.
-
16:05 - 16:09Bado nilikuwa navuta na kutumia dawa nyingine za kulevya, lakini ningesoma Biblia yangu.
-
16:09 - 16:12Na ningeirusha nikifiria ya kwamba ni upuzi mwingi huu.
-
16:12 - 16:17Halafu ningerudi kanisani, nigechukua Biblia tena na kuisoma.
-
16:17 - 16:19Tena ningeirusha nikisema ya kwamba ni upuzi mwingi.
-
16:19 - 16:25Na, siku moja nilikuwa nasoma Biblia na ikasema, "Kama mwanadamu hawezi
-
16:25 - 16:29kujifanyia mguu, mbona ajishulishe na madogo ya vitu"
-
16:29 - 16:33Na wakati huo nilikuwa na Valium niliyotoa kwa daktari.
-
16:33 - 16:37Nilikuwa mbaya kwa huyo daktari. Ningemtishia, 'Nata dawa zingine!'
-
16:37 - 16:43Kwa hivyo nikasema, "Sawa, kama hio ni ukweli - mbona nishughulishe na madogo ya vitu - ondoa hii Valium kutoka kwangu.'
-
16:43 - 16:47Na hapo hapo, hamu yangu ya Valium ukapotea.
-
16:47 - 16:50Nikaacha kuenda mara tatu kwa siku kuchukua Valium yangu.
-
16:50 - 16:55Daktari pengine alifikiria "Nimepotea" ama kitu kama hio.
-
16:55 - 16:57Hio ilikuwa tu mwanzo.
-
16:57 - 17:03Siku moja, nikaruka kutoka kitandani na nikasema, 'Sitasimama hadi Nikupate.'
-
17:03 - 17:07Na naliposema hivyo...sikujua chochote kuhusu Roho Mtakatifu.
-
17:07 - 17:10Sikujua chochote kuhusu kubatizwa kwa Roho Mtakatifu.
-
17:10 - 17:13Sikujua chochite kuhusu Ukristo.
-
17:13 - 17:20Lakini kwa wakati huo, najua Roho Mtakatifu alifika na kunijaza pomoni.
-
17:20 - 17:23Ilikuwa ni kama Yesu alikuwa anaingia mwilini mwangu.
-
17:23 - 17:32Nililia yangu yote- kulia kuzuri, sio kubaya.
-
17:32 - 17:35Na ilikuwa faraja kubwa.
-
17:35 - 17:40Lakini wakati huo huo, nilikuwa na huu
ufunuo ya kwamba Yesu alikuwa hai. -
17:40 - 17:44Kwa hivyo, wakati nilihisi hivo, "nilipoteza akili".
-
17:44 - 17:45Nigezunguka gereza...
-
17:45 - 17:49Dakika moja mimi ni mtumiaji wa dawa za kulevya, nikikimba huku na kule nikitafuta kupata dawa za kulevya,
-
17:49 - 17:53na ghafla naambia
kila mtu kuhusu Yesu. -
17:53 - 17:57Na nafikiri walidhani "nimeruka akili".
-
17:57 - 18:04Nakumbuko nilipokuwa kwa bafu ya umma, nilikuwa naimba "Yesu ananipenda".
-
18:04 - 18:10Wakadhani "Nimepoteza akili". Na naweza elewa mbona!
-
18:10 - 18:13Singeweza kungoja kurudi kwa seli yangu, kwa sababu kwa seli yangu,
-
18:13 - 18:18mara tu nipoingia, ningekuwa ninalia.
-
18:18 - 18:21Ni kama hisia hii ambaya iliendesha maisha yangu,
-
18:21 - 18:25iliyofanya nifanye vitu ambazo ninayaaibikia,
-
18:25 - 18:30ambaya ilinifanya nikafungwa kwa seli za kuvuliwa nguo - hisia hizi zote zilikuwa zinatoka.
-
18:30 - 18:35Kwa hivyo ningeenda kufanya kazi kwenye sehemu ya uwanda wa gereza na nilikuwa nataka tu kurudi kwa seli yangu,
-
18:35 - 18:40kwa sababu kwangu, najua Yesu ako ndani mwangu, lakini Alikuwa kwa seli yangu haswa.
-
18:40 - 18:45Na mambo ya ajabu yakaanza kutokea
kwangu - mambo ya kiroho. -
18:45 - 18:48Sasa najua yalikuwa mambo ya kishetani.
-
18:48 - 18:53Kwa sababu nilichogundua katika maisha ni kwamba popote kuna maumivu ya kiwewe,
-
18:53 - 18:55shetani huchukua fursa hiyo kujinufaisha.
-
18:55 - 19:01Na hapa nilikuwa katika seli na mambo yanayotokea ambayo hayangetokea hapo awali.
-
19:01 - 19:03Nilidhani ninaenda kichaa.
-
19:03 - 19:08Baada ya siku tatu, siku tatu baada ya kuzaliwa upya, nilijiweka katika eneo la wagonjwa
-
19:08 - 19:13wa kiakili pale gerezani kwa sababu nilidhani ninaenda kichaa.
-
19:13 - 19:18Kwa sababu nilikuwa na haya yote, ambayo sasa najua
ni mambo ya kishetani, yanayotokea. -
19:18 - 19:22Nilikumbuka kuwa kwenye seli,
katika kitengo cha akili, nikifikiri, -
19:22 - 19:26"Nimepotea na nimpoteza akili kabisa"
-
19:26 - 19:28kwa sababu nilikuwa na matokeo ya kiroho yanayotokea.
-
19:28 - 19:31Sikuwa na mtu karibu yangu wa kuniongelesha.
-
19:31 - 19:35Nakumbuka nikimuandikia barua
mpenzi wangu wakati huo, nikisema, -
19:35 - 19:40‘Angalia, siwezi kurudi katika mji wangu. Kitu fulani kimenifanyikia.
-
19:40 - 19:45Ninapoteza njama. Kichwa changu kimeruka.
Nina mambo haya ya kiroho yanatendeka. -
19:45 - 19:48Na, samahani siwezi kurudi nyumbani.’
-
19:48 - 19:50Na barua ilikuwa imekaa pale.
-
19:50 - 19:55Dakika iliyofuata, daktari,
ambaye nilikuwa natishia ili kupata dawa za kulevya, -
19:55 - 19:59aliingia na kukaa kwenye kitanda changu na
akasema, ‘Kuna nini?’ -
19:59 - 20:00Nikasema, "Siwezi kukuambia."
-
20:00 - 20:02Akasema, "Kuna nini? Niambie."
-
20:02 - 20:03Nikasema, "Siwezi kukuambia."
-
20:03 - 20:06
-
20:06 - 20:08
-
20:08 - 20:12
-
20:12 - 20:15
-
20:15 - 20:18
-
20:18 - 20:21
-
20:21 - 20:28
-
20:28 - 20:34
-
20:34 - 20:39
-
20:39 - 20:43
-
20:43 - 20:45
-
20:45 - 20:51
-
20:51 - 20:57
-
20:57 - 21:00
-
21:00 - 21:04
-
21:04 - 21:09
-
21:09 - 21:12
-
21:12 - 21:15
-
21:15 - 21:19
-
21:19 - 21:26
-
21:26 - 21:27
-
21:27 - 21:31
-
21:31 - 21:39
-
21:39 - 21:43
-
21:43 - 21:48
-
21:48 - 21:53
-
21:53 - 21:56
-
21:56 - 22:01
-
22:01 - 22:02
-
22:02 - 22:09
-
22:09 - 22:13
-
22:13 - 22:21
-
22:21 - 22:29
-
22:29 - 22:31
-
22:31 - 22:34
-
22:34 - 22:40
-
22:40 - 22:45
-
22:45 - 22:50
-
22:50 - 22:53
-
22:53 - 22:58
-
22:58 - 23:04
-
23:04 - 23:08
-
23:08 - 23:10
-
23:10 - 23:14
-
23:14 - 23:17
-
23:17 - 23:19
-
23:19 - 23:21
-
23:21 - 23:26
-
23:26 - 23:31
-
23:31 - 23:36
-
23:36 - 23:40
-
23:40 - 23:45
-
23:45 - 23:53
-
23:53 - 24:01
-
24:01 - 24:04
-
24:04 - 24:08
-
24:08 - 24:14
-
24:14 - 24:17
-
24:17 - 24:22
-
24:22 - 24:26
-
24:26 - 24:29
-
24:29 - 24:34
-
24:34 - 24:41
-
24:41 - 24:46
-
24:46 - 24:48
-
24:48 - 24:51
-
24:51 - 24:54
-
24:54 - 25:00
-
25:00 - 25:02
-
25:02 - 25:08
-
25:08 - 25:13
-
25:13 - 25:17
-
25:17 - 25:21
-
25:21 - 25:24
-
25:24 - 25:25
-
25:25 - 25:28
-
25:28 - 25:32
-
25:32 - 25:39
-
25:39 - 25:41
-
25:41 - 25:48
-
25:48 - 25:52
-
25:52 - 25:55
-
25:55 - 26:00
-
26:00 - 26:03
-
26:03 - 26:07
-
26:07 - 26:10
-
26:10 - 26:14
-
26:14 - 26:20
-
26:20 - 26:24
-
26:24 - 26:27
-
26:27 - 26:34
-
26:34 - 26:37
-
26:37 - 26:41
-
26:41 - 26:46
-
26:46 - 26:49
-
26:49 - 26:51
-
26:51 - 26:58
-
26:58 - 27:01
-
27:01 - 27:05
-
27:05 - 27:07
-
27:07 - 27:11
-
27:11 - 27:20
-
27:20 - 27:23
-
27:23 - 27:24
-
27:24 - 27:28
-
27:28 - 27:30
-
27:30 - 27:34
-
27:34 - 27:40
-
27:40 - 27:44
-
27:44 - 27:46
-
27:46 - 27:49
-
27:49 - 27:52
- Title:
- Mungu alininenea Kwa chumba cha jela
- Description:
-
Alan Andrews alishikwa Kwanza akiwa umri mudogo Wa miaka 10 .
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 28:22
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY | |
![]() |
babubiko edited Swahili subtitles for GOD spoke to me in my PRISON CELL!!! | Life-Changing TESTIMONY |