< Return to Video

Mungu alininenea Kwa chumba cha jela

  • 0:00 - 0:04
    Nilikuwa nimechoka na kufanya uhalifu; Nilikuwa nimechoka na kutumia dawa za kulevya;
  • 0:04 - 0:08
    Nilikuwa nimechoka na kuumiza watu.
  • 0:08 - 0:11
    Hakuna mtu aliweza kunionyesha njia ya kubadilika.
  • 0:11 - 0:13
    Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
  • 0:13 - 0:19
    Mumiani hutaka damu pekee; hataki kitu kingine.
  • 0:19 - 0:25
    Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine katika maisha yangu,
  • 0:28 - 0:33
    Nilijua bila shaka yoyote kwamba ni Mungu anazungumza nami -
  • 0:33 - 0:36
    kutoka katika ulimwengu ambapo Mungu hakuwepo.
  • 0:36 - 0:43
    HEART TALK
    GOD’S HEART TV
  • 0:43 - 0:50
    Habari kila mtu. Jina langu ni Alan Andrews. Natoka katika mji mdogo huko Kusini mwa Wales.
  • 0:50 - 0:56
    Ninaendesha Kituo kinachoitwa 'Chooselife', ambacho ni huduma ya kusaidia wanaotumia dawa za kulevya na pombe.
  • 0:56 - 0:59
    Mwenye ninatoka katika mazingira ya dawa za kulevya.
  • 0:59 - 1:03
    Ninatambua kwa nini nilijipata ninatumia madawa ya kulevya.
  • 1:03 - 1:07
    Nilikuwa na mambo ambayo yalikuwa yanaendelea katika utotoni mwangu ambayo hayakupaswa kutokea -
  • 1:07 - 1:10
    Kudhulumiwa kimwili, kimaneno na kingono.
  • 1:10 - 1:16
    Ilinifanya nihisi tofauti na kila mtu mwingine. Ilifanya nihisi aibu, na kujawa na kukataliwa.
  • 1:16 - 1:21
    Naweza kukumbuka kipindi katika maisha yangu ambapo nilisema, 'Sitaendelea kuhisi kutengwa.'
  • 1:21 - 1:24
    Hivyo nilianza kuishi maisha ya uasi.
  • 1:24 - 1:27
    Nilianza wizi wa madukani nilipokuwa na umri wa miaka kumi.
  • 1:27 - 1:30
    Nilipelekwa nyumbani katika gari la polisi, kwa mshangao wa mama na baba yangu.
  • 1:30 - 1:33
    Niko ndani ya gari la polisi - mtoto wao mdogo wa miaka kumi.
  • 1:33 - 1:36
    Nikaendelea kufanya uhalifu.
  • 1:36 - 1:39
    Nikiwa na umri wa miaka 13, nilikuwa sipo chini ya udhibiti kabisa.
  • 1:39 - 1:46
    Nilipelekwa katika shule iliyoidhinishwa, kutumwa mbali, ambayo iliziongeza tu hisia za kutengwa ndani yangu.
  • 1:46 - 1:52
    Kwa kila mtu mwingine, nilikuwa mtu wa ajabu ambaye hakuwa na wasi wasi.
  • 1:52 - 1:55
    Lakini ndani nilikuwa bado naumia.
  • 1:55 - 2:00
    Kufungwa akiwa na umri wa miaka 13, mbali na mama na baba yangu, ilikuwa vigumu sana.
  • 2:00 - 2:04
    Lakini sikuweza kuonyesha mtu yeyote, hivyo nilijifunza kutoonyesha hisia.
  • 2:04 - 2:06
    Na nilijenga maisha yangu kwa hayo.
  • 2:06 - 2:13
    Mwaka wa 14, nilitumwa katika kituo cha kuzuiliwa, ambacho kilikuwa 'mshtuko mfupi, wa haraka'.
  • 2:13 - 2:17
    Kutoka wakati unapoingia humo, maafisa watakupigia kelele.
  • 2:17 - 2:22
    Naweza kukumbuka kusimama uchi kwenye mstari mweupe kwa takriban masaa mawili,
  • 2:22 - 2:29
    maafisa wakikutukana, wakikupigia kelele, wakikukutisha.
  • 2:29 - 2:36
    Na hiyo imebaki na mimi hadi leo - kumbukumbu yake.
  • 2:36 - 2:42
    Nilikuwa hapo kwa wiki sita na siku nne. Naweza kukumbuka nilipotoka hapo -
  • 2:42 - 2:47
    kama ningetaka kusitisha kuingia katika matatizo, ingekuwa wakati huo.
  • 2:47 - 2:50
    Lakini sikuweza kusimamisha kwa sababu sikuwa na mtu yeyote karibu yangu kunisaidia.
  • 2:50 - 2:54
    kukabiliana na hisia nilizokuwa nazo ndani, ambazo nilikuwa nazijificha.
  • 2:54 - 2:59
    Kwa hivyo nikaendelea kufanya uhalifu. Nilirudishwa kwa shule iliyoidhinishwa nikiwa na umri wa miaka 15.
  • 2:59 - 3:02
    Nikakaa huko hadi nikafika miaka 16
  • 3:02 - 3:06
    na kisha nilipofikia umri wa miaka 17, nilitumwa katika kitengo cha wahalifu vijana.
  • 3:06 - 3:12
    Mwaka wa 18 nilitumwa Borstal, ambayo siku hizo ilikuwa mahali ambapo kwa kweli hungetaka kuenda.
  • 3:12 - 3:20
    Na nikawa mvulana wa borstal - nilifanya vizuri. Ningeweza kufanya vizuri popote nilipokuwa, ili tu niweze kuishi.
  • 3:20 - 3:25
    Mara nyingine tena, nataka kusisitiza kwamba nilikuwa na hisia hizi kali ndani yangu
  • 3:25 - 3:30
    lakini kwa nje, ilibidi niwe mtu huyu ambaye hakujali kabisa.
  • 3:30 - 3:34
    Hivyo kila mtu aliyeniona alifikiria, 'Jamaa huyu hakika hajali.'
  • 3:34 - 3:39
    Lakini ndani nilikuwa tu nimevunjika, kabisa nimevunjika.
  • 3:39 - 3:43
    Nilisherehekea siku yangu ya kuzaliwa ya miaka 18 kule Borstal.
  • 3:43 - 3:48
    Nilitoka hapo, nikajaribu kweli kutoingia matatani lakini singeweza kuacha.
  • 3:48 - 3:55
    Kwa sababu kwa hisia, ni ‘nishati katika mwendo’ - inapaswa kila wakati kuwa inasonga.
  • 3:55 - 4:01
    Lakini nililazimika kuweka vitu ndani yake ambavyo vingeisitisha kwa sababu sikutaka kuvihisi.
  • 4:01 - 4:04
    Wakati huu, kulikuwa hakuna madawa yoyote ya kulevya katika mji wangu wa nyumbani.
  • 4:04 - 4:08
    Kama kungekuwa na dawa za kulevya wakati nilikuwa na umri wa miaka 13, ningekuwa mtoto wa miaka 13
  • 4:08 - 4:12
    mvutaji wa heroini - na pengine ningekuwa nimekufa kwa sasa - lakini hakukuwa na dawa za kulevya.
  • 4:12 - 4:17
    Dawa za kulevya zilianza tu nilipokuwa na umri wa miaka 20, ambayo ni kuchelewa sana siku hizi.
  • 4:17 - 4:22
    kwa sababu naona vijana sasa wenye umri wa miaka 10, 11 au 12 wakitumia dawa, wakivuta bangi,
  • 4:22 - 4:28
    kutumia kokain - ufa ni jambo kubwa - lakini hawakuwa karibu.
  • 4:28 - 4:33
    Nilipoanza - naweza kukumbuka nilikuwa katika gereza la Shepton Mallet
  • 4:33 - 4:37
    nilipoanzishwa kuvuta bangi, ndani ya miezi miwili,
  • 4:37 - 4:44
    Nilikuwa nikijidunga dawa za kulevya, kwa sababu dawa hizi ziliweza kunisaidia kutohisi.
  • 4:44 - 4:46
    Lakini ilikuwa tu ya muda kwa sababu ulihitaji kuweka zaidi
  • 4:46 - 4:51
    na zaidi dawa za kulevya ili kusitisha hisia - kwa sababu nishati hii ilikuwa daima katika mwendo,
  • 4:51 - 4:56
    hisia zilikuwa zikijaribu kila wakati kupigana kutoka ndani na kuja nje usoni.
  • 4:56 - 5:06
    Nilichanganyikiwa. Nilikuwa wazimu kabla ya madawa ya kulevya lakini baada ya madawa, nilipoteza kabisa akili.
  • 5:06 - 5:09
    Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
  • 5:09 - 5:14
    Mumiani hutaka damu pekee. Hataki kitu kingine.
  • 5:14 - 5:20
    Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine kwa maisha yangu,
  • 5:20 - 5:25
    ila tu kupata dawa za kufuta kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika maisha yangu.
  • 5:25 - 5:30
    Kwa kweli nilifanya wizi wa mabavu katika eneo nililokuwa naishi.
  • 5:30 - 5:34
    Mtu yeyote mwenye busara angepanga wizi wa mabavu.
  • 5:34 - 5:39
    Haikuwa na bunduki, ilikuwa na bakora, nikikimbilia duka nikitaka pesa.
  • 5:39 - 5:43
    Mtu yeyote mwenye akili angeenda kufanya hivyo mahali pengine na kupanga.
  • 5:43 - 5:45
    Nilitaka tu kupata zingine dawa za kulevya.
  • 5:45 - 5:49
    Sikufikiria dawa za kulevya huko mbele, nilikuwa natafuta ya sasa.
  • 5:49 - 5:55
    Nikafanya hio wizi wa mabavu, sikushikwa, lakini nikarudi gerezani kwa makosa mengine.
  • 5:55 - 5:59
    Lakini wakati huu, gereza ikawa nyumbani.
  • 5:59 - 6:05
    Shida ya gereza ni kwamba linafanya uanze kuishi kwa njia ya taasisi.
  • 6:05 - 6:11
    Ilikuwa nyumbani kwangu. Haikuwa na hofu tena. Ilikuwa mahali salama kwangu.
  • 6:11 - 6:18
    Lakini hata hivyo, kwa sababu nilikuwa na mambo haya yanayoendelea ndani yangu, nilifanya mambo gerezani.
  • 6:18 - 6:20
    Moja ya wafanyakazi hapa ananikumbuka -
  • 6:20 - 6:24
    Nilienda kwa daktari kwa sababu nilitaka dawa zaidi kutoka kwake.
  • 6:24 - 6:30
    na maafisa wanne (maafisa wa gereza) wakanishusha ndani ya chumba cha kuvuliwa nguo.
  • 6:30 - 6:33
    Ningewatishia madaktari; Ningewaibia.
  • 6:33 - 6:37
    Nakumbuka hospitalini, nilijua mahali ambapo dawa zinawekwa.
  • 6:37 - 6:39
    Nikaiba huko.
  • 6:39 - 6:40
    Nilikuwa nimepoteza udhibiti kabisa.
  • 6:40 - 6:46
    Ningekuwa nikiwekwa kwenye chumba maalum mara kwa mara kwa sababu sikuweza kupatana na watu wengine.
  • 6:46 - 6:51
    Nilikuwa katika hatua ya maisha yangu ambapo sikuwa na hamu ya kuwa karibu na watu,
  • 6:51 - 6:56
    kwa sababu sikuwa na thamani kibinafsi.
  • 6:56 - 6:59
    Nilijichukia. Nilichukia maisha yangu.
  • 6:59 - 7:05
    Nilijichukia na sikuwa na ujasiri wowote.
  • 7:05 - 7:10
    Nakumbuka nikitumwa kwa gereza liitwalo Erlestoke Prison.
  • 7:10 - 7:13
    Na nilipokuwa huko, na pengine utacheka hii -
  • 7:13 - 7:17
    Nilikuwa nimebaki na wiki siti kwa kifungo changu
  • 7:17 - 7:23
    lakini nilihitaji tu dawa zaidi za kulevya na nikatoroka jela nikiwa nimebakisha wiki sita.
  • 7:23 - 7:28
    Sikuwa na fikira ya kwamba, 'Nikitoroka, mbona nikae tena miezi zingine 6 hadi 12?'
  • 7:28 - 7:33
    Nilikuwa na taka dawa za kulevya. Nilihitaji tu kutoroka gerezani.
  • 7:33 - 7:37
    Nikatoroka gerezani, nikakwea ukuta futi 20,
  • 7:37 - 7:40
    na naweza kukumbuka hisia nilipokua juu ya ukuta huo.
  • 7:40 - 7:45
    Unapotazama ukuta huo, hauonekani kuwa mrefu kama unavyotazama chini.
  • 7:45 - 7:49
    Nilipokuwa ninaangalia chini, nakumbuka nikifikira, 'Nikiruka kutoka hapa,
  • 7:49 - 7:53
    na nianguke nivunje mguu wangu, nitakaa kama mjinga sana.'
  • 7:53 - 7:56
    Lakini nikaweza kutoroka na kurudi maeneo yangui ya nyumbani.
  • 7:56 - 8:00
    Nilikuwa nje siku kumi pekee, lakini kwa hio muda nilitumia madawa mengi ya kulevya
  • 8:00 - 8:04
    na kwa kweli niliingiza nyingi gerezani, ambayo ilikuwa nia yangu.
  • 8:04 - 8:09
    Haikunisumbua ya kwamba itabidi nikae miezi zingine sita.
  • 8:09 - 8:13
    Bila shaka, lazima wakuadhibu na nikatumwa Dartmoor Prison.
  • 8:13 - 8:19
    Hio wakati, gereza ilikuwa mahali watu ambao wamevunja sheria wanatumwa.
  • 8:19 - 8:23
    Dartmoor ilikuwa mahali ambapo magereza hutuma mahabusu ambao wamevunja sheria.
  • 8:23 - 8:29
    Nilikuwa chini sana, katikati ya ukiwa, eneo la Dartmoor,
  • 8:29 - 8:31
    eneo linaloitwa Princetown.
  • 8:31 - 8:34
    Na, kumbe kuna alama iliyochongwa kwenye jiwe -
  • 8:34 - 8:37
    ilijengwa kwa ajili ya wafungwa wa vita wa Kifaransa -
  • 8:37 - 8:43
    na inasema kwa Kilatini, ‘Acha tumaini, nyote mnaoingia.’
  • 8:43 - 8:47
    Na ilikuwa kana kwamba nilifika mahali ambapo kulikuwa na makubaliano na jinsi nilivyohisi.
  • 8:47 - 8:50
    Nilikuwa nimetupa tumaini ya kubadilika kamwe,
  • 8:50 - 8:55
    tumaini la kupata msichana wa kupenda, mke, kuwa na watoto.
  • 8:55 - 8:57
    Sikuwai fikiria hizo vitu.
  • 8:57 - 9:02
    Yalikuwa mbali na mahali ambapo nilikuwa kwa maisha.
  • 9:02 - 9:05
    Nilifikiria tu ya kwamba nitaishi maisha yangu iliyosalia gerezani.
  • 9:05 - 9:09
    Na nakumbuka nikiwa Dartmoorn -
  • 9:09 - 9:11
    kulikuwa na mahabusu wa kushtua mle.
  • 9:11 - 9:17
    Watu wangekudunga kisu tu ama kukupiga bila kosa lolote.
  • 9:17 - 9:21
    Ninaweza kukumbuka nikifikiri, 'Angalia jinsi nilivyofika mbali maishani'
  • 9:21 - 9:24
    kwa sababu nilikuwa bado mvulana huyu mdogo aliyekataliwa ndani.
  • 9:24 - 9:28
    Lakini kwa nje, nilidhani ningeweza kuwa kama hawa -
  • 9:28 - 9:31
    Ningekuwa kama hawa watu wazimu hapa chini.
  • 9:31 - 9:34
    Na hio ikanifungua macho kwa kweli.
  • 9:34 - 9:40
    Na mara ya kwanza niliposikia mtu akimtaja Mungu, rafiki yangu 'Artie' -
  • 9:40 - 9:44
    Nilikuwa nimepata barua kutoka kwa rafiki mwingine ikisema, 'Artie anampenda Mungu'.
  • 9:44 - 9:48
    Na sikufikiria, 'Mungu? Anafanya nini? Je, yuko sawa?'
  • 9:48 - 9:49
    Nilidhani 'Vyema kwake.'
  • 9:49 - 9:54
    Na nikaanza kuomba - na haikuwa maombi ya mzaha, lakini sikuwa nimewahi kuomba.
  • 9:54 - 9:58
    Sikuwa na maarifa ya chochote kilichokuwa nje ya maisha niliyokuwa nayo.
  • 9:58 - 10:00
    Na nilianza kusema ombi hili,
  • 10:00 - 10:06
    “Nitakapolala, naomba Bwana anihifadhi roho yangu...”
  • 10:06 - 10:09
  • 10:09 - 10:11
  • 10:11 - 10:15
  • 10:15 - 10:19
  • 10:19 - 10:24
  • 10:24 - 10:27
  • 10:27 - 10:29
  • 10:29 - 10:32
  • 10:32 - 10:39
  • 10:39 - 10:43
  • 10:43 - 10:46
  • 10:46 - 10:50
  • 10:50 - 10:53
  • 10:53 - 10:54
  • 10:54 - 11:01
  • 11:01 - 11:05
  • 11:05 - 11:09
  • 11:09 - 11:11
  • 11:11 - 11:14
  • 11:14 - 11:18
  • 11:18 - 11:20
  • 11:20 - 11:24
  • 11:24 - 11:29
  • 11:29 - 11:36
  • 11:36 - 11:39
  • 11:39 - 11:45
  • 11:45 - 11:46
  • 11:46 - 11:51
  • 11:51 - 11:56
  • 11:56 - 11:58
  • 11:58 - 12:02
  • 12:02 - 12:05
  • 12:05 - 12:10
  • 12:10 - 12:13
  • 12:13 - 12:18
  • 12:18 - 12:21
  • 12:21 - 12:24
  • 12:24 - 12:29
  • 12:29 - 12:34
  • 12:34 - 12:39
  • 12:39 - 12:44
  • 12:44 - 12:48
  • 12:48 - 12:50
  • 12:50 - 12:54
  • 12:54 - 12:58
  • 12:58 - 13:04
  • 13:04 - 13:07
  • 13:07 - 13:09
  • 13:09 - 13:14
  • 13:14 - 13:18
  • 13:18 - 13:23
  • 13:23 - 13:27
  • 13:27 - 13:30
  • 13:30 - 13:32
  • 13:32 - 13:37
  • 13:37 - 13:39
  • 13:39 - 13:44
  • 13:44 - 13:46
  • 13:46 - 13:49
  • 13:49 - 13:54
  • 13:54 - 13:58
  • 13:58 - 14:00
  • 14:00 - 14:04
  • 14:04 - 14:08
  • 14:08 - 14:12
  • 14:12 - 14:14
  • 14:14 - 14:18
  • 14:18 - 14:22
  • 14:22 - 14:27
  • 14:27 - 14:33
  • 14:33 - 14:38
  • 14:38 - 14:42
  • 14:42 - 14:45
  • 14:45 - 14:48
  • 14:48 - 14:50
  • 14:50 - 14:52
  • 14:52 - 14:54
  • 14:54 - 14:58
  • 14:58 - 15:02
  • 15:02 - 15:06
  • 15:06 - 15:09
  • 15:09 - 15:12
  • 15:12 - 15:13
  • 15:13 - 15:19
  • 15:19 - 15:24
  • 15:24 - 15:27
  • 15:27 - 15:29
  • 15:29 - 15:32
  • 15:32 - 15:35
  • 15:35 - 15:39
  • 15:39 - 15:42
  • 15:42 - 15:46
  • 15:46 - 15:48
  • 15:48 - 15:54
  • 15:54 - 16:00
  • 16:00 - 16:05
  • 16:05 - 16:09
  • 16:09 - 16:12
  • 16:12 - 16:17
  • 16:17 - 16:19
  • 16:19 - 16:25
  • 16:25 - 16:29
  • 16:29 - 16:33
  • 16:33 - 16:37
  • 16:37 - 16:43
  • 16:43 - 16:47
  • 16:47 - 16:50
  • 16:50 - 16:55
  • 16:55 - 16:57
  • 16:57 - 17:03
  • 17:03 - 17:07
  • 17:07 - 17:10
  • 17:10 - 17:13
  • 17:13 - 17:20
  • 17:20 - 17:23
  • 17:23 - 17:32
  • 17:32 - 17:35
  • 17:35 - 17:40
  • 17:40 - 17:44
  • 17:44 - 17:45
  • 17:45 - 17:49
  • 17:49 - 17:53
  • 17:53 - 17:57
  • 17:57 - 18:04
  • 18:04 - 18:10
  • 18:10 - 18:13
  • 18:13 - 18:18
  • 18:18 - 18:21
  • 18:21 - 18:25
  • 18:25 - 18:30
  • 18:30 - 18:35
  • 18:35 - 18:40
  • 18:40 - 18:45
  • 18:45 - 18:48
  • 18:48 - 18:53
  • 18:53 - 18:55
  • 18:55 - 19:01
  • 19:01 - 19:03
  • 19:03 - 19:08
  • 19:08 - 19:13
  • 19:13 - 19:18
  • 19:18 - 19:22
  • 19:22 - 19:26
  • 19:26 - 19:28
  • 19:28 - 19:31
  • 19:31 - 19:35
  • 19:35 - 19:40
  • 19:40 - 19:45
  • 19:45 - 19:48
  • 19:48 - 19:50
  • 19:50 - 19:55
  • 19:55 - 19:59
  • 19:59 - 20:00
  • 20:00 - 20:02
  • 20:02 - 20:03
  • 20:03 - 20:06
  • 20:06 - 20:08
  • 20:08 - 20:12
  • 20:12 - 20:15
  • 20:15 - 20:18
  • 20:18 - 20:21
  • 20:21 - 20:28
  • 20:28 - 20:34
  • 20:34 - 20:39
  • 20:39 - 20:43
  • 20:43 - 20:45
  • 20:45 - 20:51
  • 20:51 - 20:57
  • 20:57 - 21:00
  • 21:00 - 21:04
  • 21:04 - 21:09
  • 21:09 - 21:12
  • 21:12 - 21:15
  • 21:15 - 21:19
  • 21:19 - 21:26
  • 21:26 - 21:27
  • 21:27 - 21:31
  • 21:31 - 21:39
  • 21:39 - 21:43
  • 21:43 - 21:48
  • 21:48 - 21:53
  • 21:53 - 21:56
  • 21:56 - 22:01
  • 22:01 - 22:02
  • 22:02 - 22:09
  • 22:09 - 22:13
  • 22:13 - 22:21
  • 22:21 - 22:29
  • 22:29 - 22:31
  • 22:31 - 22:34
  • 22:34 - 22:40
  • 22:40 - 22:45
  • 22:45 - 22:50
  • 22:50 - 22:53
  • 22:53 - 22:58
  • 22:58 - 23:04
  • 23:04 - 23:08
  • 23:08 - 23:10
  • 23:10 - 23:14
  • 23:14 - 23:17
  • 23:17 - 23:19
  • 23:19 - 23:21
  • 23:21 - 23:26
  • 23:26 - 23:31
  • 23:31 - 23:36
  • 23:36 - 23:40
  • 23:40 - 23:45
  • 23:45 - 23:53
  • 23:53 - 24:01
  • 24:01 - 24:04
  • 24:04 - 24:08
  • 24:08 - 24:14
  • 24:14 - 24:17
  • 24:17 - 24:22
  • 24:22 - 24:26
  • 24:26 - 24:29
  • 24:29 - 24:34
  • 24:34 - 24:41
  • 24:41 - 24:46
  • 24:46 - 24:48
  • 24:48 - 24:51
  • 24:51 - 24:54
  • 24:54 - 25:00
  • 25:00 - 25:02
  • 25:02 - 25:08
  • 25:08 - 25:13
  • 25:13 - 25:17
  • 25:17 - 25:21
  • 25:21 - 25:24
  • 25:24 - 25:25
  • 25:25 - 25:28
  • 25:28 - 25:32
  • 25:32 - 25:39
  • 25:39 - 25:41
  • 25:41 - 25:48
  • 25:48 - 25:52
  • 25:52 - 25:55
  • 25:55 - 26:00
  • 26:00 - 26:03
  • 26:03 - 26:07
  • 26:07 - 26:10
  • 26:10 - 26:14
  • 26:14 - 26:20
  • 26:20 - 26:24
  • 26:24 - 26:27
  • 26:27 - 26:34
  • 26:34 - 26:37
  • 26:37 - 26:41
  • 26:41 - 26:46
  • 26:46 - 26:49
  • 26:49 - 26:51
  • 26:51 - 26:58
  • 26:58 - 27:01
  • 27:01 - 27:05
  • 27:05 - 27:07
  • 27:07 - 27:11
  • 27:11 - 27:20
  • 27:20 - 27:23
  • 27:23 - 27:24
  • 27:24 - 27:28
  • 27:28 - 27:30
  • 27:30 - 27:34
  • 27:34 - 27:40
  • 27:40 - 27:44
  • 27:44 - 27:46
  • 27:46 - 27:49
  • 27:49 - 27:52
Title:
Mungu alininenea Kwa chumba cha jela
Description:

Alan Andrews alishikwa Kwanza akiwa umri mudogo Wa miaka 10 .

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
28:22

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions