< Return to Video

Mungu alininenea Kwa chumba cha jela

  • 0:00 - 0:04
    Nilikuwa nimechoka na kufanya uhalifu; Nilikuwa nimechoka na kutumia dawa za kulevya;
  • 0:04 - 0:08
    Nilikuwa nimechoka na kuumiza watu.
  • 0:08 - 0:11
    Hakuna mtu aliweza kunionyesha njia ya kubadilika.
  • 0:11 - 0:13
    Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
  • 0:13 - 0:19
    Mumiani hutaka damu pekee; hataki kitu kingine.
  • 0:19 - 0:25
    Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine katika maisha yangu,
  • 0:28 - 0:33
    Nilijua bila shaka yoyote kwamba ni Mungu anazungumza nami -
  • 0:33 - 0:36
    kutoka katika ulimwengu ambapo Mungu hakuwepo.
  • 0:36 - 0:43
    HEART TALK
    GOD’S HEART TV
  • 0:43 - 0:50
    Habari kila mtu. Jina langu ni Alan Andrews. Natoka katika mji mdogo huko Kusini mwa Wales.
  • 0:50 - 0:56
    Ninaendesha Kituo kinachoitwa 'Chooselife', ambacho ni huduma ya kusaidia wanaotumia dawa za kulevya na pombe.
  • 0:56 - 0:59
    Mwenye ninatoka katika mazingira ya dawa za kulevya.
  • 0:59 - 1:03
    Ninatambua kwa nini nilijipata ninatumia madawa ya kulevya.
  • 1:03 - 1:07
    Nilikuwa na mambo ambayo yalikuwa yanaendelea katika utotoni mwangu ambayo hayakupaswa kutokea -
  • 1:07 - 1:10
    Kudhulumiwa kimwili, kimaneno na kingono.
  • 1:10 - 1:16
    Ilinifanya nihisi tofauti na kila mtu mwingine. Ilifanya nihisi aibu, na kujawa na kukataliwa.
  • 1:16 - 1:21
    Naweza kukumbuka kipindi katika maisha yangu ambapo nilisema, 'Sitaendelea kuhisi kutengwa.'
  • 1:21 - 1:24
    Hivyo nilianza kuishi maisha ya uasi.
  • 1:24 - 1:27
    Nilianza wizi wa madukani nilipokuwa na umri wa miaka kumi.
  • 1:27 - 1:30
    Nilipelekwa nyumbani katika gari la polisi, kwa mshangao wa mama na baba yangu.
  • 1:30 - 1:33
    Niko ndani ya gari la polisi - mtoto wao mdogo wa miaka kumi.
  • 1:33 - 1:36
    Nikaendelea kufanya uhalifu.
  • 1:36 - 1:39
    Nikiwa na umri wa miaka 13, nilikuwa sipo chini ya udhibiti kabisa.
  • 1:39 - 1:46
    Nilipelekwa katika shule iliyoidhinishwa, kutumwa mbali, ambayo iliziongeza tu hisia za kutengwa ndani yangu.
  • 1:46 - 1:52
    Kwa kila mtu mwingine, nilikuwa mtu wa ajabu ambaye hakuwa na wasi wasi.
  • 1:52 - 1:55
    Lakini ndani nilikuwa bado naumia.
  • 1:55 - 2:00
    Kufungwa akiwa na umri wa miaka 13, mbali na mama na baba yangu, ilikuwa vigumu sana.
  • 2:00 - 2:04
    Lakini sikuweza kuonyesha mtu yeyote, hivyo nilijifunza kutoonyesha hisia.
  • 2:04 - 2:06
    Na nilijenga maisha yangu kwa hayo.
  • 2:06 - 2:13
    Mwaka wa 14, nilitumwa katika kituo cha kuzuiliwa, ambacho kilikuwa 'mshtuko mfupi, wa haraka'.
  • 2:13 - 2:17
    Kutoka wakati unapoingia humo, maafisa watakupigia kelele.
  • 2:17 - 2:22
    Naweza kukumbuka kusimama uchi kwenye mstari mweupe kwa takriban masaa mawili,
  • 2:22 - 2:29
    maafisa wakikutukana, wakikupigia kelele, wakikukutisha.
  • 2:29 - 2:36
    Na hiyo imebaki na mimi hadi leo - kumbukumbu yake.
  • 2:36 - 2:42
    Nilikuwa hapo kwa wiki sita na siku nne. Naweza kukumbuka nilipotoka hapo -
  • 2:42 - 2:47
    kama ningetaka kusitisha kuingia katika matatizo, ingekuwa wakati huo.
  • 2:47 - 2:50
    Lakini sikuweza kusimamisha kwa sababu sikuwa na mtu yeyote karibu yangu kunisaidia.
  • 2:50 - 2:54
    kukabiliana na hisia nilizokuwa nazo ndani, ambazo nilikuwa nazijificha.
  • 2:54 - 2:59
    Kwa hivyo nikaendelea kufanya uhalifu. Nilirudishwa kwa shule iliyoidhinishwa nikiwa na umri wa miaka 15.
  • 2:59 - 3:02
    Nikakaa huko hadi nikafika miaka 16
  • 3:02 - 3:06
    na kisha nilipofikia umri wa miaka 17, nilitumwa katika kitengo cha wahalifu vijana.
  • 3:06 - 3:12
    Mwaka wa 18 nilitumwa Borstal, ambayo siku hizo ilikuwa mahali ambapo kwa kweli hungetaka kuenda.
  • 3:12 - 3:20
    Na nikawa mvulana wa borstal - nilifanya vizuri. Ningeweza kufanya vizuri popote nilipokuwa, ili tu niweze kuishi.
  • 3:20 - 3:25
    Mara nyingine tena, nataka kusisitiza kwamba nilikuwa na hisia hizi kali ndani yangu
  • 3:25 - 3:30
    lakini kwa nje, ilibidi niwe mtu huyu ambaye hakujali kabisa.
  • 3:30 - 3:34
    Hivyo kila mtu aliyeniona alifikiria, 'Jamaa huyu hakika hajali.'
  • 3:34 - 3:39
    Lakini ndani nilikuwa tu nimevunjika, kabisa nimevunjika.
  • 3:39 - 3:43
    Nilisherehekea siku yangu ya kuzaliwa ya miaka 18 kule Borstal.
  • 3:43 - 3:48
    Nilitoka hapo, nikajaribu kweli kutoingia matatani lakini singeweza kuacha.
  • 3:48 - 3:55
    Kwa sababu kwa hisia, ni ‘nishati katika mwendo’ - inapaswa kila wakati kuwa inasonga.
  • 3:55 - 4:01
    Lakini nililazimika kuweka vitu ndani yake ambavyo vingeisitisha kwa sababu sikutaka kuvihisi.
  • 4:01 - 4:04
    Wakati huu, kulikuwa hakuna madawa yoyote ya kulevya katika mji wangu wa nyumbani.
  • 4:04 - 4:08
    Kama kungekuwa na dawa za kulevya wakati nilikuwa na umri wa miaka 13, ningekuwa mtoto wa miaka 13
  • 4:08 - 4:12
    mvutaji wa heroini - na pengine ningekuwa nimekufa kwa sasa - lakini hakukuwa na dawa za kulevya.
  • 4:12 - 4:17
    Dawa za kulevya zilianza tu nilipokuwa na umri wa miaka 20, ambayo ni kuchelewa sana siku hizi.
  • 4:17 - 4:22
    kwa sababu naona vijana sasa wenye umri wa miaka 10, 11 au 12 wakitumia dawa, wakivuta bangi,
  • 4:22 - 4:28
    kutumia kokain - 'crack' ni jambo kubwa - lakini hawakuwa karibu.
  • 4:28 - 4:33
    Nilipoanza - naweza kukumbuka nilikuwa katika gereza la Shepton Mallet
  • 4:33 - 4:37
    nilipoanzishwa kuvuta bangi, ndani ya miezi miwili,
  • 4:37 - 4:44
    Nilikuwa nikijidunga dawa za kulevya, kwa sababu dawa hizi ziliweza kunisaidia kutohisi.
  • 4:44 - 4:46
    Lakini ilikuwa tu ya muda kwa sababu ulihitaji kuweka zaidi
  • 4:46 - 4:51
    na zaidi dawa za kulevya ili kusitisha hisia - kwa sababu nishati hii ilikuwa daima katika mwendo,
  • 4:51 - 4:56
    hisia zilikuwa zikijaribu kila wakati kupigana kutoka ndani na kuja nje usoni.
  • 4:56 - 5:06
    Nilichanganyikiwa. Nilikuwa wazimu kabla ya madawa ya kulevya lakini baada ya madawa, nilipoteza kabisa akili.
  • 5:06 - 5:09
    Nilikuwa kama mumiani wa kisasa.
  • 5:09 - 5:14
    Mumiani hutaka damu pekee. Hataki kitu kingine.
  • 5:14 - 5:20
    Wakati nilikuwa mtumiaji wa dawa za kulevya, sikujali kuhusu chochote kingine kwa maisha yangu,
  • 5:20 - 5:25
    ila tu kupata dawa za kufuta kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika maisha yangu.
  • 5:25 - 5:30
    Kwa kweli nilifanya wizi wa mabavu katika eneo nililokuwa naishi.
  • 5:30 - 5:34
    Mtu yeyote mwenye busara angepanga wizi wa mabavu.
  • 5:34 - 5:39
    Haikuwa na bunduki, ilikuwa na bakora, nikikimbilia duka nikitaka pesa.
  • 5:39 - 5:43
    Mtu yeyote mwenye akili angeenda kufanya hivyo mahali pengine na kupanga.
  • 5:43 - 5:45
    Nilitaka tu kupata zingine dawa za kulevya.
  • 5:45 - 5:49
    Sikufikiria dawa za kulevya huko mbele, nilikuwa natafuta ya sasa.
  • 5:49 - 5:55
    Nikafanya hio wizi wa mabavu, sikushikwa, lakini nikarudi gerezani kwa makosa mengine.
  • 5:55 - 5:59
    Lakini wakati huu, gereza ikawa nyumbani.
  • 5:59 - 6:05
    Shida ya gereza ni kwamba linafanya uanze kuishi kwa njia ya taasisi.
  • 6:05 - 6:11
    Ilikuwa nyumbani kwangu. Haikuwa na hofu tena. Ilikuwa mahali salama kwangu.
  • 6:11 - 6:18
    Lakini hata hivyo, kwa sababu nilikuwa na mambo haya yanayoendelea ndani yangu, nilifanya mambo gerezani.
  • 6:18 - 6:20
    Moja ya wafanyakazi hapa ananikumbuka -
  • 6:20 - 6:24
    Nilienda kwa daktari kwa sababu nilitaka dawa zaidi kutoka kwake.
  • 6:24 - 6:30
    na maafisa wanne (maafisa wa gereza) wakanishusha ndani ya seli ya kuvuliwa nguo.
  • 6:30 - 6:33
    Ningewatishia madaktari; Ningewaibia.
  • 6:33 - 6:37
    Nakumbuka hospitalini, nilijua mahali ambapo dawa zinawekwa.
  • 6:37 - 6:39
    Nikaiba huko.
  • 6:39 - 6:40
    Nilikuwa nimepoteza udhibiti kabisa.
  • 6:40 - 6:46
    Ningekuwa nikiwekwa kwenye chumba maalum mara kwa mara kwa sababu sikuweza kupatana na watu wengine.
  • 6:46 - 6:51
    Nilikuwa katika hatua ya maisha yangu ambapo sikuwa na hamu ya kuwa karibu na watu,
  • 6:51 - 6:56
    kwa sababu sikuwa na thamani kibinafsi.
  • 6:56 - 6:59
    Nilijichukia. Nilichukia maisha yangu.
  • 6:59 - 7:05
    Nilijichukia na sikuwa na ujasiri wowote.
  • 7:05 - 7:10
    Nakumbuka nikitumwa kwa gereza liitwalo Erlestoke Prison.
  • 7:10 - 7:13
    Na nilipokuwa huko, na pengine utacheka hii -
  • 7:13 - 7:17
    Nilikuwa nimebaki na wiki siti kwa kifungo changu
  • 7:17 - 7:23
    lakini nilihitaji tu dawa zaidi za kulevya na nikatoroka jela nikiwa nimebakisha wiki sita.
  • 7:23 - 7:28
    Sikuwa na fikira ya kwamba, 'Nikitoroka, mbona nikae tena miezi zingine 6 hadi 12?'
  • 7:28 - 7:33
    Nilikuwa na taka dawa za kulevya. Nilihitaji tu kutoroka gerezani.
  • 7:33 - 7:37
    Nikatoroka gerezani, nikakwea ukuta futi 20,
  • 7:37 - 7:40
    na naweza kukumbuka hisia nilipokua juu ya ukuta huo.
  • 7:40 - 7:45
    Unapotazama ukuta huo, hauonekani kuwa mrefu kama unavyotazama chini.
  • 7:45 - 7:49
    Nilipokuwa ninaangalia chini, nakumbuka nikifikira, 'Nikiruka kutoka hapa,
  • 7:49 - 7:53
    na nianguke nivunje mguu wangu, nitakaa kama mjinga sana.'
  • 7:53 - 7:56
    Lakini nikaweza kutoroka na kurudi maeneo yangui ya nyumbani.
  • 7:56 - 8:00
    Nilikuwa nje siku kumi pekee, lakini kwa hio muda nilitumia madawa mengi ya kulevya
  • 8:00 - 8:04
    na kwa kweli niliingiza nyingi gerezani, ambayo ilikuwa nia yangu.
  • 8:04 - 8:09
    Haikunisumbua ya kwamba itabidi nikae miezi zingine sita.
  • 8:09 - 8:13
    Bila shaka, lazima wakuadhibu na nikatumwa Dartmoor Prison.
  • 8:13 - 8:19
    Hio wakati, gereza ilikuwa mahali watu ambao wamevunja sheria wanatumwa.
  • 8:19 - 8:23
    Dartmoor ilikuwa mahali ambapo magereza hutuma mahabusu ambao wamevunja sheria.
  • 8:23 - 8:29
    Nilikuwa chini sana, katikati ya ukiwa, eneo la Dartmoor,
  • 8:29 - 8:31
    eneo linaloitwa Princetown.
  • 8:31 - 8:34
    Na, kumbe kuna alama iliyochongwa kwenye jiwe -
  • 8:34 - 8:37
    ilijengwa kwa ajili ya wafungwa wa vita wa Kifaransa -
  • 8:37 - 8:43
    na inasema kwa Kilatini, ‘Acha tumaini, nyote mnaoingia.’
  • 8:43 - 8:47
    Na ilikuwa kana kwamba nilifika mahali ambapo kulikuwa na makubaliano na jinsi nilivyohisi.
  • 8:47 - 8:50
    Nilikuwa nimetupa tumaini ya kubadilika kamwe,
  • 8:50 - 8:55
    tumaini la kupata msichana wa kupenda, mke, kuwa na watoto.
  • 8:55 - 8:57
    Sikuwai fikiria hizo vitu.
  • 8:57 - 9:02
    Yalikuwa mbali na mahali ambapo nilikuwa kwa maisha.
  • 9:02 - 9:05
    Nilifikiria tu ya kwamba nitaishi maisha yangu iliyosalia gerezani.
  • 9:05 - 9:09
    Na nakumbuka nikiwa Dartmoorn -
  • 9:09 - 9:11
    kulikuwa na mahabusu wa kushtua mle.
  • 9:11 - 9:17
    Watu wangekudunga kisu tu ama kukupiga bila kosa lolote.
  • 9:17 - 9:21
    Ninaweza kukumbuka nikifikiri, 'Angalia jinsi nilivyofika mbali maishani'
  • 9:21 - 9:24
    kwa sababu nilikuwa bado mvulana huyu mdogo aliyekataliwa ndani.
  • 9:24 - 9:28
    Lakini kwa nje, nilidhani ningeweza kuwa kama hawa -
  • 9:28 - 9:31
    Ningekuwa kama hawa watu wazimu hapa chini.
  • 9:31 - 9:34
    Na hio ikanifungua macho kwa kweli.
  • 9:34 - 9:40
    Na mara ya kwanza niliposikia mtu akimtaja Mungu, rafiki yangu 'Artie' -
  • 9:40 - 9:44
    Nilikuwa nimepata barua kutoka kwa rafiki mwingine ikisema, 'Artie anampenda Mungu'.
  • 9:44 - 9:48
    Na sikufikiria, 'Mungu? Anafanya nini? Je, yuko sawa?'
  • 9:48 - 9:49
    Nilidhani 'Vyema kwake.'
  • 9:49 - 9:54
    Na nikaanza kuomba - na haikuwa maombi ya mzaha, lakini sikuwa nimewahi kuomba.
  • 9:54 - 9:58
    Sikuwa na maarifa ya chochote kilichokuwa nje ya maisha niliyokuwa nayo.
  • 9:58 - 10:00
    Na nilianza kusema ombi hili,
  • 10:00 - 10:06
    “Nitakapolala, naomba Bwana anihifadhi roho yangu...”
  • 10:06 - 10:09
    Bila shaka, Mungu alikuwa anaanzisha kitu ndani yangu.
  • 10:09 - 10:11
    Usiku wa mwisho katika gereza la Dartmoor
  • 10:11 - 10:15
    ingawa nilichukia, nilikuwa naogopa kuachiliwa
  • 10:15 - 10:19
    kwa sababu nilijua nilikuwa nimechoka kufanya uhalifu.
  • 10:19 - 10:24
    Nilikuwa nimechoka kutumia dawa za kulevya, na nilikuwa nimechoka kuumiza watu.
  • 10:24 - 10:27
    Lakini hakuna mtu angeweza kunionyesha njia ya kubadilika.
  • 10:27 - 10:29
    Daima nilitaka kubadilika.
  • 10:29 - 10:32
    Na sijawahi kukutana na mtumiaji wa dawa za kulevya ambaye hataki kubadilika.
  • 10:32 - 10:39
    Sijawai kabisa kutana naye.
  • 10:39 - 10:43
    Ilibidi nimeachiliwa lakini sikutaka kwa sababu nilikuwa salama ndani.
  • 10:43 - 10:46
    Hata kama kulikuwa kwa kustaajabisha, kama bustani ya wanyama pori.
  • 10:46 - 10:50
    Hata kama kulikuwa kwa kustaajabisha, nilikuwa salama huko.
  • 10:50 - 10:53
    Hata hivyo, nilitoka huko, nikachafuka kabisa kwa dawa za kulevya.
  • 10:53 - 10:54
    Nilikuwa najidunga dawa za kulevya.
  • 10:54 - 11:01
    Nilikua nikiingia kwenye maduka ya dawa, nikifanya mambo mengi na
  • 11:01 - 11:05
    nikajipata kwa hii nyumba na wakaanza kuniambia kuhusu Yesu.
  • 11:05 - 11:09
    Na nikwakasirikia. Nikawatukana nikisema,
  • 11:09 - 11:11
    "Alikuwa wapi hii ikifanyika?
  • 11:11 - 11:14
    Wakati huu unyanyasaji ukiendelea, alikuwa wapi?"
  • 11:14 - 11:18
    Sikutumia hayo maneno mazuri, lakini lugha chafu zaidi.
  • 11:18 - 11:20
    Na wakasema, "Unafaa umkaribishe Yesu ndani ya maisha yako."
  • 11:20 - 11:24
    Na hapo, nilisali ombi la wenye dhambi.
  • 11:24 - 11:29
    Sikumbuki, ambayo ni ajabu, watu wengi hukumbuka
  • 11:29 - 11:36
    wakiomba ombi la wenye dhambi; siwezi kumbuka lakini, ni dhahiri, niliiomba
  • 11:36 - 11:39
    Kuanzia hapo, vitu zikaanza kubadilika.
  • 11:39 - 11:45
    Nakumbuka nikifanya uhalifu flani, na nilikuwa nakata nyaya za simu
  • 11:45 - 11:46
    Na wazo hili likanijia.
  • 11:46 - 11:51
    Nimekuwa na msisimuko kutoka kwa dawa za kulevya za ajabu na msisimuko ambapo nywele zangu zimesimama
  • 11:51 - 11:56
    kwa mikono na nahisi msisimuko ndani.
  • 11:56 - 11:58
    Nimekuwa na msisimuko wa hali ya juu.
  • 11:58 - 12:02
    Wazo hili lilinijia na wazo lilikuwa hili, "Ninakutazama".
  • 12:02 - 12:05
    Na msisimuko flani ukapita kwa mwili wangu na nikajua
  • 12:05 - 12:10
    bila shaka ya kwamba ni Mungu anazungumza nami.
  • 12:10 - 12:13
    Nilitoka kwa ulimwengu ambao Mungu hayuko.
  • 12:13 - 12:18
    Niliendelea kufanya uhalifu lakini jambo hili lilikwamba kichwani mwangu - kilichofanyika.
  • 12:18 - 12:21
    Kwa hivyo nikaendelea kufanya uhalifu, na hapa na pale,
  • 12:21 - 12:24
    mtu angesema kitu kuhusu Mungu.
  • 12:24 - 12:29
    Na Artie, rafiki yangu, akaja kuniona na msichana ambaye nilikuwa naye wakati huo.
  • 12:29 - 12:34
    Na tukaenda kanisani, na siwezi sema kuna kitu flani ilifanyika, lakini kwa wakati huo
  • 12:34 - 12:39
    nilikuwa na mawazo ya ajabu pia - mawazo ya kushtua.
  • 12:39 - 12:44
    Na nilikuwa naogopa kuyafuatilia - vurugu na mambo mengine.
  • 12:44 - 12:48
    Na rafiki yangu akaniambia, "Bibilia inasema tukiteka
  • 12:48 - 12:50
    nyara kila fikira ipate kumtii Kristo." Nikasema, "Unamaanisha nini?"
  • 12:50 - 12:54
    "Yaani, ambia mawazo yako yakome katika jina la Yesu."
  • 12:54 - 12:58
    Kwa hivyo, ndio huyo mimi kwa nyumba yangu, mimi si Mkristo,
  • 12:58 - 13:04
    nikisema ndani ya mawazo yangu, "Katiak jina la Yesu, koma!"
  • 13:04 - 13:07
    Nilipomuona, nikasema, "Inafanya kazi, inafanya kazi!"
  • 13:07 - 13:09
    Hayo mawazo yakakoma.
  • 13:09 - 13:14
    Na, dhahiri, Mungu alikuwa kazini.
  • 13:14 - 13:18
    Nikajipata gerezani tena.
  • 13:18 - 13:23
    Wakati huu, Alikuwa ananitawala. "Msako" ukawa uko.
  • 13:23 - 13:27
    Nakumbuka, nilivyosema, nilikuwa naiba kutoka kwa hosipitali huko
  • 13:27 - 13:30
    na nikaweza kupata mkobo uliojaa dawa za kulevya.
  • 13:30 - 13:32
    Maafisa wakaja kwa seli yangu.
  • 13:32 - 13:37
    Hawakuweza kupata hizo dawa za kulevya; tulikuwa tumezitumia nyingi.
  • 13:37 - 13:39
    Nikabebwa hadi kwa seli ya kuvuliwa nguo.
  • 13:39 - 13:44
    Nimekaa katika seli ya kuvuliwa nguo nikiwa na kaptura ya mpira
  • 13:44 - 13:46
    ili usiweze kukata nguo na kujinyonga,
  • 13:46 - 13:49
    ingawa hakukuwa na dirisha kwa hivyo hungeweza kujinyonga hata hivyo.
  • 13:49 - 13:54
    Nakumbuka nikikaa hapo nikifikiria, "Nimetoka umbali upi?
  • 13:54 - 13:58
    Na naenda wapi zaidi kwa hii maisha?"
  • 13:58 - 14:00
    Unakubaliwa kukaa hapo masaa sita pekee yake.
  • 14:00 - 14:04
    Kwa hivyo wakaja wakanichukua wakaniweka kwa enea la kuadhibiwa.
  • 14:04 - 14:08
    Seli ya kuvuliwa nguo iko ndani ya eneo hilo lakini eneo lenyewe ni seli tu.
  • 14:08 - 14:12
    Bado ni seli ya kuadhibiwa, lakini si kama seli ya kuvuliwa nguo.
  • 14:12 - 14:14
    Kawaida, wanaondoa vitu.
  • 14:14 - 14:18
    Mfungwa akitoka katika eneo hilo, wanaondoa kila kitu kwenye seli.
  • 14:18 - 14:22
    Naam, nilipoenda kwenye seli, kulikuwa na vitabu vingi - vitabu ya kiKristo.
  • 14:22 - 14:27
    Na kulikuwa na moja ya Frank Constantino, malifu kutoka Amerika.
  • 14:27 - 14:33
    Kwa hivyo nikaanza kusoma hiki kitabu, vile alivyokutana na Mungu na Yesu, na nikaanza kulia.
  • 14:33 - 14:38
    Elewa, sikuwai lia kwa sababu nilijikaza sana kwa maisha kujificha kutoka kwa hisia zangu.
  • 14:38 - 14:42
    Na nilipoanza kulia, nikaanza kugonga mlango wa seli.
  • 14:42 - 14:45
    Na aafisa mmoja akaja, Barry.
  • 14:45 - 14:48
    Nikasema, "Nirudishe kwa seli ya kuvuliwa nguo!"
  • 14:48 - 14:50
    kwa sababu sikuweza kudhibiti hisia.
  • 14:50 - 14:52
    Na akasema, "Ndio Andy, shika sigara"
  • 14:52 - 14:54
    na akanipa sigara nivute na initulize.
  • 14:54 - 14:58
    Na nikarudi kwa seli na nikaendelea kusoma hicho kitabu,
  • 14:58 - 15:02
    nilirudi kwenye eneo la kutulia, lakini bado nikaendelea kuwa na wazimu.
  • 15:02 - 15:06
    Lakini kadri ya wiki zilivyopita, nilipata hili wazo, na wazo lilikuwa,
  • 15:06 - 15:09
    "Huondoki huku hadi unikujie."
  • 15:09 - 15:12
    Na ningesema, "Sawa, naja."
  • 15:12 - 15:13
    Na ningeendelea kutumia dawa za kulevya.
  • 15:13 - 15:19
    Na wiki mbili ilipopita, "Hutoki huku hadi unikujie."
  • 15:19 - 15:24
    Nilikuwa na ongea na Mungu mwenye sikumjua wala sikumuamini.
  • 15:24 - 15:27
    Kwa hivyo, siku moja, nikawa na hili wazo,
  • 15:27 - 15:29
    "Nataka nitolewe huku", hio ni kumaanisha kupelekwa gereza nyingine.
  • 15:29 - 15:32
    Sasa, wakati huo, kulikuwa na orodha ya kusubiri ya miezi mitatu.
  • 15:32 - 15:35
    Nilipelekwa hadi kile kinachoitwa ugawaji.
  • 15:35 - 15:39
    Na Barry, huyo afisa, alikuwapo na nikasema "Barry, nahitaji kutoka huku.'
  • 15:39 - 15:42
    Akasema, 'Unaondoka Jumanne.'
  • 15:42 - 15:46
    Hivyo nikaenda katika gereza hili liitwalo Channings Wood, ambalo lilikuwa wazi nusu,
  • 15:46 - 15:48
    ambapo ungeweza kutembea nje.
  • 15:48 - 15:54
    Na moja ya jengo kuu huko lilikuwa ni kanisa.
  • 15:54 - 16:00
    Kwa hivyo nikaanza kuenda huko na nikaanza kusikia kuhusu Wakristo waliokoka.
  • 16:00 - 16:05
    Ningesoma Biblia yangu na ningeisoma kwa siku tatu.
  • 16:05 - 16:09
    Bado nilikuwa navuta na kutumia dawa nyingine za kulevya, lakini ningesoma Biblia yangu.
  • 16:09 - 16:12
    Na ningeirusha nikifiria ya kwamba ni upuzi mwingi huu.
  • 16:12 - 16:17
    Halafu ningerudi kanisani, nigechukua Biblia tena na kuisoma.
  • 16:17 - 16:19
    Tena ningeirusha nikisema ya kwamba ni upuzi mwingi.
  • 16:19 - 16:25
    Na, siku moja nilikuwa nasoma Biblia na ikasema, "Kama mwanadamu hawezi
  • 16:25 - 16:29
    kujifanyia mguu, mbona ajishulishe na madogo ya vitu"
  • 16:29 - 16:33
    Na wakati huo nilikuwa na Valium niliyotoa kwa daktari.
  • 16:33 - 16:37
    Nilikuwa mbaya kwa huyo daktari. Ningemtishia, 'Nata dawa zingine!'
  • 16:37 - 16:43
    Kwa hivyo nikasema, "Sawa, kama hio ni ukweli - mbona nishughulishe na madogo ya vitu - ondoa hii Valium kutoka kwangu.'
  • 16:43 - 16:47
    Na hapo hapo, hamu yangu ya Valium ukapotea.
  • 16:47 - 16:50
    Nikaacha kuenda mara tatu kwa siku kuchukua Valium yangu.
  • 16:50 - 16:55
    Daktari pengine alifikiria "Nimepotea" ama kitu kama hio.
  • 16:55 - 16:57
    Hio ilikuwa tu mwanzo.
  • 16:57 - 17:03
    Siku moja, nikaruka kutoka kitandani na nikasema, 'Sitasimama hadi Nikupate.'
  • 17:03 - 17:07
    Na naliposema hivyo...sikujua chochote kuhusu Roho Mtakatifu.
  • 17:07 - 17:10
    Sikujua chochote kuhusu kubatizwa kwa Roho Mtakatifu.
  • 17:10 - 17:13
    Sikujua chochite kuhusu Ukristo.
  • 17:13 - 17:20
    Lakini kwa wakati huo, najua Roho Mtakatifu alifika na kunijaza pomoni.
  • 17:20 - 17:23
    Ilikuwa ni kama Yesu alikuwa anaingia mwilini mwangu.
  • 17:23 - 17:32
    Nililia yangu yote- kulia kuzuri, sio kubaya.
  • 17:32 - 17:35
    Na ilikuwa faraja kubwa.
  • 17:35 - 17:40
    Lakini wakati huo huo, nilikuwa na huu
    ufunuo ya kwamba Yesu alikuwa hai.
  • 17:40 - 17:44
    Kwa hivyo, wakati nilihisi hivo, "nilipoteza akili".
  • 17:44 - 17:45
    Nigezunguka gereza...
  • 17:45 - 17:49
    Dakika moja mimi ni mtumiaji wa dawa za kulevya, nikikimba huku na kule nikitafuta kupata dawa za kulevya,
  • 17:49 - 17:53
    na ghafla naambia
    kila mtu kuhusu Yesu.
  • 17:53 - 17:57
    Na nafikiri walidhani "nimeruka akili".
  • 17:57 - 18:04
    Nakumbuko nilipokuwa kwa bafu ya umma, nilikuwa naimba "Yesu ananipenda".
  • 18:04 - 18:10
    Wakadhani "Nimepoteza akili". Na naweza elewa mbona!
  • 18:10 - 18:13
    Singeweza kungoja kurudi kwa seli yangu, kwa sababu kwa seli yangu,
  • 18:13 - 18:18
    mara tu nipoingia, ningekuwa ninalia.
  • 18:18 - 18:21
    Ni kama hisia hii ambaya iliendesha maisha yangu,
  • 18:21 - 18:25
    iliyofanya nifanye vitu ambazo ninayaaibikia,
  • 18:25 - 18:30
    ambaya ilinifanya nikafungwa kwa seli za kuvuliwa nguo - hisia hizi zote zilikuwa zinatoka.
  • 18:30 - 18:35
    Kwa hivyo ningeenda kufanya kazi kwenye sehemu ya uwanda wa gereza na nilikuwa nataka tu kurudi kwa seli yangu,
  • 18:35 - 18:40
    kwa sababu kwangu, najua Yesu ako ndani mwangu, lakini Alikuwa kwa seli yangu haswa.
  • 18:40 - 18:45
    Na mambo ya ajabu yakaanza kutokea
    kwangu - mambo ya kiroho.
  • 18:45 - 18:48
    Sasa najua yalikuwa mambo ya kishetani.
  • 18:48 - 18:53
    Kwa sababu nilichogundua katika maisha ni kwamba popote kuna maumivu ya kiwewe,
  • 18:53 - 18:55
    shetani huchukua fursa hiyo kujinufaisha.
  • 18:55 - 19:01
    Na hapa nilikuwa katika seli na mambo yanayotokea ambayo hayangetokea hapo awali.
  • 19:01 - 19:03
    Nilidhani ninaenda kichaa.
  • 19:03 - 19:08
    Baada ya siku tatu, siku tatu baada ya kuzaliwa upya, nilijiweka katika eneo la wagonjwa
  • 19:08 - 19:13
    wa kiakili pale gerezani kwa sababu nilidhani ninaenda kichaa.
  • 19:13 - 19:18
    Kwa sababu nilikuwa na haya yote, ambayo sasa najua
    ni mambo ya kishetani, yanayotokea.
  • 19:18 - 19:22
    Nilikumbuka kuwa kwenye seli,
    katika kitengo cha akili, nikifikiri,
  • 19:22 - 19:26
    "Nimepotea na nimpoteza akili kabisa"
  • 19:26 - 19:28
    kwa sababu nilikuwa na matokeo ya kiroho yanayotokea.
  • 19:28 - 19:31
    Sikuwa na mtu karibu yangu wa kuniongelesha.
  • 19:31 - 19:35
    Nakumbuka nikimuandikia barua
    mpenzi wangu wakati huo, nikisema,
  • 19:35 - 19:40
    ‘Angalia, siwezi kurudi katika mji wangu. Kitu fulani kimenifanyikia.
  • 19:40 - 19:45
    Ninapoteza njama. Kichwa changu kimeruka.
    Nina mambo haya ya kiroho yanatendeka.
  • 19:45 - 19:48
    Na, samahani siwezi kurudi nyumbani.’
  • 19:48 - 19:50
    Na barua ilikuwa imekaa pale.
  • 19:50 - 19:55
    Dakika iliyofuata, daktari,
    ambaye nilikuwa natishia ili kupata dawa za kulevya,
  • 19:55 - 19:59
    aliingia na kukaa kwenye kitanda changu na
    akasema, ‘Kuna nini?’
  • 19:59 - 20:00
    Nikasema, "Siwezi kukuambia."
  • 20:00 - 20:02
    Akasema, "Kuna nini? Niambie."
  • 20:02 - 20:03
    Nikasema, "Siwezi kukuambia."
  • 20:03 - 20:06
    Alisema, ‘Tafadhali niambie kuna nini?’
  • 20:06 - 20:08
    Kwa hivyo nikampa hio barua.
  • 20:08 - 20:12
    Alisoma na kusema,
    ‘Mimi ni Mkristo aliyezaliwa mara ya pili.’
  • 20:12 - 20:15
    Huyu alikuwa Mkristo wa kwanza
    ambaye niliwahi kukutana naye
  • 20:15 - 20:18
    aliyeelewa nilichokuwa napitia.
  • 20:18 - 20:21
    Na nikaondoka gerezani.
  • 20:21 - 20:28
    Nakumbuka nikiendesha gari nikifikiria,
    ‘Je, nitoze kodi na kuliwekea bima gari hili?’
  • 20:28 - 20:34
    Niliishi mbali sana na sheria hivi kwamba sikujua jinsi ya kuishi kulingana na sheria.
  • 20:34 - 20:39
    Kwa hivyo niliegesha gari kando, nikahifadhi pesa, na kuweka ushuru na bima juu yake.
  • 20:39 - 20:43
    Na vitu vidogo kama hivyo - ikiwa ningejua
    haikuwa sawa, ningejaribu kuifanya sawa.
  • 20:43 - 20:45
    Kisha maisha yangu ikaanza kulainika
  • 20:45 - 20:51
    Nilijiunga na kanisa - kanisa ambalo lilikuwa na watu wanaokuja kutusaidia.
  • 20:51 - 20:57
    Hatukuwa na kitu kabisa - mimi na mwenzangu wakati tulipooana.
  • 20:57 - 21:00
    Hatukuwa na kitu na kulikuwa na mtoto njiani.
  • 21:00 - 21:04
    Na tulikuwa na watu kutoka kanisani
    waliokuja kwetu na kitanda cha mtoto kipya,
  • 21:04 - 21:09
    na mashine ya kuosha, na walitutunza tu na kutupenda.
  • 21:09 - 21:12
    Kwa miaka mingi, watu wangekuja kwangu na kusema,
  • 21:12 - 21:15
    "Maisha yako imegeuka. Nawezaje kugeuza yangu?"
  • 21:15 - 21:19
    Ningesema tu, ‘Mimi, niliuliza
    Yesu aje maishani mwangu.’
  • 21:19 - 21:26
    Nilikuwa na watu watano mara moja wakiishi nyumbani kwangu, wote wakitoka kwa heroini na dawa zingine za kulevya -
  • 21:26 - 21:27
    ambayo nisingependekeza kwa mtu yeyote.
  • 21:27 - 21:31
    Lakini wakati huo ilikuwa
    njia niliyoongozwa kwenda.
  • 21:31 - 21:39
    Na, karibu wakati huo, kanisa nililokuwa nalo lilipata kiwanda kikubwa cha zamani.
  • 21:39 - 21:43
    Niliuliza sehemu yake, ambayo ilikuwa
    kibanda cha zamani kilicho na mashimo kwenye paa,
  • 21:43 - 21:48
    paa la asbesto nk - na ndipo
    tulipoanzia ‘Chooselife’.
  • 21:48 - 21:53
    Kama nilivyosema, 'Chooselife' huduma ya kusaidia walioathirika na dawa za kulevya na pombe.
  • 21:53 - 21:56
    Imeendelea kwa miaka 28 sasa.
  • 21:56 - 22:01
    Tumeona watu wakija kwetu kutoka nyanja mbalimbali za maisha - watu wengi.
  • 22:01 - 22:02
    Dunia inateseka.
  • 22:02 - 22:09
    Kuna familia nyingi zisizo na baba, familia zisizo na mama, unyanyasaji.
  • 22:09 - 22:13
    Huwezi kuamini hadithi za unyanyasaji wa kimwili, kimatusi, kingono
  • 22:13 - 22:21
    ambayo ninasikia kila siku;
    wana uchungu.
  • 22:21 - 22:29
    Cha kusikitisha ni kwamba, tumeona watu ambao wamefanya maamuzi maazuri, kisha wakafanya maamuzi yasiyo mazuri sana.
  • 22:29 - 22:31
    Na wakaaga kwa uzidishaji wa dawa za kulevya.
    Hawako nasi tena.
  • 22:31 - 22:34
    Huo ndio ukweli wa kufanya kazi na
    watu wanaotumia dawa ya kulevya na pombe.
  • 22:34 - 22:40
    Lakini pia tumeona watu ambao walikuwa waraibu wa heroini, waraibu wa 'crack',
  • 22:40 - 22:45
  • 22:45 - 22:50
  • 22:50 - 22:53
  • 22:53 - 22:58
  • 22:58 - 23:04
  • 23:04 - 23:08
  • 23:08 - 23:10
  • 23:10 - 23:14
  • 23:14 - 23:17
  • 23:17 - 23:19
  • 23:19 - 23:21
  • 23:21 - 23:26
  • 23:26 - 23:31
  • 23:31 - 23:36
  • 23:36 - 23:40
  • 23:40 - 23:45
  • 23:45 - 23:53
  • 23:53 - 24:01
  • 24:01 - 24:04
  • 24:04 - 24:08
  • 24:08 - 24:14
  • 24:14 - 24:17
  • 24:17 - 24:22
  • 24:22 - 24:26
  • 24:26 - 24:29
  • 24:29 - 24:34
  • 24:34 - 24:41
  • 24:41 - 24:46
  • 24:46 - 24:48
  • 24:48 - 24:51
  • 24:51 - 24:54
  • 24:54 - 25:00
  • 25:00 - 25:02
  • 25:02 - 25:08
  • 25:08 - 25:13
  • 25:13 - 25:17
  • 25:17 - 25:21
  • 25:21 - 25:24
  • 25:24 - 25:25
  • 25:25 - 25:28
  • 25:28 - 25:32
  • 25:32 - 25:39
  • 25:39 - 25:41
  • 25:41 - 25:48
  • 25:48 - 25:52
  • 25:52 - 25:55
  • 25:55 - 26:00
  • 26:00 - 26:03
  • 26:03 - 26:07
  • 26:07 - 26:10
  • 26:10 - 26:14
  • 26:14 - 26:20
  • 26:20 - 26:24
  • 26:24 - 26:27
  • 26:27 - 26:34
  • 26:34 - 26:37
  • 26:37 - 26:41
  • 26:41 - 26:46
  • 26:46 - 26:49
  • 26:49 - 26:51
  • 26:51 - 26:58
  • 26:58 - 27:01
  • 27:01 - 27:05
  • 27:05 - 27:07
  • 27:07 - 27:11
  • 27:11 - 27:20
  • 27:20 - 27:23
  • 27:23 - 27:24
  • 27:24 - 27:28
  • 27:28 - 27:30
  • 27:30 - 27:34
  • 27:34 - 27:40
  • 27:40 - 27:44
  • 27:44 - 27:46
  • 27:46 - 27:49
  • 27:49 - 27:52
Title:
Mungu alininenea Kwa chumba cha jela
Description:

Alan Andrews alishikwa Kwanza akiwa umri mudogo Wa miaka 10 .

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
28:22

Swahili subtitles

Incomplete

Revisions Compare revisions