Msaada wa Televisheni ya Moyo wa Mungu huko Kharkiv, Ukrainia!
-
0:00 - 0:03Kama sehemu ya msaada wake unaoendelea, TV ya Moyo wa Mungu
-
0:03 - 0:06imeshirikiana na wizara ya ndani kusaidia watu waliohamishwa
-
0:06 - 0:09katika majira ya baridi kali huko Kharkiv, Ukrainia.
-
0:10 - 0:12Salamu kutoka Kharkiv, kutoka 'Good News Church'.
-
0:12 - 0:16Tunajaribu kuwatumikia watu wanaoishi
-
0:16 - 0:19katika eneo la vita, kwa msaada wako.
-
0:19 - 0:23Sisi, kwa msaada wako, tunaweza kununua mifuko 40 ya kulalia.
-
0:23 - 0:27Tulikuwa tunawapelekea watu mablanketi,
-
0:27 - 0:30kwa sababu ni msimu wa baridi na ni baridi sana,
-
0:30 - 0:34lakini walituomba tuwaletee mifuko ya kulalia
-
0:34 - 0:37kwa sababu mara nyingi wanalala chini.
-
0:41 - 0:43Ni wakati mgumu sana kwa Ukraine hivi sasa
-
0:43 - 0:46lakini tuliweza kupata mifuko hii ya kulala wakati wa baridi
-
0:46 - 0:50na kwa maombi yako, tunaendelea na utume wetu
-
0:50 - 0:53huku Kharkiv, Ukraine. Asante sana.
-
0:53 - 0:56Tumebarikiwa kuwa na familia kubwa kama hii
-
0:56 - 0:58(God's Heart TV) nchini Uingereza. Salamu!
-
1:14 - 1:17Kwa niaba ya watu waliohamishwa, asante sana
-
1:17 - 1:21kwa kututunza. Tunatoa heshima na shukrani zetu
-
1:21 - 1:25katika jina la Yesu Kristo!
- Title:
- Msaada wa Televisheni ya Moyo wa Mungu huko Kharkiv, Ukrainia!
- Description:
-
Kama sehemu ya usaidizi wake unaoendelea, God’s Heart TV imeshirikiana na huduma ya ndani kusaidia watu waliohamishwa katika majira ya baridi kali huko Kharkiv, Ukrainia. Ni upendeleo kama nini kuwa katika nafasi ya kusaidia!
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:45
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God’s Heart TV Support in Kharkiv, Ukraine! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God’s Heart TV Support in Kharkiv, Ukraine! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for God’s Heart TV Support in Kharkiv, Ukraine! |