-
Kama sehemu ya msaada wake unaoendelea, TV ya Moyo wa Mungu
-
imeshirikiana na wizara ya ndani kusaidia watu waliohamishwa
-
katika majira ya baridi kali huko Kharkiv, Ukrainia.
-
Salamu kutoka Kharkiv, kutoka 'Good News Church'.
-
Tunajaribu kuwatumikia watu wanaoishi
-
katika eneo la vita, kwa msaada wako.
-
Sisi, kwa msaada wako, tunaweza kununua mifuko 40 ya kulalia.
-
Tulikuwa tunawapelekea watu mablanketi,
-
kwa sababu ni msimu wa baridi na ni baridi sana,
-
lakini walituomba tuwaletee mifuko ya kulalia
-
kwa sababu mara nyingi wanalala chini.
-
Ni wakati mgumu sana kwa Ukraine hivi sasa
-
lakini tuliweza kupata mifuko hii ya kulala wakati wa baridi
-
na kwa maombi yako, tunaendelea na utume wetu
-
huku Kharkiv, Ukraine. Asante sana.
-
Tumebarikiwa kuwa na familia kubwa kama hii
-
(God's Heart TV) nchini Uingereza. Salamu!
-
Kwa niaba ya watu waliohamishwa, asante sana
-
kwa kututunza. Tunatoa heshima na shukrani zetu
-
katika jina la Yesu Kristo!